The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Nchi hii tumelaaniwa.Tunaachia chanzo cha mapato kwa wageni muda huo huo tunakinga bakuli.
BREAKING: Mmoja wa wanafamilia ya Wangwe aishiye jijini Mwanza amevamiwa usiku wa leo na kuuwawa na watu wasiojulikana kwa kukatwakatwa na mapanga. Familia ya Wangwe inahusika na waliofungua kesi kupinga mkataba wa DP World.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Hafla ya Kupokea Fedha za Msaada wa Bajeti ya Serikali kutoka Umoja wa Ulaya (EU) katika Ukumbi wa Karambarage Hazina (Treasury Square) jini Dodoma.
Jambo jema gani wakati fedha nyingi zinaibiwa na CAG akisema mnapotezea hamchukui hatua zezote?Ni jambo jema!
Hivi kwa nini mama hauzi bandali za Zanzibar? Au wazanzibari hawataki manufaa ya bandali zao?
safi sana wazungu wanaona juhudi za mamaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Hafla ya Kupokea Fedha za Msaada wa Bajeti ya Serikali kutoka Umoja wa Ulaya (EU) katika Ukumbi wa Karambarage Hazina (Treasury Square) jini Dodoma.
tuambie serikali moja tu africa inayopanga bajeti ya pesa za ndani bila kupata msaada kutoka mataifa ya nje nchi moja tu niambiemakubwa!tumefika hapa?unapanga bajeti HELA HUNA?kumbe ndo maana mrad wa mto msimbazi hela zake zimepotea
Dona kantre inapokea msaada halafu unasema ni jambo jema?Ni jambo jema!
They are Pushing for The European Partnerships Agreements - Dunia hii ya sasa ni Sio tu Quid pro Qou ukicheza na usipokuwa makini ni mwisho wa siku wewe ndio umeshika makali wakati mwenzako ameshika mpiniHuu ni ushahidi tosha, West (European countries) are more important than East (China)
hawayataki, wanataka kubaki na bandari zao na umaskini wao kama kweli kuziuza ni kuondoa umaskini!Hivi kwa nini mama hauzi bandali za Zanzibar? Au wazanzibari hawataki manufaa ya bandali zao?
ole wao hizo agreements ziki- conflict na DPWThey are Pushing for The European Partnerships Agreements - Dunia hii ya sasa ni Sio tu Quid pro Qou ukicheza na usipokuwa makini ni mwisho wa siku wewe ndio umeshika makali wakati mwenzako ameshika mpini
DuhKuombaomba ndiyo jadi ya wazanzibar
Botswanatuambie serikali moja tu africa inayopanga bajeti ya pesa za ndani bila kupata msaada kutoka mataifa ya nje nchi moja tu niambie
Ndicho anachokiweza huyo mzanzibariNi swala la tengua, teua
Kuhudhuria mikutano na halfa
Sasa hivi tena kuhudhuria sherehe ya kupokea msaada wa budget
Muda si mrefu wataanza kumpa kazi ya kwenda kukata utepe wa miradi mipya.
NakaziaKuombaomba ndiyo jadi ya wazanzibar
Na tunatoka hapo tunashangilia kama mazuzu. EU, WB, IMF na wengineo wanaofanana ni mpango wa nchi za magharibu kuendelea kutufanya makoloni yao.... hatutakaa tuishi bila kuwanyenyekea kisa misaada ya kijinga kama hii.Tunaachia chanzo cha mapato kwa wageni muda huo huo tunakinga bakuli.