Rais Samia ashiriki uzinduzi wa Album ya Harmonize Ukumbi wa Mlimani City, leo Mei 25, 2024

yaani mei mosi kwa wafanyakazi hakwenda ila kwnye zinduzi za nyimbo za "kipuuzi"....afungiwe breki kwakweli, asihudhurie mialiko ya muundo huo. Kweli vijana wanapambana ila mialiko hiyo angetulia ndani atume msaidizi inatosha....am sorry!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…