Rais Samia ashiriki Kongamano la Pili la Kumuenzi Hayati Benjamin Mkapa, ahimiza ushirikiano wa Serikali na Sekta Binafsi

Leo ni kumbukumbu ya Uhuru wa Taifa la Ufaransa, nipo naangalia Live. Rais Macron ndiye Mgeni rasmi, pia kuna ugeni wa nchi nyingi za Ulaya. Kilichonivutia ni security coverage ya wenzetu wazungu.

Gari ya Rais imefika kisha askari Polisi akamfungulia mlango hapakuwa na mtu mwingine pale, kisha Rais akatembea peke yake kuelekea waliposimama wakuu wa vyombo vya majeshi na kusalimiana nao.

kisha akaongozana na mkuu wa Majeshi peke yao kupanda gari la wazi( mita kama 50, pale gari la wazi hapakuwa na mtu mwingine zaidi ya dereva tu, gari likaondoka wakiwa wamesimama wawili tu na nyuma kukiwa na pikipiki za Polisi kama 20 hivi.

Kisha alipofika kwenye uwanja wakashuka kisha Rais peke yake akaelekea kukagua gwaride kisha kuelekea jukwaani. Yaani pamoja na kuwa na watu wengi sana lakini sikuona Askari wakiwa pembeni na kuambatana naye na mabunduki makubwa, wala sikuona suti nyeusi hata mmoja au wakiwa wamening'inia kwenye milango ya gari nyuma ya gari ya rais.

Kiuhalisia gwaride likiwa na mchanganyiko wa mavazi huwa halipendizi mfano kukuta watu wamevaa kiraia halafu wanapita kwenye gwaride, inaleta maana sana kukuta aliyevaa kiraia(suti) ni rais peke yake. Maoni yangu kama ni suala la kiusalama ni vema ifanyike utaratibu kwa walinzi wanaoingia na rais wavae kijeshi ili isiharibu muonekano wa gwaride.

KITENGO Mnapiga kazi nzuri sana iliyotukuka lakini hebu jaribuni Kwenda Mbali zaidi na kuchukuwa mengine ya wenzetu yatakayofaa ktk mazingira ya kwetu. Nadhani pia hii ya Ufaransa huenda wamezingatia shughuli inafanyikia wapi, lakini KWETU TZ NA AFRICA DAAAAAH!!! Sisi Africa unakuta coverage haitofautishi hapa ni Kibiti na hapa ni parokiani.

Mkipata muda jaribuni kuangalia Maadhimisho ya kumbukumbu ya Uhuru wa Ufaransa iliyofanyika leo kuna kikubwa mtajifunza tu
 
Hapo pesa za umma zitapigwa balaa
Miradi ya kurahisisha uzalishaji na kukuza uchumi inatufanya tuwekewe vikwazo na wakopeshaji wakubwa duniani. Miradi isiyochangia chochote katika kuifanya Tanzania ijitegemee ndiyo wakopeshaji wakubwa wanapenda kutupatia pesa. Hee!!

Hivi nilitaka kuandika nini!? Kumradhi msomaji!
 
Miradi ya kurahisisha uzalishaji na kukuza uchumi inatufanya tuwekewe vikwazo na wakopeshaji wakubwa duniani. Miradi isiyochangia chochote katika kuifanya Tanzania ijitegemee ndiyo wakopeshaji wakubwa wanapenda kutupatia pesa !!!
Hee!!!

Hatari sn
 
Angalia machache aliyofanya Mkapa hapa na akaondoka baada ya miaka 10.

Mbali na mianya ya Rushwa,Awamu ya Mzee Mkapa ilipatwa na changamoto za uendeshaji wa Siasa visiwani Zanzibar,na ndiyo maeneo ambayo Serikali yake ilikosolewa sana, Ila kuna mazuri alifanya na hatuwezi kusema hakufanya. Hebu ona baadhi ya machache aliyoyafanya.

1.Tanzania inajivunia kuwa na Uwanja mkubwa wa mpira Afrika Mashariki na Kati (Ulijengwa wakati wa Mkapa).

