Rais Samia ashiriki uzinduzi wa Album ya Harmonize Ukumbi wa Mlimani City, leo Mei 25, 2024

Rais Samia ashiriki uzinduzi wa Album ya Harmonize Ukumbi wa Mlimani City, leo Mei 25, 2024

Hiyo ni kazi ya political Science! Kila ulichofikiria kishafikiriwa na kufanyiwa udadavuzi yakinifu na majubu.....yalikuwa ni kuhudhuria hiyo Event!
Mtu ambaye anateua usiku asubuhi anamtengua tena zaidi ya mara moja vetting za wanaoteuliwa tu ni majanga ije kuwa hayo matamasha ambayo ni burudani binafsi
 
Nani kasema rais kuhudhuria social gathering ni jambo baya? Watu hapa wanazungumzia aina ya mkusanyiko aliohudhuria! This is too low japo siyo jambo la kushangaza kwa sababu tunajua ni mtu uswahili uswahili na shule haijapanda kichwani.
Who sets standard za this is too low?

This is silly
 
Hivi kweli mlitegemea kitu chochote cha maana kutoka kwa Samia? Mtu mwenye vision anajulika anapoongea. Haya mambo ya kujirusha na wasanii ndiyo mambo anayoweza. Huyo mtu aliyeng'ang'ania Samia aapishwe baada ya kifo cha Magufuli aliikosea sana Tanzania.
Mimi naona ni kawaida maana hata wewe UNAWEZA ukawa RAISI na haikuondolei ""UTASHI AU KUA WEWE""

Haijawai kutokea tangu tumepata Uhuru kupata RAISI aka udhuria uzinduzi wa albamu ya msanii wa music

Kwa music industry Ni Jambo jema mama kuhudhuria Ni bonge la support
 
Hii ndio Tanzania na Watanzania.
Haya ndio mambo Viongozi wetu wanayapenda, KUSIFIWA na KUTUKUZWA.

Matukio muhimu kama MEI MOSI wakuu hawaonekani, kwasababu hakuna KUSIFIANA kule.
 
Back
Top Bottom