Rais Samia ashiriki Halfa ya Utoaji Tuzo za Wasanii wa Uchekeshaji Tanzania. Na kupewa tuzo ya Champion of Comedy

Mchungaji mgogo kapitwaje na mchungaji hananja? Huyu steve mweusi ni nani tena au ni steve nyerere?
 
Rais Samia akishiriki Halfa ya Utoaji Tuzo za Wasanii wa Uchekeshaji Tanzania Ukumbi wa The Super Dome Februari 22, Dar es Salaam.

Pia soma: Pre GE2025 - Rais Samia kuwa mgeni rasmi wa kwenye tuzo za Tanzania Comedy Awards

Updates....
-Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Charles Makongoro Nyerere ameshinda tuzo ya Kiongozi Mcheshi katika Usiku wa Tuzo za Ucheshi (TCA) Zilizofanyika katika Ukumbi wa Super Dome Jijini Dar es salaam.

Katika Kinyanganyiro hicho Makongoro alikuwa akichuana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila, Mchingaji Hananja, Mkuu wa Mkoa Mstaafu Aggrey Mwanri na Sheikh Kipozeo.

-Wachekeshaji Steve Mweusi na Ndaro wameibuka washindi katika kipengele cha Best Comedy Duo katika tuzo za wachekeshaji Tanzania.

-Mchekeshaji maarufu Bongo, TX Dullah ameibuka mshindi katika kipengele cha Best Male Digital Comedian of The Year (Mchekeshaji Bora wa Kiume wa Kidijitali wa Mwaka) katika Tuzo za Wachekeshaji Bongo.

-Leonardo ameibuka Mshindi wa Jumla akinyakua Tuzo kubwa ya Overall best comedian of the year kwa wanaume na wanawake.

Kiti cha Urais kinadhaurika sana tena sana.
 
20250222_212529-jpg.3245688

Huyu ndiye kiongozi ambaye wananchi wa Huko Kilongosi Mtwara, Wanamtegemea atumie akili yake kuinua sekta ya Viwanda na Kutafuta masoko ndani na nje ya nchi ili wauze korosho zao

Huyu Ndiye Mgombea ambaye wanafunzi wanaokaa chini kwa kukosa madawati, Wanamtegemea achacharike kufanya transformed economics based on agriculture and handicrafts into economies based on large-scale industry, mechanized with manufacturing sector ili wapate madawati wasiketi chini.

Huyu ndiye mgombea tunayetegemea afanye technological advancements haswa katika ulimwengu huu wa AI, Ahangaikie ujenzi wa miundombinu ya kisasa ili kuboost uchumi,

Huyu ndiye kiongozi tunayetarajia asisitize na kuwekeza katika miundombinu na teknolojia, kukuza uvumbuzi na utafiti na maendeleo, kusaidia biashara ndogo na za kati (SMEs), kukuza wafanyakazi wenye ujuzi, kukuza biashara na ufikiaji wa masoko, kuunda mazingira mazuri ya udhibiti, na kuzingatiaatia industrial revolution v 4.0 kama vile uhandisi otomatiki na uchanganuzi wa data ili Tanzania iweze kukuza viwanda na kuinua uchumi wa nchi.

This is Tanzania
download-40-jpeg.3245691
 
Attachments

  • 20250222_212529.jpg
    20250222_212529.jpg
    550.4 KB · Views: 2
  • 20250222_212552.jpg
    20250222_212552.jpg
    289.3 KB · Views: 1
  • download (40).jpeg
    download (40).jpeg
    9.5 KB · Views: 3
20250222_212529-jpg.3245688

Huyu ndiye kiongozi ambaye wananchi wa Huko Kilongosi Mtwara, Wanamtegemea atumie akili yake kuinua sekta ya Viwanda na Kutafuta masoko ndani na nje ya nchi ili wauze korosho zao

Huyu Ndiye Mgombea ambaye wanafunzi wanaokaa chini kwa kukosa madawati, Wanamtegemea achacharike kufanya transformed economics based on agriculture and handicrafts into economies based on large-scale industry, mechanized with manufacturing sector ili wapate madawati wasiketi chini.

Huyu ndiye mgombea tunayetegemea afanye technological advancements haswa katika ulimwengu huu wa AI, Ahangaikie ujenzi wa miundombinu ya kisasa ili kuboost uchumi,

Huyu ndiye kiongozi tunayetarajia asisitize na kuwekeza katika miundombinu na teknolojia, kukuza uvumbuzi na utafiti na maendeleo, kusaidia biashara ndogo na za kati (SMEs), kukuza wafanyakazi wenye ujuzi, kukuza biashara na ufikiaji wa masoko, kuunda mazingira mazuri ya udhibiti, na kuzingatiaatia industrial revolution v 4.0 kama vile uhandisi otomatiki na uchanganuzi wa data ili Tanzania iweze kukuza viwanda na kuinua uchumi wa nchi.

This is Tanzania
download-40-jpeg.3245691
Ni vituko
 
Sijafuatilia ila nahoji TU???
KWANINI JOTI HAPEWI HESHIMA YAKE INAYOSTAHILI??...

