Nyerere ni muasisi tu. Wakulaumiwa ni sisi ambao tumeshindwa kurekibisha yaliyomo ili yaweze kutufaaUhuru wa Tanganyika Kiongozi Mkuu kutoka taifa lingine Zanzibar.Hii nchi bado inasafari ndefu sana katika suala zima la kujitambua.
Mwl Nyerere katuachia katiba ya ajabu ajabu kiasi kwamba hta wananchi hawajui thamani ya nchi yao.Hakika Mwl Nyerere hastahili utakatifu hata kidogo kauza uhuru kwa taifa la Zanzibar ambao nao kila siku wanauza rasilimali zetu kwa waarabu.
Tanganyika ndio ilipata Uhuru 9/12/1961 sio Tanzania bara, acheni upotoshaji.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara
Wewe unavyoitaja unafaidika nini?!Mkuu hakujawahi kuwa na Uhuru wa Tanzania Bara , ni Uhuru wa Tanganyika , Inasikitisha sana ikiwa hata wewe unaingia kwenye upotoshaji huu .
Mnaogopa nini kuitaja Tanganyika , mkiitaja mtafanywaje , na atakayewafanya hivyo ni nani na kwanini ?
Mwambieni abaki Dodoma..Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara na Mkutano wa Kwanza wa Kitaifa wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 leo tarehe 09 Desemba, 2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete.
Ni ujinga tu,hakuna lolote hapo,huwezi kuweka dira huna katiba Imara alafu unasema utaisimamia dira,maprofesa wengine ni wajinga tu ana bahati ya Elimu lkn hana Akili.Atakuja Rais mwingine atasema hicho mlichokaa na mkakiita dira ni ugolo mtupu na ujinga Sijui mtasemaje.kwa katiba hii hapo hakuna dira ila mlichofanya ni kuwalipa posho hao washiriki wa hicho mlichotengeneza.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara na Mkutano wa Kwanza wa Kitaifa wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 leo tarehe 09 Desemba, 2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete.
Wanasema unapokula na kipofu usimshike mkono...Ni ujinga tu,hakuna lolote hapo,huwezi kuweka dira huna katiba Imara alafu unasema utaisimamia dira,maprofesa wengine ni wajinga tu ana bahati ya Elimu lkn hana Akili.Atakuja Rais mwingine atasema hicho mlichokaa na mkakiita dira ni ugolo mtupu na ujinga Sijui mtasemaje.kwa katiba hii hapo hakuna dira ila mlichofanya ni kuwalipa posho hao washiriki wa hicho mlichotengeneza.
Toa uhuruwa Tanzania bara, weka Uhuru wa TanganyikaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara na Mkutano wa Kwanza wa Kitaifa wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 leo tarehe 09 Desemba, 2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete.
Acha upotoshaji usiokuwa na weledi.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara na Mkutano wa Kwanza wa Kitaifa wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 leo tarehe 09 Desemba, 2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete.
Ushauri wangu kwako ni huu; badala ya kumuita mwenzako mpotoshaji ungeomba mjadala.Acha upotoshaji usiokuwa na weledi.
Kabla na baada ya tarehe 9/12/1961 Tanzania bara haikuwepo, haijawahi kutawaliwa wala kupata uhuru. Tanzania bara imeanza kuanzia tarehe 26/4/1964 kwa makubaliano ya Nyerere na Karume.
Kabla ya tarehe 26/4/1964 rudi nyuma mpaka mwaka 1920 ilijulikana kama Tanganyika
Kabla ya mwaka 1920 lilijulikana kwa majina kadhaa yaliyopendekezwa na mkoloni Mjerumani kwa mfano
1. Smutsland
2. Ebumea
3. New Maryland
4. Windsorland
5. Victoria
6. Deustche Ost-Afrika
Majina yote hayo hapo juu baada ya ujio wa Mwingereza aliyakataa na kuahidi kutafuta majina mengine yanayowakilisha lugha za kienyeji.
Baada ya Mwingereza kutoa wito wa kupendekezwa jina linalotokana na lugha za kienyeji, ndipo majina mawili yalipendekezwa ambayo ni
1. Kilimanjaro
2. Tabora
Hata hivyo pamoja na majina yote mawili kumridhisha mkoloni wa kiingereza lakini hakuyakubali kutumika
Baadae likapendekezwa jina la Tanganyika Protectorate ambalo lilikubaliwa kutokana na kwamba jina Tanganyika lilitokana na ziwa kubwa lililoko magharibi mwa nchi lilipewa jina hilo na wenyeji wake.
Baada ya kukubaliki ndipo mshauri wa mkoloni akapendekezwa nchi iitwe Tanganyika Territory tangu mwaka 1920.
Kwa hiyo waandishi msiojitambua muepuke kupotosha kisa tu mlizaliwa kipindi cha Tanzania kwa hiyo mnalazimishwa kulitohoa jina Tanzania bara ambayo haikuwepo kabla ya 26/4/1964 lakini pia kabla ya mwaka 1920 Tanganyika haikuwepo.
