Hiyo ni kazi ya political Science! Kila ulichofikiria kishafikiriwa na kufanyiwa udadavuzi yakinifu na majubu.....yalikuwa ni kuhudhuria hiyo Event!Ningekua katibu mkuu kiongozi nisingeruhusu hii!!
Ni udhalilishaji wa taasisi ya urais!
Maoni huru ya mlipakodi asiekwepa!!
Basi kama ni planned bas washamuua kisiasa!Hiyo ni kazi ya political Science! Kila ulichofikiria kishafikiriwa na kufanyiwa udadavuzi yakinifu na majubu.....yalikuwa ni kuhudhuria hiyo Event!
Nani kasema rais kuhudhuria social gathering ni jambo baya? Watu hapa wanazungumzia aina ya mkusanyiko aliohudhuria! This is too low japo siyo jambo la kushangaza kwa sababu tunajua ni mtu uswahili uswahili na shule haijapanda kichwani.Hakuna rais ambaye hajahudhuria hizi social gatherings
Political science za shule za kata ulizosoma? Sijui hata kama unajua political science ina maana gani!Hiyo ni kazi ya political Science! Kila ulichofikiria kishafikiriwa na kufanyiwa udadavuzi yakinifu na majubu.....yalikuwa ni kuhudhuria hiyo Event!
Ipo live channel gani ?Mitambo sijui mibovu harmo sauti inatoka km kakabwa na mwiba wa samaki 🤣🤣🤣
😆Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki uzinduzi wa album ya Harmonize leo tarehe 25 Mei, 2024 katika ukumbi wa Mlimani City.
View: https://www.youtube.com/live/PafgRqkHmNo?si=oHJtx2WgTWFmEp9k
Sijajua mi niko live mlimani 😜Ipo live channel gani ?
Naaam! Vizuri umenielewaaa👏👏👏Basi kama ni planned bas washamuua kisiasa!
Nimemwona SSH na TAM hongera Sanaaa mdogo angu harmonizer keep it up maana Kuna wengi ambao hawajawai fanya Kama wewe licha ya kua na vipaji vikubwa kukushinda wewe..Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki uzinduzi wa album ya Harmonize leo tarehe 25 Mei, 2024 katika ukumbi wa Mlimani City.
View: https://www.youtube.com/live/PafgRqkHmNo?si=oHJtx2WgTWFmEp9k
TVEIpo live channel gani ?
Utakuwa unaongea kwa jazba sanaaa! Jaribu kunywa hapo halafu uendelee kuandika🤔🤐Hivi kweli mlitegemea kitu chochote cha maana kutoka kwa Samia? Mtu mwenye vision anajulika anapoongea. Haya mambo ya kujirusha na wasanii ndiyo mambo anayoweza. Huyo mtu aliyeng'ang'ania Samia aapishwe baada ya kifo cha Magufuli aliikosea sana Tanzania.
Hiyo political science ni ya form four failures, washabiki waziki walupigie kura kisa huu upuuzi, au wasukuma kisa umemteua makonda na biteko.Hiyo ni kazi ya political Science! Kila ulichofikiria kishafikiriwa na kufanyiwa udadavuzi yakinifu na majubu.....yalikuwa ni kuhudhuria hiyo Event!
Tunaongea kuhusu kuhudhuria event , hatuongelei personality ya mtu hapa🙌🙌🙌Hiyo political science ni ya form four failures, washabiki waziki walupigie kura kisa huu upuuzi, au wasukuma kisa umemteua makonda na biteko.
Who cares!?
Samia ni msanii anapenda movies(drama), mziki na matamasha
Mimi shabiki wa hamonize lakini samia hapati kitu
Lazima aondoke mapema hawezi kukaa hapo mpaka usiku wa mananeShow bado haijachangamka, sijui kwanini kaanza kuimba yeye? Labda mama yuko busy ataondoka mapema.
Hawezi kuimba matusi mbele ya hiyo hadhira weweee!!! Unafikiria hapo ni kule kwenu nanjilinji 🙃🙂 nchi nzima iko hapo....Rais...Spika wa bunge....na viongozi wakuu wa nchi hala Harmonize qimbe matusi??? Subutu yakeeeeee....Mtu anaimba matusi ujinga ujinga. Rais hakutakiwa hata kukanyaga hapo.
Rutto na Kenya yake watazidi kutupiga gape.