Rais Samia ashindwa kwenda Tabora kuhudhuria Ibada ya kuwekwa Wakfu

Rais Samia ashindwa kwenda Tabora kuhudhuria Ibada ya kuwekwa Wakfu

Achen upumbufu mbona mnajisahaulisha sana rais ni taasis siyo lazima kila ibadan ahudhulie ,Mh Rais wanao wema tunakupenda na tunakuombea sana na uliahidi yote mama umefanya tunashukuru sana
Alichokifanya ni kukusaidia uwe shoga ake tu.
 
Tumuonee huruma Samia. Jana Tundu Lissu aliyekuwa gerezani ameteuliwa na IDU kuwa makamu mwenyekiti halafu Gwaji boy amealianzisha. Kiti cha moto..
 
Hayo mengine nawaachia nyinyi, ila nakushangaa ndugu mleta mada! hapo kwenye heading ungeandika "mh; rais samia" ungepungukiwa nini! ila wewe umeandika tu "samia!", kama vile unaemzungumzia ni mtoto wa jirani yako hapo kwenu nanjirinji,
ila pamoja na yote huyu bibi chura kiziwi anadharaulika sana hata na wanawake wenzake.
 
CCM walipeleka siasa kwenye makanisa na misikiti. Walifanya hivyo wakifikiri ni mtaji wa kisiasa. Sasa wanenza kukwepa kwa kuwa kila wakienda wanahubiriwa haki haki haki. Wao hawapendi kusikia hilo neno wanataka tu kusikia amani.

Zamani Maaskofu walikuwa wakisimikwa husikii hata mkuu wa mkoa akitoa salamu.
Sijajua zamani ipi unaongelea, nimehudhuria kuwekwa wakfu askofu kwa mara ya kwanza mwaka 2001.

Askofu Ludovick Minde anawekwa wakfu kuwa askofu wa jimbo katoliki la Kahama, Mheshimiwa Mohamed Babu anatoa hotuba kama muwakilishi wa Rais.

Kanisa (hasa kanisa katoliki) ni vigumu sana kulitenga na siasa kwakua limekua likifanya hivyo kwa miaka mingi sana, na limehusishwa na kuangalia zaidi matakwa ya kisiasa katika baadhi ya teuzi zao (ndio maana Papa Francis akaridhia kuingia makubaliano na serikali ya China kuhusu ushirikiano katika kuteua maaskofu).
 
Back
Top Bottom