Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara na Mkutano wa Kwanza wa Kitaifa wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050

Uhuru wa Tanganyika Kiongozi Mkuu kutoka taifa lingine Zanzibar.Hii nchi bado inasafari ndefu sana katika suala zima la kujitambua.

Mwl Nyerere katuachia katiba ya ajabu ajabu kiasi kwamba hta wananchi hawajui thamani ya nchi yao.Hakika Mwl Nyerere hastahili utakatifu hata kidogo kauza uhuru kwa taifa la Zanzibar ambao nao kila siku wanauza rasilimali zetu kwa waarabu.
Nyerere ni muasisi tu. Wakulaumiwa ni sisi ambao tumeshindwa kurekibisha yaliyomo ili yaweze kutufaa
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara
Tanganyika ndio ilipata Uhuru 9/12/1961 sio Tanzania bara, acheni upotoshaji.
 
Uhuru wa Nchi ya Tanganyika 9/12/1961.
 
Mkuu hakujawahi kuwa na Uhuru wa Tanzania Bara , ni Uhuru wa Tanganyika , Inasikitisha sana ikiwa hata wewe unaingia kwenye upotoshaji huu .

Mnaogopa nini kuitaja Tanganyika , mkiitaja mtafanywaje , na atakayewafanya hivyo ni nani na kwanini ?
Wewe unavyoitaja unafaidika nini?!
 
CCM ni watu hatariiiiiiiiii Kwa nchi hii ,yaani mnapotoshaaaaaa vizazi makusudi UHURU WA TANGANYIKA yaani elimu inakufa Kwa ujinga kama huu
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara na Mkutano wa Kwanza wa Kitaifa wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 leo tarehe 09 Desemba, 2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete.

Ni ujinga tu,hakuna lolote hapo,huwezi kuweka dira huna katiba Imara alafu unasema utaisimamia dira,maprofesa wengine ni wajinga tu ana bahati ya Elimu lkn hana Akili.Atakuja Rais mwingine atasema hicho mlichokaa na mkakiita dira ni ugolo mtupu na ujinga Sijui mtasemaje.kwa katiba hii hapo hakuna dira ila mlichofanya ni kuwalipa posho hao washiriki wa hicho mlichotengeneza.
 
Wanasema unapokula na kipofu usimshike mkono...
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara na Mkutano wa Kwanza wa Kitaifa wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 leo tarehe 09 Desemba, 2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete.

Acha upotoshaji usiokuwa na weledi.

Kabla na baada ya tarehe 9/12/1961 Tanzania bara haikuwepo, haijawahi kutawaliwa wala kupata uhuru. Tanzania bara imeanza kuanzia tarehe 26/4/1964 kwa makubaliano ya Nyerere na Karume.

Kabla ya tarehe 26/4/1964 rudi nyuma mpaka mwaka 1920 ilijulikana kama Tanganyika

Kabla ya mwaka 1920 lilijulikana kwa majina kadhaa yaliyopendekezwa na mkoloni Mjerumani kwa mfano
1. Smutsland
2. Ebumea
3. New Maryland
4. Windsorland
5. Victoria
6. Deustche Ost-Afrika
Majina yote hayo hapo juu baada ya ujio wa Mwingereza aliyakataa na kuahidi kutafuta majina mengine yanayowakilisha lugha za kienyeji.

Baada ya Mwingereza kutoa wito wa kupendekezwa jina linalotokana na lugha za kienyeji, ndipo majina mawili yalipendekezwa ambayo ni

1. Kilimanjaro
2. Tabora

Hata hivyo pamoja na majina yote mawili kumridhisha mkoloni wa kiingereza lakini hakuyakubali kutumika

Baadae likapendekezwa jina la Tanganyika Protectorate ambalo lilikubaliwa kutokana na kwamba jina Tanganyika lilitokana na ziwa kubwa lililoko magharibi mwa nchi lilipewa jina hilo na wenyeji wake.

Baada ya kukubaliki ndipo mshauri wa mkoloni akapendekezwa nchi iitwe Tanganyika Territory tangu mwaka 1920.

Kwa hiyo waandishi msiojitambua muepuke kupotosha kisa tu mlizaliwa kipindi cha Tanzania kwa hiyo mnalazimishwa kulitohoa jina Tanzania bara ambayo haikuwepo kabla ya 26/4/1964 lakini pia kabla ya mwaka 1920 Tanganyika haikuwepo.
 
Ushauri wangu kwako ni huu; badala ya kumuita mwenzako mpotoshaji ungeomba mjadala.
Ninachokuhakikishia, hakuna wakati wowote ule ambapo Tabora na Kilimanjaro viliwahi kufikiriwa kuwa jina lanchi kabla ya Tanganyika.
Kabla ya Tanganyika Tabora ilikua bado haijawa named kama mji, ilikua bado ikiitwa Matoborwa na mji uliokuwepo ukijulikana na maarufu ni Kazeh hill. Tabora ilikuja baadaye, wakati tayari kukiwa na miji maarufu kama vile Urambo.

