Rais Samia ashiriki uzinduzi wa Album ya Harmonize Ukumbi wa Mlimani City, leo Mei 25, 2024

Rais Samia ashiriki uzinduzi wa Album ya Harmonize Ukumbi wa Mlimani City, leo Mei 25, 2024

Ningekua katibu mkuu kiongozi nisingeruhusu hii!!

Ni udhalilishaji wa taasisi ya urais!

Maoni huru ya mlipakodi asiekwepa!!
Ni vitu vya kawaida sana kuwapa support vijana ....Urais sio madocoment ya vitu wakati mwingine ni sehemu ya furaha Kwa wengine kutimiza ndoto zao na kuibua chemchem Mpya ya vipaji Kwa Taifa.
Tuache kuishi mawazo ya kikoloni.
 
Kuongeza kitu kingine anacho weza kizimkazi kufanya kwa ufasaha kula bata, kuteua na kutengua.
Daaah watanganyika tujipange sana kuhusu uyo kizimkazi mwenyewe akistaff anaenda kwao znz.



KAZI ni kipimo cha UTU
 
Back
Top Bottom