Rais Samia Ashusha Hotuba Nzito Huko Ethiopia. Waandishi Wa Habari Wapigana Vikumbo kutafuta Nafasi ya Kumuona

Unajisikiaje kutumia Jamiiforum kuisifia Samia wakati Serikali yake imeifungia Jamiiforum?
Wakati mwingine itetee hata kidogo Jamiiforum ifunguliwe na mpendwa wako kama unaamini kuwa jukwaa la Jamiiforum wanastahili kuwa huru ili wengine nao wapate wasaa wa kukitumia kuisifia na kuikosoa Serikali ya mpendwa wako.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Tuna kila sababu ya kutembea vifua mbele. Tuna kila sababu ya kujivunia Utanzania wetu,tuna kila sababu ya Kujivunia kuzaliwa Tanzania. Rais Samia katuheshimisha ,Rais Samia kaliheshimisha Taifa letu. Rais Samia kaliweka Taifa letu midomoni Mwa Watu Duniani Kwote.

Rais Samia Katujengea Heshima watanzania,Rais Samia Kaionyesha Afrika na Dunia nzima kuwa Tanzania ni Taifa kubwa ,Ni akili kubwa ,ni Taifa lenye muelekeo na Dira inayoeleweka,Ni Taifa lenye kuongozwa Na Akili kubwa ,akili yenye kuona mbele na mbali kama Tai.

Hotuba iliyotolewa na Rais wetu Mpendwa huko Adis Ababa Ethiopia imekuwa ni hotuba nzito,hotuba yenye kutoa muelekeo na Dira ,hotuba yenye kuonyesha maana ya kiongozi kuwa muongoza njia. hotuba yenye NONDO zenye kuonyesha umahiri ,uhodari ,maarifa ,maono aliyonayo Rais wetu.

Ni hotuba iliyoonyesha majawabu kwa maswali .ni hotuba iliyojaa matumaini kwa wa Afrika m ni hotuba ambayo imeonyesha Mama Samia anaijua Afrika na changamoto zake pamoja na utatuzi ama ufumbuzi wa changamoto zake.

Soma hapa upate kwa ufupi kile kilichozungumzwa na Rais wetu Mpendwa.View attachment 3543347View attachment 3543349View attachment 3543350​

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
TOENI MISUKULE YENU HAPA
 
Nimeamini wewe ni mental case Lucas

Mwashambwa, mkishindwa kumwonea huruma, mpuuzeni tu, ni mgonjwa wa akili na dhamira. Huyu hawezi kupona, wala msipoteze muda wenu kumfundisha lolote mkitarajia atakuja kubadilika. His mental inability has passed the reversible mark.
 
Kichwa Cha habari😂😂🙌🙌
 
Inasikitisha sana eti huyu aliyeandika ni Baba wa Familia na pesa zake anapata kwa mambo kama haya ya uchawa.
 
Mwashambwa, mkishindwa kumwonea huruma, mpuuzeni tu, ni mgonjwa wa akili na dhamira. Huyu hawezi kupona, wala msipoteze muda wenu kumfundisha lolote mkitarajia atakuja kubadilika. His mental inability has passed the reversible mark.
Nimekusamehe bure kabisa maana hujui ulitendalo
 
Ndugu zangu Watanzania,

Tuna kila sababu ya kutembea vifua mbele. Tuna kila sababu ya kujivunia Utanzania wetu,tuna kila sababu ya Kujivunia kuzaliwa Tanzania. Rais Samia katuheshimisha ,Rais Samia kaliheshimisha Taifa letu. Rais Samia kaliweka Taifa letu midomoni Mwa Watu Duniani Kwote.

Rais Samia Katujengea Heshima watanzania,Rais Samia Kaionyesha Afrika na Dunia nzima kuwa Tanzania ni Taifa kubwa ,Ni akili kubwa ,ni Taifa lenye muelekeo na Dira inayoeleweka,Ni Taifa lenye kuongozwa Na Akili kubwa ,akili yenye kuona mbele na mbali kama Tai.

Hotuba iliyotolewa na Rais wetu Mpendwa huko Adis Ababa Ethiopia imekuwa ni hotuba nzito,hotuba yenye kutoa muelekeo na Dira ,hotuba yenye kuonyesha maana ya kiongozi kuwa muongoza njia. hotuba yenye NONDO zenye kuonyesha umahiri ,uhodari ,maarifa ,maono aliyonayo Rais wetu.

Ni hotuba iliyoonyesha majawabu kwa maswali .ni hotuba iliyojaa matumaini kwa wa Afrika m ni hotuba ambayo imeonyesha Mama Samia anaijua Afrika na changamoto zake pamoja na utatuzi ama ufumbuzi wa changamoto zake.

Soma hapa upate kwa ufupi kile kilichozungumzwa na Rais wetu Mpendwa.View attachment 3543347View attachment 3543349View attachment 3543350​

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Utakuwa kachizi wewe siyo bure!
 
Back
Top Bottom