Rais Samia ashiriki uzinduzi wa Album ya Harmonize Ukumbi wa Mlimani City, leo Mei 25, 2024

Rais Samia ashiriki uzinduzi wa Album ya Harmonize Ukumbi wa Mlimani City, leo Mei 25, 2024

Hivi kweli mlitegemea kitu chochote cha maana kutoka kwa Samia? Mtu mwenye vision anajulika anapoongea. Haya mambo ya kujirusha na wasanii ndiyo mambo anayoweza. Huyo mtu aliyeng'ang'ania Samia aapishwe baada ya kifo cha Magufuli aliikosea sana Tanzania.
Utakuwa unaongea kwa jazba sanaaa! Jaribu kunywa hapo halafu uendelee kuandika🤔🤐
 
Hiyo ni kazi ya political Science! Kila ulichofikiria kishafikiriwa na kufanyiwa udadavuzi yakinifu na majubu.....yalikuwa ni kuhudhuria hiyo Event!
Hiyo political science ni ya form four failures, washabiki waziki walupigie kura kisa huu upuuzi, au wasukuma kisa umemteua makonda na biteko.
Who cares!?
Samia ni msanii anapenda movies(drama), mziki na matamasha
Mimi shabiki wa hamonize lakini samia hapati kitu
 
Tunaongea kuhusu kuhudhuria event , hatuongelei personality ya mtu hapa🙌🙌🙌
 
Mtu anaimba matusi ujinga ujinga. Rais hakutakiwa hata kukanyaga hapo.
Rutto na Kenya yake watazidi kutupiga gape.
Hawezi kuimba matusi mbele ya hiyo hadhira weweee!!! Unafikiria hapo ni kule kwenu nanjilinji 🙃🙂 nchi nzima iko hapo....Rais...Spika wa bunge....na viongozi wakuu wa nchi hala Harmonize qimbe matusi??? Subutu yakeeeeee....
 
Back
Top Bottom