Rais Samia arejea nchini akitokea Afrika Kusini kuhudhuria uapisho wa Rais Cyril Ramaphosa

Rais Samia arejea nchini akitokea Afrika Kusini kuhudhuria uapisho wa Rais Cyril Ramaphosa

mchapakazi hodari na asie choka, kipenzi na fahari ya waTanzania..

God bless you Rais, comrade Dr Samia Suluhu Hassan...
Ni bahati kubwa sana kwa watanzania kuongozwa na kiongozi mchapa kazi na mzalendo wa kweli na dhati kama Alivyo Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.kwa hakika hii ni zawadi kutoka kwa Mungu Mwenyewe.
 
kwakweli Lazima Tumshukuru Mungu kwa ajili ya huyu mama,

na kama Taifa hatuna budi kwa wazalendo wetu, upendo wetu kwake, na umoja wetu imara, tuzidi kumumbea Baraka na Neema za Mungu ziambatane na kuandamana na kiongozi wetu huyu mpendwa sana katika kazi na majukumu muhimu na mazito sana ya nchi, kwa niaba na manufaa ya waTanzania wote...
 
Kama wewe una mawazo ya kishetani na humuamini Mungu wala uwepo wa Mungu basi huwezi ukaelewa kwanini wanadamu wenye hofu ya Mungu humshukuru Mungu kila baada ya kufika salama kutoka safarini.
povu lote hilo la nini?, au unataka uishi milele??? wakati ukifika hata ukeshe ukishukuru kazi bure utakufa tu mkuu
 
Nimeona Rais wa South mzeeeeeee, kachoka hadi aibu, hata kutaja jina lake wakati akiapa katumia nusu saa nzima , no sharpness anymore!! haya mazee ya Africa hayashibi yatoke sasa, Senegal rais wao kijana hadi inapendeza, hata ukimwambia Mkuu vijana hawana ajira anakusoma sawia!
 
Uongozi ni hekima,busara ,maono na akili ya uongozi.na wala siyo nguvu za mwili .mbona Marekani na wingi wao wa vijana wenye Elimu kubwa na nzuri kutoka vyuo bora ulimwenguni kwote lakini wagombea wake wote wawili kutoka vyama vikubwa wote ni wazee wenye umri mkubwa? Ramaphosa ana miaka mingapi na Joe Biden ana miaka mingapi?
 
Aje achukue hatua mawaziri wake ni watuhumiwa Wala rushwa

Kuna waziri wake alisemwa na kigwangala kwa alinunua jumba huko Dubai

Kama kawaida yake "chui kiziwi" akauchuna
 
Aje achukue hatua mawaziri wake ni watuhumiwa Wala rushwa

Kuna waziri wake alisemwa na kigwangala kwa alinunua jumba huko Dubai

Kama kawaida yake "chui kiziwi" akauchuna
Siyo suala la fulani kasema hivi au vile suala ni ushahidi upo wapi unaothibitisha mtu huyu kaiba pesa na kujenga jumba la kifahari au kuwa na mali zisizo endana na kulingana na kipato chake.
 
Back
Top Bottom