Mimi niseme ukweli akili ndogo haiwezi endesha akili kubwa, Hamduni Hana guts kuiendesha PCCB at all, Polisi na rushwa wapi na wapi jamani?
Mama aangalie watu wa kuteua wawe na uzalendo wa juu siyo tu kuwa kamishna au Jaji this is big NOOOOO!!!.
PCCB ifumuliwe iundwe upya tena kuanzia ngazi ya Kata Kama vyombo vingine hapo itakuwa sawa.