Rais Samia ashauri umuhimu wa kusikiliza watangulizi lakini hailazimiki kufata matakwa yao. Akemea udikteta kwani hufupisha safari

Rais Samia ashauri umuhimu wa kusikiliza watangulizi lakini hailazimiki kufata matakwa yao. Akemea udikteta kwani hufupisha safari

Miaka mitano yote zinapiga kazi, mavyuma yanasagika huko ndani, unataka zisifanyiwe ukarabati?

Anagonjeka binadamu sembuse hivyo vyuma vinavyolika Kwa kitu?
Nimeichukuwa fb, nikaitupia ili Wajuzi waliongekee hili, je ni kweli zilikuwa mpya? Na je zimefanikiwa kufanya safari nyingi za kutosha mpaka kufikia hatua hiyo? Wenye utaalamu watujuze.
 
Umuache usimuache, kazi unayojipa ni ya kipumbavu Kwa sababu yeye hatoi ushauri Kwa Rais sasa!

Unataka kumaanisha kwamba, JPM amekuwa akitoa ushauri Kwa Rais ktk mazingira yepi na wakati yeye hayuko duniani?
Yule jamaa ni mbishi hata huko kuzimu lazima adhibitiwe kwa mustakabali wa taifa Letu.

magu2016
 
Toka lini kaacha kufuata ushauri wa msoga geng?kama hafuati ushauri wa msoga gang kwa nini Nchi inazidi kudidimia kila siku kiuchumi,kisiasa na kijamii?
Nani aliyekudanganya nchi inadidimia kiuchumi?, hakuna kitu kama hicho, Uchumi unaimarika kidogo kidogo ona fremu zinavyofunguliwa kila pahala athari za awamu ya tano kuzikava kwa mara moja ni ngumu sana ukizingatia miradi mingi iliachwa ikiwa chini ya 25% ya ukamilishaji wake almost mingi kwa sasa ipo kwenye 75%and above, fanya tafiti mkuu.
 
Jipige kifua mara 3 mfululizo ukisema walaaniwe walioni-brain wash kuwa chuki ni faida kiafya kumbe ni chanzo cha sonona, vidonda vya tumbo, kansa, stroke na hata kuparalaizi [emoji1787]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mkuu panua mdomo nikujambie mbrr mbrrrr mbrrrr mbrrrr. Pata uhondo wa ushuz nyau wewee.
 
Samia Suluhu awe anachukua ushauri wa Busara na Hekima kwa Mzee Kikwete.

Na tunamuomba Mzee Kikwete amsaidie Mama pale anapohitajika.
 
Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania naona kashaanza kushituka juu ya wastaafu hasa wanaopenda kumpa ushauri ambao hauna afya katika kuendesha nchi kwa maneno hayo huenda alishaanza kuona yule mtu wa msoga anamsumbuasumbua maana ni miongoni mwa wastaafu wenye nguvu na ushawishi ndani ya ccm aliyebaki hata kwa wafanyabiashara pia ambao mfano mzuri ni Ristam azizi! kwa hali hii naona kuna kitu hakipo sawa sasa ni wakati raisi ajue yeye ndiye raisi asiwepo kama nembo tu ni vizuri asikilize watu wake na achuje yale wanayomshauri hii nikutokana kwamba tangu aingie madarakani ni kama chombo kinaendeshwa na mtu aliye nje ya serikali


Kwa maneno hayo hapo chini kuna kitu hakipo sawa mambo yanazidi kubadilika siku hadi siku tunapoelekea 2025[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2434531
Ndo inavyotakiwa Sasa
 
Back
Top Bottom