ChawaWaMama
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,765
- 3,277
Hii ni Leo katika uzinduzi wa mashamba ya kwanza ya block farming Kwa Ajili ya vijana na wanawake..
Program ya BBT inalenga kutoa Ajira Zaidi ya mil.3 Kwa Vijana na wanawake kwenye Kilimo..
Huu mradi hauwezi kufanikiwa kama hakuna soko wala financing, kwa ufupi ni mradi hewa! Tatizo kubwa lililopo na jambo la kujiuliza je hayo mashamba yanatolewa bure??? Cha pili je fedha za kuendeshea kilimo anatoa nani??? Je masoko ya mazao yapo wazi?? Kitakachotokea ni block farming moja au mbili na vijana watatelekezwa na habari itaishia hapo.