Rais Samia ashiriki uzinduzi wa Album ya Harmonize Ukumbi wa Mlimani City, leo Mei 25, 2024

Rais Samia ashiriki uzinduzi wa Album ya Harmonize Ukumbi wa Mlimani City, leo Mei 25, 2024

Suali la kizushi,nasikia wakuu mkopo kwa wanachuo wa kujikimu "BOOM" umesimamishwa,hivi ni kweli!??
 
Nakuacha ulitafakari hiliView attachment 2999942View attachment 2999943View attachment 2999944.
Kipindi Tanzania inaongozwa na huyo anayekula muhindi barabarani Tanzania ilikua MIDDLE LOW-INCOME COUNTRY.
Na ilikua amongst nations with acute poverty/umasikini wa kawaida.
Ila sasa hivi inaongozwa na mjanja imekua 31st POOREST NATION IN THE WORLD with intense poverty/UMASIKINI MKUBWA AU ULIOKITHIRI.
Una akili yenye poor reasoning tuombee mwanao asirithi hizo akili.
Hivyo vigezo wanavyotumia kutengemeza country income groups unavijua? Au umeamua kuchukua matakataka tu kwenye Internet na kurusha?
 
Kwa cheo alicho nacho inatakikanika upimaji wa uzito wa matukio.
Tukio kama hili alitakiwa ahudhurie waziri wa sanaa na michezo au mkurugenzi wa BASATA.
Embu tumieni bongo zenu kidogo.
Hili ni kwa mujibu wa Nani? Wewe binafsi au? Hizo standard au Sheria ziko wapi na Sisi tuzipitie zinazotoa maelekezo ya matukio yanayopaswa kuhudhuriwa na muheshimiwa raisi.
 
Miaka 9 mingine kwa kwa mama anaupiga mwingi 🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️😂

Bado ana awamu 2 mbele 😳
 
Hili ni kwa mujibu wa Nani? Wewe binafsi au? Hizo standard au Sheria ziko wapi na Sisi tuzipitie zinazotoa maelekezo ya matukio yanayopaswa kuhudhuriwa na muheshimiwa raisi.
Hata hili unaleta utata mkuu?
Kazi ya washauri wa rais ni ipi?
Political science kazi yake ni nini?
Nenda kajiulize.
 
Hata hili unaleta utata mkuu?
Kazi ya washauri wa rais ni ipi?
Political science kazi yake ni nini?
Nenda kajiulize.
Wala hakuna shida raisi kuhudhuria katika tukio hilo. Ila watz tumezidi ujuaji na kukosoa kila kitu ndiyo kitu tumebarikiwa
 
Wala hakuna shida raisi kuhudhuria katika tukio hilo. Ila watz tumezidi ujuaji na kukosoa kila kitu ndiyo kitu tumebarikiwa
Kwa mtazamo wako unaona hakuna shida kiminajili ya kisiasa!?
Kama ingelikua hivyo basi Emmanuel Macron angealikwa katika kila tamasha la wasanii/waigizaji anayoalikwa.
Nilikuuliza maswali mawili hapo juu,je umenijibu hata moja!?
 
Siyo kila Jambo kuangalia wengine wanafanya nini, pengine kupitia raisi wetu tukaanza kuona viongozi wengine wa nchi wakihudhuria kwenye mualiko ya namna hii ili kuwaunga mkono vijana wao.
 
Siyo kila Jambo kuangalia wengine wanafanya nini, pengine kupitia raisi wetu tukaanza kuona viongozi wengine wa nchi wakihudhuria kwenye mualiko ya namna hii ili kuwaunga mkono vijana wao.
😂😂😂😂Aiseee!
Mkuu una nadharia nzuri ishikilie.
 
Back
Top Bottom