Kilimanjaro uliitwa hivyo huo mlima lakini na wenyewe ulikua hauleweke sana asili yake. Kwani hilo Jina la Kilimanjaro Wakamba wa Kenya ndiyo waliupa hilo jina.

Unasema majina yaliyopendekezwa Wajerumani ni;
1. Smutsland
2.
3. New Maryland
4. Windsorland
5. Victoria

Yaani Mjerumani apendekeze koloni lake liitwe majina ya kiingereza? Hivi hii inaingia akilini mwako kweli?
 
Uhuru wa Tanganyika Kiongozi Mkuu kutoka taifa lingine Zanzibar.Hii nchi bado inasafari ndefu sana katika suala zima la kujitambua.

Mwl Nyerere katuachia katiba ya ajabu ajabu kiasi kwamba hta wananchi hawajui thamani ya nchi yao.Hakika Mwl Nyerere hastahili utakatifu hata kidogo kauza uhuru kwa taifa la Zanzibar ambao nao kila siku wanauza rasilimali zetu kwa waarabu.
Hapo tu ndipo mnapokosea!
Nyerere aliishi na kufanya aliyofanya!
Sisi tuliopo hai tunafanya nini!??
 
Acha upotoshaji usiokuwa na weledi.

Kabla na baada ya tarehe 9/12/1961 Tanzania bara haikuwepo, haijawahi kutawaliwa wala kupata uhuru. Tanzania bara imeanza kuanzia tarehe 26/4/1964 kwa makubaliano ya Nyerere na Karume.

Kabla ya tarehe 26/4/1964 rudi nyuma mpaka mwaka 1920 ilijulikana kama Tanganyika

Kabla ya mwaka 1920 lilijulikana kwa majina kadhaa yaliyopendekezwa na mkoloni Mjerumani kwa mfano
1. Smutsland
2. Ebumea
3. New Maryland
4. Windsorland
5. Victoria
6. Deustche Ost-Afrika
Majina yote hayo hapo juu baada ya ujio wa Mwingereza aliyakataa na kuahidi kutafuta majina mengine yanayowakilisha lugha za kienyeji.

Baada ya Mwingereza kutoa wito wa kupendekezwa jina linalotokana na lugha za kienyeji, ndipo majina mawili yalipendekezwa ambayo ni

1. Kilimanjaro
2. Tabora

Hata hivyo pamoja na majina yote mawili kumridhisha mkoloni wa kiingereza lakini hakuyakubali kutumika

Baadae likapendekezwa jina la Tanganyika Protectorate ambalo lilikubaliwa kutokana na kwamba jina Tanganyika lilitokana na ziwa kubwa lililoko magharibi mwa nchi lilipewa jina hilo na wenyeji wake.

Baada ya kukubaliki ndipo mshauri wa mkoloni akapendekezwa nchi iitwe Tanganyika Territory tangu mwaka 1920.

Kwa hiyo waandishi msiojitambua muepuke kupotosha kisa tu mlizaliwa kipindi cha Tanzania kwa hiyo mnalazimishwa kulitohoa jina Tanzania bara ambayo haikuwepo kabla ya 26/4/1964 lakini pia kabla ya mwaka 1920 Tanganyika haikuwepo.
Ila kusema UKWELI aliyekuja na jina Tanganyika MUNGU anamuona!
Au alijua sisi ni wa-Danganyika??
Make naona tunaishi udanganyifu na kudanganywa danganywa tu!
 
Acha upotoshaji usiokuwa na weledi.

Kabla na baada ya tarehe 9/12/1961 Tanzania bara haikuwepo, haijawahi kutawaliwa wala kupata uhuru. Tanzania bara imeanza kuanzia tarehe 26/4/1964 kwa makubaliano ya Nyerere na Karume.

Kabla ya tarehe 26/4/1964 rudi nyuma mpaka mwaka 1920 ilijulikana kama Tanganyika

Kabla ya mwaka 1920 lilijulikana kwa majina kadhaa yaliyopendekezwa na mkoloni Mjerumani kwa mfano
1. Smutsland
2. Ebumea
3. New Maryland
4. Windsorland
5. Victoria
6. Deustche Ost-Afrika
Majina yote hayo hapo juu baada ya ujio wa Mwingereza aliyakataa na kuahidi kutafuta majina mengine yanayowakilisha lugha za kienyeji.

Baada ya Mwingereza kutoa wito wa kupendekezwa jina linalotokana na lugha za kienyeji, ndipo majina mawili yalipendekezwa ambayo ni

1. Kilimanjaro
2. Tabora

Hata hivyo pamoja na majina yote mawili kumridhisha mkoloni wa kiingereza lakini hakuyakubali kutumika

Baadae likapendekezwa jina la Tanganyika Protectorate ambalo lilikubaliwa kutokana na kwamba jina Tanganyika lilitokana na ziwa kubwa lililoko magharibi mwa nchi lilipewa jina hilo na wenyeji wake.

