Rais Samia ashindwa kwenda Tabora kuhudhuria Ibada ya kuwekwa Wakfu

Rais Samia ashindwa kwenda Tabora kuhudhuria Ibada ya kuwekwa Wakfu

Yaani akasikilize anavyopigwa mawe ya mauaji anayofanya!!
 
Kama nimemuona Nchimbi pia hapa Jimboni

CCM walipeleka siasa kwenye makanisa na misikiti. Walifanya hivyo wakifikiri ni mtaji wa kisiasa. Sasa wanenza kukwepa kwa kuwa kila wakienda wanahubiriwa haki haki haki. Wao hawapendi kusikia hilo neno wanataka tu kusikia amani.

Zamani Maaskofu walikuwa wakisimikwa husikii hata mkuu wa mkoa akitoa salamu.
 
Chawa wa mama naona kama wanazidiwa nguvu mtandaoni,kitakachofuata na kuuwa wapinzani wa Samia

Samia hata umakamu hafai,arudi kwao kulea wajukuu
 
Achen upumbufu mbona mnajisahaulisha sana rais ni taasis siyo lazima kila ibadan ahudhulie ,Mh Rais wanao wema tunakupenda na tunakuombea sana na uliahidi yote mama umefanya tunashukuru sana
 
Spana za Maaskofu 😂😂 au labda atatuma mabulungutu anayopora huko serikalini
 
Back
Top Bottom