Hapo tu ndipo mnapokosea!Uhuru wa Tanganyika Kiongozi Mkuu kutoka taifa lingine Zanzibar.Hii nchi bado inasafari ndefu sana katika suala zima la kujitambua.
Mwl Nyerere katuachia katiba ya ajabu ajabu kiasi kwamba hta wananchi hawajui thamani ya nchi yao.Hakika Mwl Nyerere hastahili utakatifu hata kidogo kauza uhuru kwa taifa la Zanzibar ambao nao kila siku wanauza rasilimali zetu kwa waarabu.
Ila kusema UKWELI aliyekuja na jina Tanganyika MUNGU anamuona!Acha upotoshaji usiokuwa na weledi.
Kabla na baada ya tarehe 9/12/1961 Tanzania bara haikuwepo, haijawahi kutawaliwa wala kupata uhuru. Tanzania bara imeanza kuanzia tarehe 26/4/1964 kwa makubaliano ya Nyerere na Karume.
Kabla ya tarehe 26/4/1964 rudi nyuma mpaka mwaka 1920 ilijulikana kama Tanganyika
Kabla ya mwaka 1920 lilijulikana kwa majina kadhaa yaliyopendekezwa na mkoloni Mjerumani kwa mfano
1. Smutsland
2. Ebumea
3. New Maryland
4. Windsorland
5. Victoria
6. Deustche Ost-Afrika
Majina yote hayo hapo juu baada ya ujio wa Mwingereza aliyakataa na kuahidi kutafuta majina mengine yanayowakilisha lugha za kienyeji.
Baada ya Mwingereza kutoa wito wa kupendekezwa jina linalotokana na lugha za kienyeji, ndipo majina mawili yalipendekezwa ambayo ni
1. Kilimanjaro
2. Tabora
Hata hivyo pamoja na majina yote mawili kumridhisha mkoloni wa kiingereza lakini hakuyakubali kutumika
Baadae likapendekezwa jina la Tanganyika Protectorate ambalo lilikubaliwa kutokana na kwamba jina Tanganyika lilitokana na ziwa kubwa lililoko magharibi mwa nchi lilipewa jina hilo na wenyeji wake.
Baada ya kukubaliki ndipo mshauri wa mkoloni akapendekezwa nchi iitwe Tanganyika Territory tangu mwaka 1920.
Kwa hiyo waandishi msiojitambua muepuke kupotosha kisa tu mlizaliwa kipindi cha Tanzania kwa hiyo mnalazimishwa kulitohoa jina Tanzania bara ambayo haikuwepo kabla ya 26/4/1964 lakini pia kabla ya mwaka 1920 Tanganyika haikuwepo.
Historia nzuri hii,Acha upotoshaji usiokuwa na weledi.

Swali lako ni la kijingaWewe unavyoitaja unafaidika nini?!
Ni Mkakati wa kuwauzia Wazanzibar TanganyikaIKULU mawasiliano
Tafadhali sana acheni kupotosha , acheni kufuta Historia
Mkoloni wa Uingereza alitoa Uhuru Dec 09 1965 kwa nchi ya Tanganyika.
Hakuna ! hakuna nchi duniani inayoitwa Tanzania Bara. Hamuwezi kufuta historia
Historia haifuwi wala haiandikwi. Historia inajidhihiri, msipotoshe kizazi ! Acheni !
Huu upotoshaji unamdhalilisha Mh Rais . Lini uliwahi kusikia Mapinduzi ya Tanzania Visiwani.
Pascal Mayalla JokaKuu
Siku zote CCM huwa wanafikiri wananchi wote ni vilaza kama walivyo wanachama wao.Hivi hiyo Tanzania bara ndio nchi gani? Tanganyika ndio nchi iliyopita uhuru tarehe 9/12/1961 na ndio iliyoingizwa kwenye muungano wa kihuni na Zanzibar!!. Tusieendelee halalisha haramu!.
Una tatizo la ujinga uliokithiri, nakuuliza machache haya ili ujimulike kichwani kama uko sawaUshauri wangu kwako ni huu; badala ya kumuita mwenzako mpotoshaji ungeomba mjadala.
Ninachokuhakikishia, hakuna wakati wowote ule ambapo Tabora na Kilimanjaro viliwahi kufikiriwa kuwa jina lanchi kabla ya Tanganyika.
Kabla ya Tanganyika Tabora ilikua bado haijawa named kama mji, ilikua bado ikiitwa Matoborwa na mji uliokuwepo ukijulikana na maarufu ni Kazeh hill. Tabora ilikuja baadaye, wakati tayari kukiwa na miji maarufu kama vile Urambo.
Kilimanjaro uliitwa hivyo huo mlima lakini na wenyewe ulikua hauleweke sana asili yake. Kwani hilo Jina la Kilimanjaro Wakamba wa Kenya ndiyo waliupa hilo jina.
Unasema majina yaliyopendekezwa Wajerumani ni;
1. Smutsland
2.
3. New Maryland
4. Windsorland
5. Victoria
Yaani Mjerumani apendekeze koloni lake liitwe majina ya kiingereza? Hivi hii inaingia akilini mwako kweli?