Rais Samia ashtukia upigaji Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA)

SautiYaMnyonge

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2018
Posts
439
Reaction score
742
Kutoka ziara ya Rais Samia,
Bandari Kuu Dar es Salaam.

Ujenzi wa matenki ya kuhifadhia mafuta, kwanini TPA ilianza ujenzi wa matenki mapya wakati PUMA ina matenki yako tupu na hayatumiki kwanini yasitumike hayo kulikuwa na sababu gani ya kujenga mapya kama sio uchochoro wa kupiga fedha???

2. Mkataba wa ujenzi wa meli tano, kampuni ya YUTEK iliyoshinda zabuni ambayo inatoka Uturuki baada ya kuchunguzwa ikabainika haina sifa wala haijawahi kujenga meli ila ni kampuni ya kidalali....

3. Amevunja bodi zote 2; kampuni ya huduma za meli na TPA

4. Ameapa kulinda maslahi ya Nchi na haki za wananchi kwa kuhakikisha miradi inatekelezwa kwa weledi na thamani ya fedha huku akihakikisha hakuna hata senti itakayopotea.

SITOKUBALI JUMBA BOVU LIANGUSHIWE AWAMU YA SITA WAKATI UFISADI ULITOKEA HUKO NYUMA

#SamiaKazini
#KaziIendelee
 
Alishauriwa mapema awateme wateule wa Magu yeye kaamua kuwa kumbatia. Acha wamhujumu. Huku wezi, kule kumchafua kwa kesi za kubumba. Hadi akome. Siro hakustahili kuwepo ofisi ya umma leo... Alistahili kuwepo magereza.
 
Matank ya TIPER hayana mafuta halafu bandari inajenga matank mengine mapya. Wizi mtupu
 
Safi kabisa mama, kaza buti hao wahuni wakuheshimu
 
Khaa acha visa wewe si ulikua awamu ya tano tena nafasi ya pili kutoka juu?! Uwoni mpaka hapo ushafeli?’! Hizo lawama za awamu ya tano wewe unaziepuka Vipi ?!
 
As if awamu ya tano hakuwepo kama makamu wa Rais. Nafasi ambayo ilitakiwa awe mshauri wa rais. Katiba mpya ina umuhimu sana.

Wale wale waliokuwa viongozi wakubwa kabisa wa awamu ya tano wakati wa madhambi hayo, eti wanasema madhambi siyo ya awamu ya sita!😄🤦🏾‍♂️

Hapo ina maana rais peke yake ndo mtendaji wa serikali.

“There must be somewhere where the line is drawn”
 
Yeye mwenyewe ndiyo kamfukuza mkurugenzi wa TPA. Aliyemuweka kumbe ni jizi. Mama achana na ushauri wa Msoga utakutumbukuza shimoni.
 
Alishauriwa mapema awateme wateule wa Magu yeye kaamua kuwa kumbatia. Acha wamhujumu. Huku wezi, kule kumchafua kwa kesi za kubumba. Hadi akome. Siro hakustahili kuwepo ofisi ya umma leo... Alistahili kuwepo magereza.
Mkuu acha chuki dhidi ya marehemu. Hapo TPA mama alimtumbua mteule wa Magu akamteua mteule wake na ndiye kaleta madudu.
 
Alishauriwa mapema awateme wateule wa Magu yeye kaamua kuwa kumbatia. Acha wamhujumu. Huku wezi, kule kumchafua kwa kesi za kubumba. Hadi akome. Siro hakustahili kuwepo ofisi ya umma leo... Alistahili kuwepo magereza.
Acha kuwapotosha watanzania acha kumpoteza Rais wetu, kama huwezi kumshauri ni bora usiandike chochote.
 
Alishauriwa mapema awateme wateule wa Magu yeye kaamua kuwa kumbatia. Acha wamhujumu. Huku wezi, kule kumchafua kwa kesi za kubumba. Hadi akome. Siro hakustahili kuwepo ofisi ya umma leo... Alistahili kuwepo magereza.
Anachotakiwa ni kuwapeleka mahakamani na sio kuongea tu kisha ana achia hapo,
Huo utakuwa ni uongo,
Kama mtu amekiuka maadili peleka mahakamani akajitetee huko, mbona mbowe anajitetea
 
Magufuli hakutaka kusikiliza la mtu. Msijitoe ufahamu nyinyi 🚮🚮🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…