Rais Samia ashindwa kwenda Tabora kuhudhuria Ibada ya kuwekwa Wakfu

Rais Samia ashindwa kwenda Tabora kuhudhuria Ibada ya kuwekwa Wakfu

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Screenshot_2025-05-25-10-50-47-122_com.instagram.android.jpg
 
Kumwalika muuaji kwenye matukio matakatifu, ni kulitia unajisi tumio zima.

Watumishi wa Mungu watumie muda wao kumkosoa na kumuonya mtawala katili ili abadilike, abadilishe mwenendo wake, ili watu wasiendelee kuumia.
 
Mwaka huu kanisa Katoliki limeweka wakfu maaskofu watatu (Iringa, Mafinga na Tabora) na kuanzisha jimbo jipya pamoja na kumsimika askofu wa jimbo la Bagamoyo.

Kanisa la Anglikana limeweka wakfu askofu mmoja.

Kanisa la KKKT limeweka wakfu na kumuingiza kazini askofu mmoja.

Kwenye matukio yote hayo Mh. Rais aliwakilishwa na wateule/wasaidizi wake akiwemo Makamu wa Rais, Naibu waziri mkuu, Katibu Mkuu CCM, mawaziri mbalimbali.

Sijajua umetumia kigezo gani kulielezea hili suala la Lukuvi kumuwakilisha Tabora kama tatizo linalotoonesha hali kutokua nzuri nchini.
 
Hali Tete hapo inatokana na Nini Kwan ni mara ya kwanza Rais kuwakilishwa na wasaidizi wake?
Ehm achen mambo ya ajabu
 
Wabongo bana

Akienda mnasema anatumia vibaya Urais

Hahaa

Anajiandaa na Mikutano ya Chama chake
 
Angeenda wangemchana hadharani kuhusu kutekwa na kuuwawa Kwa raia waaiokuwa na hatia maaskofi wa kikatoliki hawajawahi kuwa machawa
 
Atatawala kwa shida sana..ningekuwa mie nawaachia nchin yenu nakwenda kula bata kizimkaziiiii umri uliobakia.
 
Back
Top Bottom