Baada ya kukubaliki ndipo mshauri wa mkoloni akapendekezwa nchi iitwe Tanganyika Territory tangu mwaka 1920.

Kwa hiyo waandishi msiojitambua muepuke kupotosha kisa tu mlizaliwa kipindi cha Tanzania kwa hiyo mnalazimishwa kulitohoa jina Tanzania bara ambayo haikuwepo kabla ya 26/4/1964 lakini pia kabla ya mwaka 1920 Tanganyika haikuwepo.
Historia nzuri hii,
( kabla ya mwaka 1920 Tanganyiks haikuwepo).

Naomba kufahamu je , ilikuwepo nchi gani kwa jina?

Na labda kabla ya ule mkutano wa Berlin, vilevile kulikuwa na nchi gani hapa tulipo( Tanzania)?
 
IKULU mawasiliano

Tafadhali sana acheni kupotosha , acheni kufuta Historia

Mkoloni wa Uingereza alitoa Uhuru Dec 09 1965 kwa nchi ya Tanganyika.

Hakuna ! hakuna nchi duniani inayoitwa Tanzania Bara. Hamuwezi kufuta historia

Historia haifuwi wala haiandikwi. Historia inajidhihiri, msipotoshe kizazi ! Acheni !

Huu upotoshaji unamdhalilisha Mh Rais . Lini uliwahi kusikia Mapinduzi ya Tanzania Visiwani.

Pascal Mayalla JokaKuu
 
Ni Mkakati wa kuwauzia Wazanzibar Tanganyika
 
Hivi hiyo Tanzania bara ndio nchi gani? Tanganyika ndio nchi iliyopita uhuru tarehe 9/12/1961 na ndio iliyoingizwa kwenye muungano wa kihuni na Zanzibar!!. Tusieendelee halalisha haramu!.
Siku zote CCM huwa wanafikiri wananchi wote ni vilaza kama walivyo wanachama wao.

Tarehe 9 Disemba kila mwaka tunaadhimisha Uhuru wa Tanganyika. Na siyo Tanzania Bara kama wanavyo potosha.
 
Ushauri wangu kwako ni huu; badala ya kumuita mwenzako mpotoshaji ungeomba mjadala.
Ninachokuhakikishia, hakuna wakati wowote ule ambapo Tabora na Kilimanjaro viliwahi kufikiriwa kuwa jina lanchi kabla ya Tanganyika.
Kabla ya Tanganyika Tabora ilikua bado haijawa named kama mji, ilikua bado ikiitwa Matoborwa na mji uliokuwepo ukijulikana na maarufu ni Kazeh hill. Tabora ilikuja baadaye, wakati tayari kukiwa na miji maarufu kama vile Urambo.

Kilimanjaro uliitwa hivyo huo mlima lakini na wenyewe ulikua hauleweke sana asili yake. Kwani hilo Jina la Kilimanjaro Wakamba wa Kenya ndiyo waliupa hilo jina.

Unasema majina yaliyopendekezwa Wajerumani ni;
1. Smutsland
2.
3. New Maryland
4. Windsorland
5. Victoria

Yaani Mjerumani apendekeze koloni lake liitwe majina ya kiingereza? Hivi hii inaingia akilini mwako kweli?
Una tatizo la ujinga uliokithiri, nakuuliza machache haya ili ujimulike kichwani kama uko sawa
1. Africa kusini wenyeji ndio walipendekeza? Johanesberg ndio walipendekeza wenyeji?
2. Guinea Bissau wenyeji ndio walipendekeza jina hilo?
3. Rhodesia wenyeji ndio walipendekeza jina hilo?
4. Salisbury, Malawi wenyeji ndio walipendekeza jina hilo?
5. Ziwa Victoria ndio walipendekeza wenyeji jina hilo badala ya Nyanza?
6. Bandar Al Salama ( Dar Es Salaam) wenyeji ndio walipendekeza jina hilo badala ya Mzizima?
7. Mikocheni (Michael Chain) wenyeji ndio walipendekza jina hilo?
8. Kawe (Cow Way) wenyeji ndio walipendekeza jina hilo?
9. Lindi (Linda, Lindsay, Belinda) jina hilo lilipendekezwa na wenyeji kama sio wajerumani na waingereza kwa kuwa kulikuwa na wasichana warembo wa kijerumani, kiingereza na kihispania walikuwa wakiishi hapo?
10. Sierra Leone, Cote D'Ivoire, Benin, Niger, Gabon, Cameroon, Senegal, Equatorial Guinea nk je hayo majina ya nchi wenyeji ndio waliyapendekeza?

Fanya utafiti uje na ukweli pingamizi badala ya kubwabwaja bila mantiki
 
Back
Top Bottom