Duh...!. Huyu Mhashamu Baba Askofu Niwemugizi huyu...
sio mtu wa mchezo mchezo!.
Ni huyu ndie alikuwa Rector wa Katoke seminary enzi zile wanafunzi mmoja mtundu akiwa form IV, akavunja kioo cha dirisha la bwenini, bila kujali mtihani ni karibu!, Niwemugizi alimtimua bila huruma!. Mungu bariki Lake Secondary School, walimpokea!, hivyo kufanikiwa kufanya mtihani wa form IV!.
Ni Father huyu ndie aliyemtimua upadiri Padri Kalugendo.
Hata baada ya yule mwanafunzi mtukutu kuja kuwa somebody big, bado Niwemugizi aliendelea kuchonga, mara paap... Baba Askofu akahojiwa uraia!.
Baada ya kuibuka janga la Corona, na Shujaa wetu wa Corona akapiga kambi Jimboni kwake na kutangaza no lock down kwasababu ka Corona ni kaugonjwa kadogo, tusikaogope!, Baba Askofu alitangaza lock down jimboni kwake, this made shujaa wetu to be very furios kumhusu Baba Askofu na akampaka...
Mwisho wa siku, ni Baba Askofu huyu huyu alimsindikiza ile safari yake ya ...
P