CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Ataaga dunia Samuya soon,Unakwenda kuaga Dunia muda siyo mrefu
tarehe 17 March tuanaapisha Rais wa mpito chawa wote tunawachoma moto mama'e zenu
Ataaga dunia Samuya soon,Unakwenda kuaga Dunia muda siyo mrefu
Utakufa kifo kibaya sana.Ataaga dunia Samuya soon,
tarehe 17 March tuanaapisha Rais wa mpito chawa wote tunawachoma moto mama'e zenu
UKishakuwaa mwehu ,lazima wehu wenzako wakushangiliaNdugu zangu Watanzania,
Tuna kila sababu ya kutembea vifua mbele. Tuna kila sababu ya kujivunia Utanzania wetu,tuna kila sababu ya Kujivunia kuzaliwa Tanzania. Rais Samia katuheshimisha ,Rais Samia kaliheshimisha Taifa letu. Rais Samia kaliweka Taifa letu midomoni Mwa Watu Duniani Kwote.
Rais Samia Katujengea Heshima watanzania,Rais Samia Kaionyesha Afrika na Dunia nzima kuwa Tanzania ni Taifa kubwa ,Ni akili kubwa ,ni Taifa lenye muelekeo na Dira inayoeleweka,Ni Taifa lenye kuongozwa Na Akili kubwa ,akili yenye kuona mbele na mbali kama Tai.
Hotuba iliyotolewa na Rais wetu Mpendwa huko Adis Ababa Ethiopia imekuwa ni hotuba nzito,hotuba yenye kutoa muelekeo na Dira ,hotuba yenye kuonyesha maana ya kiongozi kuwa muongoza njia. hotuba yenye NONDO zenye kuonyesha umahiri ,uhodari ,maarifa ,maono aliyonayo Rais wetu.
Ni hotuba iliyoonyesha majawabu kwa maswali .ni hotuba iliyojaa matumaini kwa wa Afrika m ni hotuba ambayo imeonyesha Mama Samia anaijua Afrika na changamoto zake pamoja na utatuzi ama ufumbuzi wa changamoto zake.
Soma hapa upate kwa ufupi kile kilichozungumzwa na Rais wetu Mpendwa.View attachment 3543347View attachment 3543349View attachment 3543350
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kima wewe una uzalendo gani pimbi weeMimi ni mzalendo kwa Taifa letu
Kama una hasira sana basi kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata MbinguniKima wewe una uzalendo gani pimbi wee
huyo bi chura amenajisi ardhi takatifu
Adis ababa hapa ni nyumbani pimbi wee!
Wewe ndiye mhuni mkubwa usiye na akili.U
UKishakuwaa mwehu ,lazima wehu wenzako wakushangilia
Na hapo anajua fika wenzakr wanamnanga huko ADDIS ABABA
MAANA WANAMJU VIZRI
MUHUNI MMOJA MWENYE MGUU MMOJA
Muhuni mmoja anayetetewaa na wahuni wasio na akiliWewe ndiye mhuni mkubwa usiye na akili.
Jaribu uone Moto wake.Muhuni mmoja anayetetewaa na wahuni wasio na akili
Kama huyu kizibo
Tunakup onyoo endelea kuleta utumboo
Tutakufikia siku moja kukupa salamu
Umemsikiliza sister wa Katoliki akimmegea mapande mama yako unayempenda kuliko umpendavyo Mungu?Itakuwa Alikuwa kalewa Ulanzi
huyu lucas mwashambwa CCM wamsaidie wampe hata UNAIBU WAZIRI MKUU tuu?mbona chawa wengine wameonwa...hebu wamuone na huyu ,amejitoa kweli kweli...ameuza nafsi yake na utu wake.Usipopata hata uDC mwaka huu, hamia chaumma ukajipoze na ubwabwa