Rais Samia ashiriki Halfa ya Utoaji Tuzo za Wasanii wa Uchekeshaji Tanzania. Na kupewa tuzo ya Champion of Comedy

Champion of comedy😅😅😅
She a champ anyway.
 
Unaweza kujiona wewe ndio kilaza Tanzania nzima ila unapoingia JF na kukutana na post kama ya huyu jamaa lazima ufarijike.
 
🤮🤮
 
Nchi itajaa wasanii soon mnakuwa kama kongo

Ova
 
Mama mawiigii hongera sana na Leonard

Ila hiyo hashtag ni njaa tupu

Mama chanja na Asma hongereni
 
Acha ujinga commedy imeajili nn badala ajikite na miradi kama ufugaji samaki na uchimbaji madin yuko kwenye ujinga huu
Punguza uchawi kijana. Una aidia nzuri ila umelala nayo fofo. Ibua uone kama hato jikita nayo. Angalia utaenda nayo mu kaburi ndugu acha uchawi. IGA ya Omi dimpo😁😁😁
 
Tuzo ya kwanza alipaswa apewe Samia, maana naye ni msanii sawa na hawa wasanii. Nani anakula vicheko hata hivyo?
 
Hizi, kitchen party, goli la bibi ndiyo haswa kabobea
 
Punguza uchawi kijana. Una aidia nzuri ila umelala nayo fofo. Ibua uone kama hato jikita nayo. Angalia utaenda nayo mu kaburi ndugu acha uchawi. IGA ya Omi dimpo😁😁😁
hahaha we jamaa,kwanza kwenye dunia serious unataka mawazo mazuri unategemea uyapate kwa steve nyerere au huyo bwabwa ,tuzo kuanzisha huhitaji serikal kuhusika ila tuna ceremonial leadership watu wanaopenda uongozi wa kimasherehe ndo maana kila siku uzinduzi,tamasha ,warsha etc

Ndo madhara ya kuwapa political power watu waliosomea arts ,rais ni mtu mkuu sana na serious kuhudhuria hutu tushughul twa kipumbafu sio vyema huo muda angeutumia kuitisha wataalamu wa tesla waone jinsi gan waishawishi kununua kampuni zote za simu na wao kuwa dominant kwa kuipa 35% hisa government na kushusha gharama za internet kwa 50% yenye 6G hayo ndo level ya rais kujadil
 
Kama Mh Hangaya anakubaliki hivi na kila kundi, aruhusu sasa Uchaguzi HURU na wa HAKI..HOFU YA NINI?
 
Moja ya kazi za Wanasiasa ni kuchekesha Ndio sababu Mwalimu Nyerere na Mzee Makamba walipendelea kutoa vichekesho

Kwanini Chadema imekosa Tuzo?

Au wameonewa?
 
Mlishaambiwa, msivute bang**ii kabla ya kula.
Ona sasa unavyojiaibisha hadharani, moja kati ya kazi za wanasiasa ni nini?
 
Tofautisha chama na mtu binafsi, kipaji ni cha mtu hakuna kipaji cha chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…