JOTI ndio mchekeshaji Bora wa mda wote hapa Tanzania, anatakiwa apewe HESHIMA YAKE

Anafanya uhusika tofauti tofauti kwa kiwango kikubwa sana ambayo sidhani kama Kuna mchekeshaji anamfikia

Kwenye stand up comedy ndio usiseme, akisimama TU watu wanaanza kucheka kabla hata hajasema chochote

Wapeni tunzo hao wachekeshaji wenu wa mchongo, ila JOTI ni mtu mwingine kabisa hakuna kenge hapo anamfikia hata robo
 
Kuna Siku Mwendawazimu Mmoja anaweza pia kuanzisha Tuzo Maalum ya Wapumbavu nchini akamualika na akaenda.
 
Acha ujinga commedy imeajili nn badala ajikite na miradi kama ufugaji samaki na uchimbaji madin yuko kwenye ujinga huu
Hawa wanapenda kufatilia mambo mepesimepesi

Ova
 
Hiyo ni industry,inaajiri watu,unajua imeajiri wangapi kuanzia waigizaji,mameneja wao,kumbi za kufanyia komedi,vituo vya television vinavyorusha komedi, tatizo upeo wenu mdogo
Wana upeo mdogo sana....

Nimetoka kuongea na msomi wa kiwango cha "masters"...huyu naye pia anasema kuwa rais hakustahili kuhudhuria tukio hilo la Masaki....kwa kweli nimejichokea mno kwa kuona kama taifa tuna baadhi ya wasomi wenye kufikiri kidogo mno...

Watanzania wanalalamika ajira ni chache.....

Tasnia ya sanaa imesababisha maelfu kwa Malaki ya vijana wenzetu kupata riziki ya kila uchao ,leo unapingaje rais asihudhurie kuwaunga mkono watanzania wenzake hao ?!!

Niwapongeze waandazi wa shughuli hii ya leo ,ikihusisha wasanii wetu na wasaidizi wa mh.Rais Samia Suluhu Hassan....

#Taifa Kwanza!
#JMT milele dumu !
#Samia ni MFARIJI WETU MKUU !
 
Acha ujinga commedy imeajili nn badala ajikite na miradi kama ufugaji samaki na uchimbaji madin yuko kwenye ujinga huu
Hao waliopokea tuzo Wana maisha mazuri kuliko wewe, comedy imemuajiri joti,mpoki nk,Wana maisha mazuri siyo ya kuunga kama yako,rais anahusika na sekta zote ikiwemo ufugaji unaoutaka na madini
 
Awesome reply !
 
Umeona umeona ulivo jinga?? Nani kashinda nao maisha au kasema comedy sio ajira?? Ninkwamba sio secta inayoweza ajiri vijana hata 1000 tu hao wote waliotoboa wote tasnia nzima hawafiki 50 wakati madini na ufugaji inauwezo wa kuajiri wote hata mil 10 ya vijana .mtu rais anatakiwa kujikita secta za kuajiri wengi sio huu upuuzi upuuzi
 
Mpumbafu mwingine
 
Maamuzi ya Trump yanaweza kuleta mtikisiko mkubwa sana wa uchumi duniani, kama wananchi tunahitaji kuona hatua za tahadhari maana hatuhitaji kuhadithiwa tatizo na kuleta excuse tutahitaji kuona suluhu ya tatizo.
 
Umeona umeona ulivo jinga?? Nani kashinda nao maisha au kasema comedy sio ajira?? Ninkwamba sio secta inayoweza ajiri vijana hata 1000 tu hao wote waliotoboa wote tasnia nzima hawafiki 50 wakati madini na ufugaji inauwezo wa kuajiri wote hata mil 10 ya vijana .mtu rais anatakiwa kujikita secta za kuajiri wengi sio huu upuuzi upuuzi
Wewe ni kajinga, michezo na burudani tangu jakaya serikali imekua ikitazama namna gani itaweza kuikuza kwa kuwa inaajiri watu wengi,alianza jakaya kuilea,samia anaendeleza,wewe unataka aende kwenye madini tu huko kazi yenu kuambukizana ukimwi na kuitia serikali hasara ya kuwanunulia ARV,huko kwenye kilimo na ufugaji rais hajaweka nguvu,au umekunywa kangara unafikiri uharo tu kichwani mwako!?
 
Wana upeo mdogo sana....

Nimetoka kuongea na msomi wa kiwango cha "masters"...huyu naye pia anasema kuwa rais hakustahili kuhudhuria tukio hilo la Masaki....kwa kweli nimejichokea mno kwa kuona kama taifa tuna baadhi ya wasomi wenye kufikiri kidogo mno...

Watanzania wanalalamika ajira ni chache.....

Tasnia ya sanaa imesababisha maelfu kwa Malaki ya vijana wenzetu kupata riziki ya kila uchao ,leo unapingaje rais asihudhurie kuwaunga mkono watanzania wenzake hao ?!!

Niwapongeze waandazi wa shughuli hii ya leo ,ikihusisha wasanii wetu na wasaidizi wa mh.Rais Samia Suluhu Hassan....

#Taifa Kwanza!
#JMT milele dumu !
#Samia ni MFARIJI WETU MKUU !
Unajua maana ya malaki wewe au unajisemea tu
 
Back
Top Bottom