Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaomba madeni tuliyonayo ya TRA tusamehewe kwasababu yanatuelemea kwelikweli toka mwaka 2015 mpaka 2020 Biharamulo inadaiwa milioni 113 na hospitali ya Lulenge inadaiwa milioni 213.
Hili nimelishtukia hata mimiHuyu mama anadanganywa sana. zaidi ya iwki hujakaa ofisini, unarudi tu unapaa kwenda sehemu nyingine....urais wa tz unaonekana rahisi sana. kazi yake ni kuhutubu mikutano na kapisha tu
Sio lazima afanane na aliyekuwa bosi wake kama vile mapacha. Wewe unayo taste ya kwako peke yako ya muziki na mimi nina ya kwangu. Wewe unayo aina ya magari unayopenda na mimi ninayo ya kwangu.Kwanini huyu mama maadui wa JPM ndio marafiki zake anataka kutuma message gani. Angalia Mange Kimambi, Lissu, Zuhura Yunus nk.
PASCAL MAYALA wiki hii ulinufurahisha sana uliponiambia kuwa ulisoma na MAREHEMU Mwele Malecela pale Tambaza ,nikakuona kuwa ilikuwa kichwa,Sasa leo Tena unaanza kunichefua Tena niliamini WEWE ni mwandishi uliobobea,uñaanzisha Tena HABARI za kama katuni za TINTIN hadithi za kusadikika kwenye ishu nzito alizozungumza Askofu kwa taifa letu WEWE unaanza soga za HUYU ni msoga gang ,ooh HUYU alikuwa sukuma gang hizo hadithi wenzako tulizifanya kipindi Malecela anataka kupigiwa Kura za maoni kugombea urais tulipiga fitna mpaka ilimfikia MAREHEMU Jk Nyerere,Duh...!. Huyu Mhashamu Baba Askofu Niwemugizi huyu...
sio mtu wa mchezo mchezo!.
Ni huyu ndie alikuwa Rector wa Katoke seminary enzi zile wanafunzi mmoja mtundu akiwa form IV, akavunja kioo cha dirisha la bwenini, bila kujali mtihani ni karibu!, Niwemugizi alimtimua bila huruma!. Mungu bariki Lake Secondary School, walimpokea!, hivyo kufanikiwa kufanya mtihani wa form IV!.
Ni Father huyu ndie aliyemtimua upadiri Padri Kalugendo.
Hata baada ya yule mwanafunzi mtukutu kuja kuwa somebody big, bado Niwemugizi aliendelea kuchonga, mara paap... Baba Askofu akahojiwa uraia!.
Baada ya kuibuka janga la Corona, na Shujaa wetu wa Corona akapiga kambi Jimboni kwake na kutangaza no lock down kwasababu ka Corona ni kaugonjwa kadogo, tusikaogope!, Baba Askofu alitangaza lock down jimboni kwake, this made shujaa wetu to be very furios kumhusu Baba Askofu na akampaka...
Mwisho wa siku, ni Baba Askofu huyu huyu alimsindikiza ile safari yake ya ...
P
Umemuelezea vizuriDuh...!. Huyu Mhashamu Baba Askofu Niwemugizi huyu...
sio mtu wa mchezo mchezo!.
Ni huyu ndie alikuwa Rector wa Katoke seminary enzi zile wanafunzi mmoja mtundu akiwa form IV, akavunja kioo cha dirisha la bwenini, bila kujali mtihani ni karibu!, Niwemugizi alimtimua bila huruma!. Mungu bariki Lake Secondary School, walimpokea!, hivyo kufanikiwa kufanya mtihani wa form IV!.
Ni Father huyu ndie aliyemtimua upadiri Padri Kalugendo.
Hata baada ya yule mwanafunzi mtukutu kuja kuwa somebody big, bado Niwemugizi aliendelea kuchonga, mara paap... Baba Askofu akahojiwa uraia!.
Baada ya kuibuka janga la Corona, na Shujaa wetu wa Corona akapiga kambi Jimboni kwake na kutangaza no lock down kwasababu ka Corona ni kaugonjwa kadogo, tusikaogope!, Baba Askofu alitangaza lock down jimboni kwake, this made shujaa wetu to be very furios kumhusu Baba Askofu na akampaka...
Mwisho wa siku, ni Baba Askofu huyu huyu alimsindikiza ile safari yake ya ...
