Rais Samia Ashusha Hotuba Nzito Huko Ethiopia. Waandishi Wa Habari Wapigana Vikumbo kutafuta Nafasi ya Kumuona

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Tuna kila sababu ya kutembea vifua mbele. Tuna kila sababu ya kujivunia Utanzania wetu,tuna kila sababu ya Kujivunia kuzaliwa Tanzania. Rais Samia katuheshimisha ,Rais Samia kaliheshimisha Taifa letu. Rais Samia kaliweka Taifa letu midomoni Mwa Watu Duniani Kwote.

Rais Samia Katujengea Heshima watanzania,Rais Samia Kaionyesha Afrika na Dunia nzima kuwa Tanzania ni Taifa kubwa ,Ni akili kubwa ,ni Taifa lenye muelekeo na Dira inayoeleweka,Ni Taifa lenye kuongozwa Na Akili kubwa ,akili yenye kuona mbele na mbali kama Tai.

Hotuba iliyotolewa na Rais wetu Mpendwa huko Adis Ababa Ethiopia imekuwa ni hotuba nzito,hotuba yenye kutoa muelekeo na Dira ,hotuba yenye kuonyesha maana ya kiongozi kuwa muongoza njia. hotuba yenye NONDO zenye kuonyesha umahiri ,uhodari ,maarifa ,maono aliyonayo Rais wetu.

Ni hotuba iliyoonyesha majawabu kwa maswali .ni hotuba iliyojaa matumaini kwa wa Afrika m ni hotuba ambayo imeonyesha Mama Samia anaijua Afrika na changamoto zake pamoja na utatuzi ama ufumbuzi wa changamoto zake.

Soma hapa upate kwa ufupi kile kilichozungumzwa na Rais wetu Mpendwa.
Screenshot_20260213-210028_1.jpg
Screenshot_20260213-210047_1.jpg
Screenshot_20260213-210059_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Tuna kila sababu ya kutembea vifua mbele. Tuna kila sababu ya kujivunia Utanzania wetu,tuna kila sababu ya Kujivunia kuzaliwa Tanzania. Rais Samia katuheshimisha ,Rais Samia kaliheshimisha Taifa letu. Rais Samia kaliweka Taifa letu midomoni Mwa Watu Duniani Kwote.

Rais Samia Katujengea Heshima watanzania,Rais Samia Kaionyesha Afrika na Dunia nzima kuwa Tanzania ni Taifa kubwa ,Ni akili kubwa ,ni Taifa lenye muelekeo na Dira inayoeleweka,Ni Taifa lenye kuongozwa Na Akili kubwa ,akili yenye kuona mbele na mbali kama Tai.

Hotuba iliyotolewa na Rais wetu Mpendwa huko Adis Ababa Ethiopia imekuwa ni hotuba nzito,hotuba yenye kutoa muelekeo na Dira ,hotuba yenye kuonyesha maana ya kiongozi kuwa muongoza njia. hotuba yenye NONDO zenye kuonyesha umahiri ,uhodari ,maarifa ,maono aliyonayo Rais wetu.

Ni hotuba iliyoonyesha majawabu kwa maswali .ni hotuba iliyojaa matumaini kwa wa Afrika m ni hotuba ambayo imeonyesha Mama Samia anaijua Afrika na changamoto zake pamoja na utatuzi ama ufumbuzi wa changamoto zake.

Soma hapa upate kwa ufupi kile kilichozungumzwa na Rais wetu Mpendwa.View attachment 3543347View attachment 3543349View attachment 3543350

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Usipopata hata uDC mwaka huu, hamia chaumma ukajipoze na ubwabwa
 
Ila huyu jamaa anachekesha sanaaaa
 
Upuuzi tu, ana akili ya kuandaa hoja huyo? kaandikiwa yeye ni kusoma tu wamnyanganye hio karatasi kama ataweza mbuzi tu chawa plus
 
Ndugu zangu Watanzania,

Tuna kila sababu ya kutembea vifua mbele. Tuna kila sababu ya kujivunia Utanzania wetu,tuna kila sababu ya Kujivunia kuzaliwa Tanzania. Rais Samia katuheshimisha ,Rais Samia kaliheshimisha Taifa letu. Rais Samia kaliweka Taifa letu midomoni Mwa Watu Duniani Kwote.

Rais Samia Katujengea Heshima watanzania,Rais Samia Kaionyesha Afrika na Dunia nzima kuwa Tanzania ni Taifa kubwa ,Ni akili kubwa ,ni Taifa lenye muelekeo na Dira inayoeleweka,Ni Taifa lenye kuongozwa Na Akili kubwa ,akili yenye kuona mbele na mbali kama Tai.

Hotuba iliyotolewa na Rais wetu Mpendwa huko Adis Ababa Ethiopia imekuwa ni hotuba nzito,hotuba yenye kutoa muelekeo na Dira ,hotuba yenye kuonyesha maana ya kiongozi kuwa muongoza njia. hotuba yenye NONDO zenye kuonyesha umahiri ,uhodari ,maarifa ,maono aliyonayo Rais wetu.

Ni hotuba iliyoonyesha majawabu kwa maswali .ni hotuba iliyojaa matumaini kwa wa Afrika m ni hotuba ambayo imeonyesha Mama Samia anaijua Afrika na changamoto zake pamoja na utatuzi ama ufumbuzi wa changamoto zake.

Soma hapa upate kwa ufupi kile kilichozungumzwa na Rais wetu Mpendwa.View attachment 3543347View attachment 3543349View attachment 3543350​

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hivi wewe fala hujapona kichaa chako. Mjinga wewe.
 
Nimeamini wewe ni mental case Lucas
Najua Malamli yako ya kiganga na kichawi yaliyo shindwa ndio yanakutesa sana kila ukiwaza namna ulivyokuwa ukidanganya na kuongopa. Mama anaendelea kuchanja mbuga na kukubalika kwa watu.
 
Kwa kile kichwa najua LAZIMA hiyo hotuba atakuwa kaandaliwa na kasoma neno kwa neno....hana uwezo wa kutoa hotuba kichwani kama Rais Ruto afanyavyo!
 
Upuuzi tu, ana akili ya kuandaa hoja huyo? kaandikiwa yeye ni kusoma tu wamnyanganye hio karatasi kama ataweza mbuzi tu chawa plus
Huna akili wala adabu ewe uliyelaaniwa na kukosa Faida hapa Duniani na hata Mbinguni
 
anafikiri akiongelea “global warming na climate change” ndiyo labda dunia itasahau mauaji na unyama uliofanyika, dunia siyo wajinga hivyo …
Mauaji yapi hayo? Kwanini wewe hukufa kama yalikuwepo?
 
Back
Top Bottom