2. Chuo Kikuu Kikubwa Afrika Mashariki(Chuo Kikuu Cha Dodoma), ni matokeo ya Maamuzi ya Serikali ya Mzee Mkapa na kuja kukamilisha kwa vitendo na Serikali ya Jakaya Kikwete, kumbukumbu kabla ya UDOM watanzania wenye sifa za kusoma Chuo Kikuu walikuwa wanapigana Vikumbo UDSM na SUA kabla ya Ujio wa SAUT.

3.Mtandao wa Barabara za Lami nchi nzima zilianza kutengwa kwa speed kubwa wakati wa Mzee Mkapa, nadhani alilenga kuacha Alama ya kuwa kiongozi ambaye amejenga mtandao wa Lami nchi nzima.

4. Mzee Mkapa aliendeleza pale alipoanzisha Mzee Mwinyi kwa kubadili mfumo wa Uchumi kutoka Uchumi hodhi kwenda Uchumi wa Ubia kati ya Sekta binafsi na Serikali na ndiyo tukaanza kuona kasi kubwa ya uwekezaji katika kila sekta kutoka sekta binafsi, leo tuna Vyuo Vikuu zaidi ya 20 vinavyomilikiwa na sekta binafsi, kwa upande wa Sekta ya Afya zaidi ya asilimia 50 ya vituo vya Afya vinamilikiwa na sekta binafsi. Haya ni matokeo ya maono ya Mzee Mkapa.

5. Mzee Mkapa alianza kutoa mikopo kwa wanafunzi wa Vyuo Vikuu binafsi, kabla ya uamuzi huo ilikuwa ili upate Mkopo ilikuwa lazima usome kati ya UDSM, Muhimbili au SUA hii ilisababisha vijana wengi wenye sifa ya kusoma Chuo Kikuu wakakosa fursa hiyo,leo tujiulize Mkapa asingeamua Haya wangapi wangekosa fursa hii ya kusoma mpaka Chuo Kikuu?Hizi degree zilizotapakaa mpaka Vijijini ni matokeo ya Uongozi wa Mzee Mkapa.

6.Ni wakati wa Mzee Mkapa ndiyo Ajira za Serikali zilirejea rasmi,mwaka 1997,ndiyo Serikali ilirejesha kwa kasi Ajira Serikalini Baada ya kusitishwa kwa muda kwa kile kilichoitwa Kubana matumizi,kabla yake ilikuwa Ni kawaida mtu kumaliza Chuo na kukaa hata miaka 5 bila Ajira kwa sababu kasi ya Serikali kuajiri ilifubaishwa kwa kisingizio cha kubana matumizi.

8.Mzee Mkapa alipokea nchi ikiwa na mzigo wa madeni,binafsi sikuwahi kumsikia akimsema mtangulizi wake kwa kukopa huko,Mzee Mkapa alijua kwa mazingira yeyote Serikali ya Mzee Mwinyi ilikuwa lazima ikope Maana ilichokikuta hazina ilihitaji busara na akili kubwa kuiongoza nchi na ndiyo Maana Mzee Mwinyi alikopa sana,Mzee Mkapa kwa kutambua kazi kubwa aliyofanya Mzee Mwinyi,aliyalipa madeni mpaka kufikia chini ya Trilion 8,alilipa kimya kimya huku akijua Ni wajibu wake.

9.Bunge hili la Kisasa lililopo Dodoma,lilijengwa na Serikali ya Mzee Mkapa.

10.Hata kwenye michezo kila Awamu kulikuwa na mafanikio,Awamu ya kwanza ilishuhudia Tanzania ikicheza kwa Mara ya kwanza fainali za Mataifa Huru barani Afrika,Awamu ya Pili Simba ilicheza faunal za michuano ya kumbe la shirikisho la kabumbu barani Afrika,Awamu ya Tatu Yanga ikafuzu kucheza hatua ya makundi ya kombe la Klabu Bingwa Afrika,awamu ya nne Simba ikacheza hatua hiyo ya makundi ya Klabu bingwa,Awamu ya tano Taifa Stars imecheza fainal za mataifa Afrika huku Simba ikifika hatua za makundi.
11. Alianzisha Taasisi madhubuti za kisasa Kama TRA, TANROADS, TFDA,
 
MAHALI POPOTE ALIPO MUNGU AMLINDE MKAPA ALIUMALIZA MWENDO SALAMA TANZANIA ALIILINDA SALAMA
 
Back
Top Bottom