inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
DP world wakiwekeza bandari itachangia 67% ya bajeti badala 30+ za Sasa,gesi ya Lindi ikianza itachangia 6tr kwa mwaka,ukombozi toka kwa mabeberu hauwezi kua wa usiku mmojaIfikie wakati tuache kushangilia misaada.
Toka mwaka 1961 nchi inapata misaada.
Adui yenu mkubwa ni IMF, msipojua hilo tutaendelea kushangilia misaada.
Kila nchi ikikaribia kulipa madeni wanadevalue currency yao ili kuendelea katika circe.
imf sijui wb angalieni interest nchi masikini zinazochajiwa zikikopa na nchi tajiri interest compare uone.