Rais Samia ashiriki uzinduzi wa Album ya Harmonize Ukumbi wa Mlimani City, leo Mei 25, 2024

Rais Samia ashiriki uzinduzi wa Album ya Harmonize Ukumbi wa Mlimani City, leo Mei 25, 2024

Hizi nyimbo za "inama upake" mi mwenyewe nikiwa nasikiliza na wanangu naona aibu Mimi ,,auuu harmonizer ameanza kuimba za heshima kama za Akina Christian bella , unoooo mzuri ila huwezi sikiliza na mama ako au wanao ,najua ndio maudhui hizo, afisa mahusiano ikulu / sijui kwenye chama amechemka kumchagulia mama hicho kipengele,, najua siyo mapenzi yake hata kidogo
 
Ndio mambo wanayoyaweza hayo.

Ngoja sasa siku mtu atoe siri, utakuja sikia Harmonize kalipwa billion 2 kutengeneza hiyo album ya kupamba. Katika hizo walioidhinisha malipo si chini ya 1.3 billion wameizungukia.

Hilo tamasha sijui uzinduzi utakuta wamegharamia CCM au wizara ya habari kwa gharama za ajabu na mtengeneza mabango mdogo wake waziri mmoja anahiyo biashara ya printing.

Kaazi kweli kweli
 
Mimi naona ni kawaida maana hata wewe UNAWEZA ukawa RAISI na haikuondolei ""UTASHI AU KUA WEWE""

Haijawai kutokea tangu tumepata Uhuru kupata RAISI aka udhuria uzinduzi wa albamu ya msanii wa music

Kwa music industry Ni Jambo jema mama kuhudhuria Ni bonge la support
Mara nyingi hapa JF, mtu kushindwa kuandika maneno rahisi kabisa ya kiswahili huendana na hoja dhaifu. Ukishakuwa rais hufuati utashi wako kwa kila jambo. Ndiyo maana hiyo nafasi inatakiwa ishikwe na watu wenye upeo wa kuona mambo. Upeo wa huyu mama ni mdogo kabisa ndiyo maana muda wote anajikita kwenye kufanya mambo ya madogo madogo namna hii.
 
Back
Top Bottom