Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Siku ya kupambana na Rushwa Afrika, leo Julai 11, 2023

Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Siku ya kupambana na Rushwa Afrika, leo Julai 11, 2023

Wanasiasa wakajifunze namna ya kuzuia rushwa then wana TAKUKURU??? Tutafika tukiwa tumechoka sana
 
Mimi niseme ukweli akili ndogo haiwezi endesha akili kubwa, Hamduni Hana guts kuiendesha PCCB at all, Polisi na rushwa wapi na wapi jamani?

Mama aangalie watu wa kuteua wawe na uzalendo wa juu siyo tu kuwa kamishna au Jaji this is big NOOOOO!!!.

PCCB ifumuliwe iundwe upya tena kuanzia ngazi ya Kata Kama vyombo vingine hapo itakuwa sawa.
Wanazengo wanasema huyo n bloodline
 
Back
Top Bottom