FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kazi ya Mungu haina makosa.Ndio shida ya kumpa urais air hostess. Mtakoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi ya Mungu haina makosa.Ndio shida ya kumpa urais air hostess. Mtakoma
Mama inawezekana hayuko sawa....haya si matendo ya mtu anayetumia busara. Kuna kitu hakipo sawa kabisaKwamba anakosa muda wa kwenda kuwavisha nishani askari au kuhudhuria sherehe za mei mosi; lkn ana muda wa kwenda kwenye uzinduzi wa albamu ya muziki, ni jambo linaacha maswali sana
Nasibu kaona noma kushiriki.Kamtaja rayvanny watu yupo ommy dimpoz pia yupo
kamtaja nasibu yupo watu hayupo
Albam ya hormonize Ina thamani kuliko maymosiRais anapenda sherehe huyu.Ila maendeleo ni zero.Hana jipya.
Kwamba hao viongozi wana heshima sana au, watu wanaoingia madarakani kwa kupora uchaguzi wana heshima gani?Hawezi kuimba matusi mbele ya hiyo hadhira weweee!!! Unafikiria hapo ni kule kwenu nanjilinji 🙃🙂 nchi nzima iko hapo....Rais...Spika wa bunge....na viongozi wakuu wa nchi hala Harmonize qimbe matusi??? Subutu yakeeeeee....
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki uzinduzi wa album ya Harmonize leo tarehe 25 Mei, 2024 katika ukumbi wa Mlimani City.
View: https://www.youtube.com/live/PafgRqkHmNo?si=oHJtx2WgTWFmEp9k
View attachment 2999425
ALICHOZUNGUMZA RAIS SAMIAAmemshukuru Msanii Harmonize kwa kumualika kwenye hafla hii aliyoiita 'Usiku wa kuutukuza muziki wa Mama'
Rais Samia ameoneshwa kufurahishwa na ukuaji wa Harmonize kwani alivyo sasa ni tofauti na alivyokuwa miaka 8 nyuma.
Amesema mapito ya kimahusiano aliyopitia Harmonize huwapata vijana wengi, na ametaja baadhi kama Ray Vanny, Ommy Dimpoz na Diamond Platnumz.
Amewapongeza wanawake wote waliolea na kukuza watoto hadi kuwafikisha kwenye mafanikio, wanawake na jeshi makini na jeshi imara.
Amesema amekuwa na kawaida ya kubeba wafanyabiashara kwenye ziara zake, sasa ataanza kwenda na wasanii ili kufungua zaidi nchi na kukuza tasnia hiyo.
Amewasaa wasanii wa muziki na filamu kuwekeza kwenye maisha yao kwani hawatafanya kazi hizo milele. Uwekezaji huo utawasaidia pindi watakapokuwa hawawezi tena kufanya kazi wanazofanya sasa.
Ndio wanakuongoza mzee inabidi uwe mpole maamuzi yako mengine na hasira yaelekeze 2025!Kwamba hao viongozi wana heshima sana au, watu wanaoingia madarakani kwa kupora uchaguzi wana heshima gani?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki uzinduzi wa album ya Harmonize leo tarehe 25 Mei, 2024 katika ukumbi wa Mlimani City.
View: https://www.youtube.com/live/PafgRqkHmNo?si=oHJtx2WgTWFmEp9k
View attachment 2999425
ALICHOZUNGUMZA RAIS SAMIAAmemshukuru Msanii Harmonize kwa kumualika kwenye hafla hii aliyoiita 'Usiku wa kuutukuza muziki wa Mama'
Rais Samia ameoneshwa kufurahishwa na ukuaji wa Harmonize kwani alivyo sasa ni tofauti na alivyokuwa miaka 8 nyuma.
Amesema mapito ya kimahusiano aliyopitia Harmonize huwapata vijana wengi, na ametaja baadhi kama Ray Vanny, Ommy Dimpoz na Diamond Platnumz.
Amewapongeza wanawake wote waliolea na kukuza watoto hadi kuwafikisha kwenye mafanikio, wanawake na jeshi makini na jeshi imara.
Amesema amekuwa na kawaida ya kubeba wafanyabiashara kwenye ziara zake, sasa ataanza kwenda na wasanii ili kufungua zaidi nchi na kukuza tasnia hiyo.
Amewasaa wasanii wa muziki na filamu kuwekeza kwenye maisha yao kwani hawatafanya kazi hizo milele. Uwekezaji huo utawasaidia pindi watakapokuwa hawawezi tena kufanya kazi wanazofanya sasa.
Mziki si ukafiri bibiMtakufa navyo vijiba vya roho.
Na wiki hii sijui ijayo anakwenda Korea kusini.Hata mwezi haujaisha katoka France.Rais anasafiri kuliko anavyokaa ikulu Dodoma.Sherehe, misiba, safari, rusha roho, dhahabu, misemo...
Hamna kitu hapo...
Yaani Mabeyo katuangusha kwa kweli.Kina Lukuvi ,Bashiru waliona mbali mno.Hivi kweli mlitegemea kitu chochote cha maana kutoka kwa Samia? Mtu mwenye vision anajulika anapoongea. Haya mambo ya kujirusha na wasanii ndiyo mambo anayoweza. Huyo mtu aliyeng'ang'ania Samia aapishwe baada ya kifo cha Magufuli aliikosea sana Tanzania.
Unasema maendeleo ni zero kwa vile siyo mfuatiliaji. Samia kapiga kazi sana kwenye sekta ya afya, elimu na ujenzi.Rais anapenda sherehe huyu.Ila maendeleo ni zero.Hana jipya.
Kamfufueni yule wa kwenu aliyekuwa analala kwenye mawe kama kenge anaota juwaNa wiki hii sijui ijayo anakwenda Korea kusini.Hata mwezi haujaisha katoka France.Rais anasafiri kuliko anavyokaa ikulu Dodoma.