Hayo mengine nawaachia nyinyi, ila nakushangaa ndugu mleta mada! hapo kwenye heading ungeandika "mh; rais samia" ungepungukiwa nini! ila wewe umeandika tu "samia!", kama vile unaemzungumzia ni mtoto wa jirani yako hapo kwenu nanjirinji,
ila pamoja na yote huyu bibi chura kiziwi anadharaulika sana hata na wanawake wenzake.