Rais Samia ashiriki uzinduzi wa Album ya Harmonize Ukumbi wa Mlimani City, leo Mei 25, 2024

Rais Samia ashiriki uzinduzi wa Album ya Harmonize Ukumbi wa Mlimani City, leo Mei 25, 2024

Mara nyingi hapa JF, mtu kushindwa kuandika maneno rahisi kabisa ya kiswahili huendana na hoja dhaifu. Ukishakuwa rais hufuati utashi wako kwa kila jambo. Ndiyo maana hiyo nafasi inatakiwa ishikwe na watu wenye upeo wa kuona mambo. Upeo wa huyu mama ni mdogo kabisa ndiyo maana muda wote anajikita kwenye kufanya mambo ya madogo madogo namna hii.
Mimi binafsi nimeshuhudia uraisi wa Marais kadhaa except nyerere ambae nimemsoma..

Mzee wa ruksa lawama zilikua nyingi Sana anaongoza nchi kwa kushauriwa na mkewe Mara ivi Mara vile..

Benjamin lawama zikawa nyingi Mara mbabe , ubinafsishaji Mara kujimilikisha kiwira lawama zikawa nyingi sanaaa

Jakaya alitukanwa Sana oohh dhaifu mara raisi wa KUCHEKA CHEKA mara anasafir safir sanaa Mara ana fisadi nchi lawama Kama zotee

Lawama Ni nyingi mno.. the late magufuli alitukanwa Sana na kupewa majina yote mabaya mfano mshamba, dicteta uchwara e.t.c hajafanya lolote mzilankende wa watu akasema ipo siku tutamkumbuka Tena kwa uzuri..na tumemkumbuka sasa

Kwa bahati mbaya mwenyezi mungu akamchukua ametupa mama Samia lawama Ni zile zile
 
Back
Top Bottom