P
Mkuu Alex Fredrick, kwanza asante sana kwa kisa hiki cha Padri Kalugendo, kiukweli kisa cha yeye kuvuliwa upadri kinatisha na kusikitisha. Kwa kawaida maungamo hayaruhusiwi, kutumiwa kumuadhibu yoyote hata ukiungama kuua. Padri alivuliwa upadri kwa kufundisha vijana mambo yanayokwenda kinyume cha imani ya Ukatoliki.Mayalla nami naongeza nyama, Marehemu Padre Karugendo alikuwa rafiki yangu mkubwa sana:Aliwai kuniambia magomvi yake makubwa na Askofu wake ni Niwemugizi ni kwamba Askofu alitumia maungamo ya Karugendo kama fimbo kumuadhibu popote akijisikia
Karugendo aliwai niambia pia alimchukia sana Askofu Niwemugizi kwasababu alivunja Jumuiya nzuri ya Mkamilishano huko Rulenge Ngara ambayo iliasisiwa na marehemu Askofu Bernard Mwoleka
Marehemu Padre Karugendo anasema mwisho wa siku alikutwa anasoma Kitabu "Jesus the Man, Rafiki yake mmoja Padre kutoka Nairobi akaiba kile kitabu na kwenda nacho kwa Askofu Niwemugizi... Basi Askofu ndo akatumia hiyo sababu na kumsimamisha Padre Karugendo 1996..
Maelezo yote hayo tafuta kitabu cha Marehemu Padre Karugendo Wito wangu Imani Yangu "
Kabisa hairuhusiwi...Marehemu Padre Privatus Karugendo alikuwa mkweli pasi na unafiki ndio kusimamia ukweli wake hatimaye alipoteza U Padre rasmi na kuanza kuishi maisha ya kubangaizaMkuu Alex Fredrick, kwanza asante sana kwa kisa hiki cha Padri Kalugendo, kiukweli kisa cha yeye kuvuliwa upadri kinatisha na kusikitisha. Kwa kawaida maungamo hayaruhusiwi, kutumiwa kumuadhibu yoyote hata ukiungama kuua. Padri alivuliwa upadri kwa kufundisha vijana mambo yanayokwenda kinyume cha imani ya Ukatoliki.
Kwa jinsi nilivyokisikia kisa chenyewe, kiukweli kabisa Padri Kalugendo alionewa tuu!.
PPd Karugendo: Kwanini waliitaka sauti yangu?
Hivi jamani naomba mnisaidie, haya maneno kama shenzi, pumbavu, mjinga, baradhuri na mengineyo mfano wa hayo hua hayana mahala stahili pa kutumika? Kama hakuna kwa nini bado yanaitwa eti maneno sanifu na bado yamo kwenye kamusi? Kama papo mahala sahihi mbona yakitumika watu wanakuja juu...www.jamiiforums.com
Na wasio vaa, wanatengeneza watoto, ama na wake za watu ama na mabinti za watu, kwa wake za watu, waume zao wanabeba mizigo, lakini kwa mabinti, kwanza familia inapoozwa kwa fungu nene ili kuwafunga mdomo, kisha binti anahamishwa, anawekwa safe place, akiisha jifungua anaendelezwa. Huyo Padri anahamishwa, ziko jela za kiaina. Ila familia inatunzwa!.Ni kweli ni dhambi na pia Hairuhusu lakini akaniambia sisi viongozi wa Dini tunatangaza Altareni au Madhabahuni kwamba dhambi lakini ikifika Usiku tuvaa condom (Unafiki)
Katika kuonyesha umoja na ile mantiki ya mwili mmoja inatakiwa akuunge mkono.Kwahiyo mumeo akiwa Na ugomvi Na jirani yake Basi Na ww mke wake uingie kwenye ugomvi hata kama haukuhusu?
Wewe jamaa nina wasiwasi na wewe,nimefanya kazi Jimbo Katoliki la Rulenge -Ngara,kwa miaka karibia sita hivi,huyo Fr.Karugendo,jina lake la kwanza umedanganya haitwi Bernard Bali ni Privatus.Halafu Sababu unazozisema sio Sahihi,tafuta Canon Law usome Sababu zinazoweza kumfanya Padre akose/afukuzwe Upadre,na taratibu za mtu kufukuzwa Upadre,kimsingi ni mlolongo mrefu,sio km ulivyoeleza kwa Sababu nyepesi hizo.Mayalla nami naongeza nyama, Marehemu Padre Karugendo alikuwa rafiki yangu mkubwa sana:Aliwai kuniambia magomvi yake makubwa na Askofu wake ni Niwemugizi ni kwamba Askofu alitumia maungamo ya Karugendo kama fimbo kumuadhibu popote akijisikia
Karugendo aliwai niambia pia alimchukia sana Askofu Niwemugizi kwasababu alivunja Jumuiya nzuri ya Mkamilishano huko Rulenge Ngara ambayo iliasisiwa na marehemu Askofu Bernard Mwoleka
Marehemu Padre Karugendo anasema mwisho wa siku alikutwa anasoma Kitabu "Jesus the Man, Rafiki yake mmoja Padre kutoka Nairobi akaiba kile kitabu na kwenda nacho kwa Askofu Niwemugizi... Basi Askofu ndo akatumia hiyo sababu na kumsimamisha Padre Karugendo 1996..
