Rais Samia ashiriki uzinduzi wa Album ya Harmonize Ukumbi wa Mlimani City, leo Mei 25, 2024

Hawezi kuimba matusi mbele ya hiyo hadhira weweee!!! Unafikiria hapo ni kule kwenu nanjilinji 🙃🙂 nchi nzima iko hapo....Rais...Spika wa bunge....na viongozi wakuu wa nchi hala Harmonize qimbe matusi??? Subutu yakeeeeee....
Kwamba hao viongozi wana heshima sana au, watu wanaoingia madarakani kwa kupora uchaguzi wana heshima gani?
 
Kazi na bata!
 
Ndicho alichobaki nacho! Mwenzake Kenya ameifanya state visit ya heshima USA na amerudi na shehena ya fedha na misaada lukuki ikiwamo kujengewa barabara 4 ways from Nairobi to Mombasa,helicopter 19 za kijeshi,daraya 150 za kivita! Tena ikiwa ni mwaliko wa US President! Mama Samia yeye aliishia kukutana na VP Kamala,Tena baada ya jitihada kubwa sana kufanyika! Mama yetu naye ajitahidi kufanya ziara zenye tija kama hii ya Ruto USA.
 
Yaani Mabeyo katuangusha kwa kweli.Kina Lukuvi ,Bashiru waliona mbali mno.
 
Mwenzake


View: https://youtu.be/-f83oCv9BGg?si=ZcNg-A90nfqphxyO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…