Rais Samia ashindwa kujizuia hisia zake za furaha. Awashukuru wana CCM na viongozi kwa kumtakia heri ya Siku yake ya Kuzaliwa

Ila tukiachana na yote wewe jamaa inabidi ifike mahali uanze kujistukia, yaaani kila mtu alieweka comment yake yupo against na wewe! Hata kustuka hustuki? Basi shikwa hata aibu...

Nadhani utakua na changamoto ya afya ya akili ndugu (Samahani kama nimetumia maneno makali)

Kwa hizo sifa unazompa huyu mama, basi nakuhakikishia mwenzio anaziona kama dhihaka! Hapo sahau kuhusu teuzi kaka haitokaa itokee kamwe!

Yaani kuna vitu ambavyo wewe huvioni lakini mbele ya jamii inakuona ndugu yetu una matatizo kichwani
 
Umewahi kusoma habari za Galileo? KwA hiyo wewe kaa akili zako hizo ulizonazo unapima jambo kwa kuangalia watu wangapi wanalipinga au kuliunga mkono? Ndio akili zako hizo? Kwanini unawaza kijinga kiasi hicho?
 
ogopa machawa ukiwa Raisi kila mtu "anakupenda" awe makini na machawa. Mbona hatujawahi kusikia sikukuu yake ya kuzaliwa kwa miaka 60 sasa . Yaani akiwa VP hataja
 
ogopa machawa ukiwa Raisi kila mtu "anakupenda" awe makini na machawa. Mbona hatujawahi kusikia sikukuu yake ya kuzaliwa kwa miaka 60 sasa . Yaani akiwa VP hataja
Naona unaona wivu sana kuona Rais wetu akipendwa na kukubalika kwa watanzania
 
Kuna wakati huwa nafikiria hili linawezekana likawa ni Robot la Mama Abdul analikontrol akiwa ikulu. Haiwezekani nakataa mtu mzima kichwani akawa na akili za uchawa hivi. Mimi nakataa niko tayari kubishana na yeyote yule hadi mwisho hili robot i swear.

Kwanza hushangai halijawahi kukosea spelling hata siku moja, liko so perfect likiandika uchawa wake kwa kuwa liko programmed. Nyie msibishane nalo ni Robot hata uliambie nini utasikia"mama ametufikia, blaah blas....." halina hisia
 
Naona unaona wivu sana kuona Rais wetu akipendwa na kukubalika kwa watanzania

Wivu gani msijifanye mnampenda Mama leo wakati hatujawahi kuwasikia huko nyuma. Yaani unasubiri mpaka awe Raisi!!!! hata aibu hamna. Na yeye alivyolewa hata haoni wanafiki
 
Heri ya siku ya kuzaliwa Honorable Doctor
Samia Suluhu Hassan. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 27th.January.2025
 

Attachments

  • Happy Birthdat President Samia Suluhu Hassan_20250128_002638_0000.png
    554 KB · Views: 2
Pumbavu kabisa wewe.
 
Atajistukiaje na yeye kwenye hilo fuvu lake amejaza kamasi tu.
 
Wenzie umri huo wanakua wamestaafu,yeye bado anang'ang'ania madaraka.
 
Hajabubujikwa na machozi kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…