Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #41
Ni bahati kubwa sana kwa watanzania kuongozwa na kiongozi mchapa kazi na mzalendo wa kweli na dhati kama Alivyo Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.kwa hakika hii ni zawadi kutoka kwa Mungu Mwenyewe.mchapakazi hodari na asie choka, kipenzi na fahari ya waTanzania..
God bless you Rais, comrade Dr Samia Suluhu Hassan...
kwakweli Lazima Tumshukuru Mungu kwa ajili ya huyu mama,Ni bahati kubwa sana kwa watanzania kuongozwa na kiongozi mchapa kazi na mzalendo wa kweli na dhati kama Alivyo Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.kwa hakika hii ni zawadi kutoka kwa Mungu Mwenyewe.
povu lote hilo la nini?, au unataka uishi milele??? wakati ukifika hata ukeshe ukishukuru kazi bure utakufa tu mkuuKama wewe una mawazo ya kishetani na humuamini Mungu wala uwepo wa Mungu basi huwezi ukaelewa kwanini wanadamu wenye hofu ya Mungu humshukuru Mungu kila baada ya kufika salama kutoka safarini.
Endelea na mawazo yako ya kijinga.povu lote hilo la nini?, au unataka uishi milele??? wakati ukifika hata ukeshe ukishukuru kazi bure utakufa tu mkuu
Uongozi ni hekima,busara ,maono na akili ya uongozi.na wala siyo nguvu za mwili .mbona Marekani na wingi wao wa vijana wenye Elimu kubwa na nzuri kutoka vyuo bora ulimwenguni kwote lakini wagombea wake wote wawili kutoka vyama vikubwa wote ni wazee wenye umri mkubwa? Ramaphosa ana miaka mingapi na Joe Biden ana miaka mingapi?Nimeona Rais wa South mzeeeeeee, kachoka hadi aibu, hata kutaja jina lake wakati akiapa katumia nusu saa nzima , no sharpness anymore!! haya mazee ya Africa hayashibi yatoke sasa, Senegal rais wao kijana hadi inapendeza, hata ukimwambia Mkuu vijana hawana ajira anakusoma sawia!
Siyo suala la fulani kasema hivi au vile suala ni ushahidi upo wapi unaothibitisha mtu huyu kaiba pesa na kujenga jumba la kifahari au kuwa na mali zisizo endana na kulingana na kipato chake.Aje achukue hatua mawaziri wake ni watuhumiwa Wala rushwa
Kuna waziri wake alisemwa na kigwangala kwa alinunua jumba huko Dubai
Kama kawaida yake "chui kiziwi" akauchuna
inaonekana una stress sana mkuu, tafuta mwanasaikolojia akusaidie tusije kukupoteza, bado tunakuhitaji sanaEndelea na mawazo yako ya kijinga.
Mwambie ukweli huyo chawa hajielewi kabisa!Lucas mbona swala la sukari hujaligusia mzalendo wetu.Ww uko busy na safari za mama ama ww sukari haikuhusu uzalendo sio kusifia tu na kukemea mabaya.
Wenye msongo wa mawazo ni hao wanaotukana matusi bila sababu ya msingiinaonekana una stress sana mkuu, tafuta mwanasaikolojia akusaidie tusije kukupoteza, bado tunakuhitaji sana
Siyo kila mtu ni wa kukurupuka na kufanya vitu kwa mihemuko .Mwambie ukweli huyo chawa hajielewi kabisa!
UzunguniHivi Dodoma uko sehemu gani wewe nije tupige story kidogo
Ulizia ulizia hata kwa Msigwa basi.Mimi sifahamu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Paje Unguja.
Hakuna namna, tubaki tunacheka tu. Mzee wa Hall 5 anajua tayari nipo ππππNimecheka sana, hivi sumbai anajua upo kweli?π€£
Tuendelee kumuunga Mkono Rais wetuPole sana na safari mama yetu mpendwa ππ½
What happen? Anyway au nawewe ulikuwa ziara Kama mtukufu Rais wetu, Daktari Samia??Hakuna namna, tubaki tunacheka tu. Mzee wa Hall 5 anajua tayari nipo ππππ