Maelezo yote hayo tafuta kitabu cha Marehemu Padre Karugendo Wito wangu Imani Yangu "
Umemwelewa Baba Askofu lkn au umekommenti tu ili mradi??.Kumbe alitakiwa kulipa kodi kupitia hospital zake!
No wonder mashambulizi yalikuwa makubwa kwa Rais Mzalendo kuwahi kutokea Tanzania.
Ama kweli wote waliopambana na Magufuli walikuwa wanatetea masilahi yao.
Sasa Baba Askofu usipolipa kodi tutaijenga vipi hii nchi?
Mzee, Ukitaka kuwa Hakimu mzuri Jifunze kusikiliza na upande wa pili.Ukisikiliza upande mmoja tu na kuondoka na maoni unakuwa hujatenda haki,kwa hiyo ungemuuliza Askofu Severini Niwemugizi naye akupe sababu wenda ungepata kitu tofauti.Kabisa hairuhusiwi...Marehemu Padre Privatus Karugendo alikuwa mkweli pasi na unafiki ndio kusimamia ukweli wake hatimaye alipoteza U Padre rasmi na kuanza kuishi maisha ya kubangaiza
Jambo lingine ambalo lilikuwa mwiba ni kuwa alikuwa mtetezi wa matumizi ya Condom kinyume na Imani yake hasa Kanisa lake Mama. Siku nilimuuliza kwamba Biblia inakataza na ni Dhambi.. Akajibu hivi:
Ni kweli ni dhambi na pia Hairuhusu lakini akaniambia sisi viongozi wa Dini tunatangaza Altareni au Madhabahuni kwamba dhambi lakini ikifika Usiku tuvaa condom (Unafiki)
Hilo nalo likawa mwiba na zaidi kuambiwa huyu Karugendo ni " Kichaa'.
Karugendo toka miaka 1999 mpaka kufariki mwaka jana aliniambia hawajawi hata siku moja kukutana na Askofu Niwemugizi na akasema kama ingetokea kukutana nae sijui ingekuwaje
Karugendo aliwai kushangaa kuona Askofu Niwemugizi akihoji masuala ya haki na usawa huku yeye Askofu Niwemugizi hajawai hata siku moja kumpa nafasi Padre Karugendo muda wa kuongea au kumsikiliza tu kupitia taratibu za Kanisa zaidi walimtupa na kwenda kupata hifadhi kwa rafiki yake Askofu Benson Bagonza wa KKKT Karagwe
Mimi siku hizi kidogokidogo naanza kukosa imani na haya madhehebu yetu...bora ni stick tu kwenye kuielewa Bibilia...unamualika mtu kama huyu ili iweje kwa mfano? na kwanini wanapenda sana kuwaalika viongozi wa siasa wanaotesa watu wasio na hatia?
Huwa inanikera sana hii kitu
Anasumbuka tu..ngoja aanze kuletewa mawaraka ya pasaka..ni jambo la muda tu....na kwanini kila siku ni kanda ya ziwa tu? nafikiri ziara ya saba hii kama sio nane aje na kusini basiHuyu mama anadanganywa sana. zaidi ya iwki hujakaa ofisini, unarudi tu unapaa kwenda sehemu nyingine....urais wa tz unaonekana rahisi sana. kazi yake ni kuhutubu mikutano na kapisha tu
yaani ni aibu urais kwake ni kanda ya ziwa kufurahisha wasukuma, kanda ya kaskazini akidhani anaivuruga chadema na kwao zanzibarAnasumbuka tu..ngoja aanze kuletewa mawaraka ya pasaka..ni jambo la muda tu....na kwanini kila siku ni kanda ya ziwa tu? nafikiri ziara ya saba hii kama sio nane aje na kusini basi
Kwahiyo hawa watesi wetu wakihudhuria ibada hizi za kualikwa unaona watarudi kwenye mstari? Hujui kama wanafanya siasa tu?Hata Yesu alipokuja, hakuja kwaajili ya watu wema, alikaa na makahaba na watoza ushuru, ili wapate kutubu. Sioni logic ya kuwatenga hao watesa watu unadhani wataujuaje ukweli na kuokoka? Hapo ndipo mnapokosea
Kwa hiyo ulitaka arithi maadui wa magufuli unajitambua kweli weweKwanini huyu mama maadui wa JPM ndio marafiki zake anataka kutuma message gani. Angalia Mange Kimambi, Lissu, Zuhura Yunus nk.