The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Nchi hii tumelaaniwa.Tunaachia chanzo cha mapato kwa wageni muda huo huo tunakinga bakuli.
Kwanza huo umati wote wa nini....!!? Watu wote hao wanaachishwa kazi zao kuja hapo kusiki;iza porojo na kupokea msaada. Halafu hii ni kila second week. Lazima waje na kaiisue, sherehe au mkusanyiko wa aina hii. Sasa watu wanafanya kazi saa ngapi..... No wnder wakiletewa mikataba wanaisaini tu bila kuisoma maana hawana muda. Muda wao umeelekezwa kwnyw hivi visherehe uchwara.