issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,128
- 7,899
Fanya kazi brother uchawa hautakufikisha popote zaidi ya kujidhalilishaNaacha nafasi ili uweke namba yako ndugu yangu. Kwani wewe hutaki utafutwe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya kazi brother uchawa hautakufikisha popote zaidi ya kujidhalilishaNaacha nafasi ili uweke namba yako ndugu yangu. Kwani wewe hutaki utafutwe?
Mimi ni mkulima mchapakazi sana. Mimi siyo chawa bali ni msema kweliFanya kazi brother uchawa hautakufikisha popote zaidi ya kujidhalilisha
Uwe na adabu wewe uliyekosa malezi mazuriKtk marais hopeless sa100 number moja
Umewahi kusoma habari za Galileo? KwA hiyo wewe kaa akili zako hizo ulizonazo unapima jambo kwa kuangalia watu wangapi wanalipinga au kuliunga mkono? Ndio akili zako hizo? Kwanini unawaza kijinga kiasi hicho?Ila tukiachana na yote wewe jamaa inabidi ifike mahali uanze kujistukia, yaaani kila mtu alieweka comment yake yupo against na wewe! Hata kustuka hustuki? Basi shikwa hata aibu...
Nadhani utakua na changamoto ya afya ya akili ndugu (Samahani kama nimetumia maneno makali)
Kwa hizo sifa unazompa huyu mama, basi nakuhakikishia mwenzio anaziona kama dhihaka! Hapo sahau kuhusu teuzi kaka haitokaa itokee kamwe!
Yaani kuna vitu ambavyo wewe huvioni lakini mbele ya jamii inakuona ndugu yetu una changamoto ya afya ya akili.
😂😂😂Bubujiko kama lote
😂😂😂😂Amebubujikwa?
ogopa machawa ukiwa Raisi kila mtu "anakupenda" awe makini na machawa. Mbona hatujawahi kusikia sikukuu yake ya kuzaliwa kwa miaka 60 sasa . Yaani akiwa VP hatajaNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amejikuta akishindwa kujizuia hisia zake za furaha na shukurani kwa Wanachama na viongozi wa CCM kwa Upendo wao Mkubwa walio uonyesha katika siku ya Leo .Ambayo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake Miaka 65 iliyopita .
Ambapo ilikuja kama Bahati kwa Taifa letu kwa Kuzaliwa kwake Hapa Nchini. Ambapo ni katika kuzaliwa kwake hapa Nchini Tumeona na kushuhudia watu wakipata tabasamu,furaha na matumaini makubwa sana katika Maisha Yao.
Ni kwa kuzaliwa kwake katika ardhi ya Tanzania tumeshuhudia namna ambavyo Taifa letu limepata heshima ya kipekee sana katika anga la kimataifa katika wakati huu wa uongozi wake. Ambapo tumeona ushawishi wa Tanzania ukiwa huu sana .
Ndio Maana leo imekuwa ni kama siku ya kipekee sana hapa Nchini. Kuanzia mitandaoni,kwenye vyombo vya habari mpaka mitaani ni furaha tupu na wananchi wakisherehekea kwa bashasha na tabasamu kubwa sana siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Rais wetu Mpendwa aliye chaguo la Mungu.
Imefikia watu wanatamani kuona siku hii ikiazimishwa kitaifa kila mwaka .kama Sehemu ya kukumbuka Maendeleo na mafanikio makubwa na ya ajabu ambayo yamekuwa kama miujiza hapa Nchini yaliyofanyika ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.
Kwa hakika Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Huyu Mama ni wa kipekee kabisa. Amepewa kibali na Mungu Mwenyewe.kila anachogusa na kuweka mikono yake ni lazima pafanikiwe. Mungu yupo upande wake na uongozi wake unazo baraka na kibali cha Mungu Mwenyewe.
Mama ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu.View attachment 3215822
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Naona unaona wivu sana kuona Rais wetu akipendwa na kukubalika kwa watanzaniaogopa machawa ukiwa Raisi kila mtu "anakupenda" awe makini na machawa. Mbona hatujawahi kusikia sikukuu yake ya kuzaliwa kwa miaka 60 sasa . Yaani akiwa VP hataja
tumu ulize aliye mteua huyu bibi kizee, plus uchawa wa usalama wetu wa taifa .Ifike pahala tujiulize tumefikaje hapa?
Kachoka teuzi hapati kaamua kuwa chawa tu anapewa posho kiasi inamtoshaSiku hizi mbona huweki namba za sim tukutafute?
Naona unaona wivu sana kuona Rais wetu akipendwa na kukubalika kwa watanzania
Pumbavu kabisa wewe.Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amejikuta akishindwa kujizuia hisia zake za furaha na shukurani kwa Wanachama na viongozi wa CCM kwa Upendo wao Mkubwa walio uonyesha katika siku ya Leo .Ambayo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake Miaka 65 iliyopita .
Ambapo ilikuja kama Bahati kwa Taifa letu kwa Kuzaliwa kwake Hapa Nchini. Ambapo ni katika kuzaliwa kwake hapa Nchini Tumeona na kushuhudia watu wakipata tabasamu,furaha na matumaini makubwa sana katika Maisha Yao.
Ni kwa kuzaliwa kwake katika ardhi ya Tanzania tumeshuhudia namna ambavyo Taifa letu limepata heshima ya kipekee sana katika anga la kimataifa katika wakati huu wa uongozi wake. Ambapo tumeona ushawishi wa Tanzania ukiwa huu sana .
Ndio Maana leo imekuwa ni kama siku ya kipekee sana hapa Nchini. Kuanzia mitandaoni,kwenye vyombo vya habari mpaka mitaani ni furaha tupu na wananchi wakisherehekea kwa bashasha na tabasamu kubwa sana siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Rais wetu Mpendwa aliye chaguo la Mungu.
Imefikia watu wanatamani kuona siku hii ikiazimishwa kitaifa kila mwaka .kama Sehemu ya kukumbuka Maendeleo na mafanikio makubwa na ya ajabu ambayo yamekuwa kama miujiza hapa Nchini yaliyofanyika ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.
Kwa hakika Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Huyu Mama ni wa kipekee kabisa. Amepewa kibali na Mungu Mwenyewe.kila anachogusa na kuweka mikono yake ni lazima pafanikiwe. Mungu yupo upande wake na uongozi wake unazo baraka na kibali cha Mungu Mwenyewe.
Mama ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu.View attachment 3215822
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Atajistukiaje na yeye kwenye hilo fuvu lake amejaza kamasi tu.Ila tukiachana na yote wewe jamaa inabidi ifike mahali uanze kujistukia, yaaani kila mtu alieweka comment yake yupo against na wewe! Hata kustuka hustuki? Basi shikwa hata aibu...
Nadhani utakua na changamoto ya afya ya akili ndugu (Samahani kama nimetumia maneno makali)
Kwa hizo sifa unazompa huyu mama, basi nakuhakikishia mwenzio anaziona kama dhihaka! Hapo sahau kuhusu teuzi kaka haitokaa itokee kamwe!
Yaani kuna vitu ambavyo wewe huvioni lakini mbele ya jamii inakuona ndugu yetu una matatizo kichwani
Hajabubujikwa na machozi kweli?Ndugu zangu Watanzania,