Rais Samia ashiriki sherehe za Jubilee ya miaka 25 ya Mhashamu Askofu Niwemugizi, aombwa kusamehe kodi hospitali za kanisa toka mwaka 2015

Msimamo wako si msimsmo - hiyo Biblia bado ni ya madhehebu, unless uisome kwako au Tanganyika Library kujifurahisha. Rais ni Rais wa watu wote, Askofu ni Askofu wa watu wote Jimboni kwake, hawawezi kuchagua wamwalike nani asimwalike nani, amuone nani asimuone nani.

Utakuta akilifyatu kama Tundu Lissu inajaribu kujimwambafy ili ionekane kama ina ushawishi lakini ukweli unabaki pale pale Rais ni Rais na Askofu ni Askofu. Hakuna lililoharibika. Askofu inasemekana ni Mhutu wa nchi jirani (na tabia zake ni za Kihutu, wewe unaonaje?), lakini vyombo vilichunguza vikamsafisha. Samia naye kajikuta ni Rais kwa minajili ya Katiba, aliyoyakuta ameyakuta, hawezi kumtenga ni raia wake.
 
Aisee hawa viongozi wa kiimani wanatufunza mengi!
...huyu askofu aliteswa na lile jitu katili lililodhani litaishi milele lakini yeye akalisalia sala ya mwisho na kulirushia mavumbi ya mwisho akaamuru jitu katili lifukiwe.
Jifunze kuwa na kiasi,
 
Tatizo hapa sio SSH kuhudhiria sherehe au uongozi wa kanisa kumwalika Rais,tatizo ni mzee wa katiba kuwa Rumande.Hii inawafanya watu wachanganye mambo.Kanisa haliko mbinguni liko ardhini na viongozi hawapo mbinguni wako duniani.Kanisa halijawahi kua na ugomvi na kiti cha Rais daima hukialika inapobidi kwa kuwa linajua kiti cha Rais ni kiti kitakatifu japo anayekalia anaweza asiwe mtakatifu lakini kiti kibaki hivyo daima,Kanisa katoliki ni taasisi imara pengine kuliko dhehebu lolote au Imani nyingine kutokana muundo wake wa kuanzia juu hadi chidi kabisa.Unaweza kusema kutoka kwa Rais hadi kwa balozi.Kanisa katoliki haliendehwi kwa mihemko japo wachache wanaweza kuzama huko lakini hatua huchukuliwa.
 
Kwa aina hii ya maaskofu taifa hili kupata maendeleo ni ndoto, hapo atakuwa amepewa bahasha, kazi ya viongozi wa dini ni kimbilio la wanyonge hivyo wanatakiwa kumwambia ukweli bibi ushungi
 
What is your message?

Umezungukazunguka tu
 
Dikteta alikuwa anapenda mabifu sn
 
Huyu mama anadanganywa sana, zaidi ya wiki hujakaa ofisini, unarudi tu unapaa kwenda sehemu nyingine....urais wa tz unaonekana rahisi sana. kazi yake ni kuhutubu mikutano na kuapisha tu
 
Mayalla nami naongeza nyama, Marehemu Padre Karugendo alikuwa rafiki yangu mkubwa sana:Aliwai kuniambia magomvi yake makubwa na Askofu wake ni Niwemugizi ni kwamba Askofu alitumia maungamo ya Karugendo kama fimbo kumuadhibu popote akijisikia

Karugendo aliwai niambia pia alimchukia sana Askofu Niwemugizi kwasababu alivunja Jumuiya nzuri ya Mkamilishano huko Rulenge Ngara ambayo iliasisiwa na marehemu Askofu Bernard Mwoleka

Marehemu Padre Karugendo anasema mwisho wa siku alikutwa anasoma Kitabu "Jesus the Man, Rafiki yake mmoja Padre kutoka Nairobi akaiba kile kitabu na kwenda nacho kwa Askofu Niwemugizi... Basi Askofu ndo akatumia hiyo sababu na kumsimamisha Padre Karugendo 1996..

Maelezo yote hayo tafuta kitabu cha Marehemu Padre Karugendo Wito wangu Imani Yangu "
 

Kama Lissu Ni fyatu na amekutana ana kwa ana Rais, Tena faragha. Basi sisi wenye akili timamu tuna tatizo kubwa.
 
Kumbe alitakiwa kulipa kodi kupitia hospital zake!

No wonder mashambulizi yalikuwa makubwa kwa Rais Mzalendo kuwahi kutokea Tanzania.

Ama kweli wote waliopambana na Magufuli walikuwa wanatetea masilahi yao.

Sasa Baba Askofu usipolipa kodi tutaijenga vipi hii nchi?
 
Duuh ... iko deep sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…