Rais Samia asije ruhusu mikutano na maandamano vitupotezee mwelekeo

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
10,940
Reaction score
7,849
Ni matumaini yangu tofauti na matarajio ya vyama vya upinzani Samia akikutana nao atatupilia mbali wazo la maridhiano ya kitaifa ya wapinzani. Wao kwa niaba ya mabwana zao wanataka kusimamisha agenda za CCM.

CCM ina ridhaa kubwa ya wananchi isije laghaiwa kwa kisingizio cha maridhiano kuacha njia ya Magufuli. Rais Samia asije sahau yuko madarakani kwa ridhaa ya asilimia 84.4 aliyopewa Hayati Magufuli na watanzania.

Asije ruhusu siasa za kiharakati za wapinzani zisizokuwa na tija kwa maendeleo ya nchi. Mikutano ya hadhara kwa vyama iendelee kudhibitiwa majimboni tu hadi msimu wa uchaguzi watu tufanye kazi kutekeleza agenda za maendeleo ya chama chenye ridhaa kuongoza nchi.
 
Acha uoga wewe MATAGA! Mikutano na maandamano nchini vilifanyika hata kabla ya uhuru! Magufuli amewaharibu sana akili zenu.

Unatakiwa tu kutoa ushauri kwa vyama vyote kufuata taratibu za kisheria, kufanya mikutano ya amani na utulivu, kutotumia lugha za kuudhi ili tu kufikisha ujumbe, nk.
 
Ni matumaini yangu tofauti na matarajio ya vyama vya upinzani samia akikutana nao atatupilia mbali wazo la maridhiaono ya kitaifa ya wapinzani. Wao kwa niaba ya mabwana zao wanataka kusimamisha agenda za ccm. Ccm ina ridhaa kubwa ya wananchi isije laghaiwa kwa kisingizio cha maridhiano kuacha njia ya magufuli. Samia asije sahau yuko madarakani kwa ridhaa ya asilimia 84.4 aliyopewa magufuli na watanzania.
Asije ruhusu siasa za kiharakati za wapinzani zisizokua na tija kwa maendeleo ya nchi. Mikutano ya hadhara kwa vyama iendelee kudhibitiwa majimboni tu hadi msimu wa uchaguzi watu tufanye kazi kutekeleza agenda za maendeleo ya chama chenye ridhaa kuongoza nchi.
Hata asiporuhusu mimi

Nitaandamana.
 
Acha uoga wewe MATAGA! Mikutano na maandamano nchini vikifanyika hata kabla ya uhuru! Magufuli amewaharibu sana akili zenu.

Unatakiwa tu kutoa ushauri kwa vyama vyote kufuata taratibu za kisheria, kufanya mikutano ya amani na utulivu, kutotumia lugha za kuudhi ili tu kufikisha ujumbe, nk.
Una mhemko sana mkuu.

Utapandushwa daraja tu mkuu. Na utayafurahia maisha. Usije kufa siku si zako
 
Ni matumaini yangu tofauti na matarajio ya vyama vya upinzani samia akikutana nao atatupilia mbali wazo la maridhiaono ya kitaifa ya wapinzani. Wao kwa niaba ya mabwana zao wanataka kusimamisha agenda za ccm. Ccm ina ridhaa kubwa ya wananchi isije laghaiwa kwa kisingizio cha maridhiano kuacha njia ya magufuli. Samia asije sahau yuko madarakani kwa ridhaa ya asilimia 84.4 aliyopewa magufuli na watanzania.
Asije ruhusu siasa za kiharakati za wapinzani zisizokua na tija kwa maendeleo ya nchi. Mikutano ya hadhara kwa vyama iendelee kudhibitiwa majimboni tu hadi msimu wa uchaguzi watu tufanye kazi kutekeleza agenda za maendeleo ya chama chenye ridhaa kuongoza nchi.
Uyo magufuli wenu Kama mnampenda sana kafukueni mzoga wake muuwabudu ken_ge nyinyi,,, jitu lishakufa nyi Bado mnaliabudu tu,,,,,Samia hapangiwi na nyinyi wasukuma,
 
Ni matumaini yangu tofauti na matarajio ya vyama vya upinzani samia akikutana nao atatupilia mbali wazo la maridhiaono ya kitaifa ya wapinzani. Wao kwa niaba ya mabwana zao wanataka kusimamisha agenda za ccm. Ccm ina ridhaa kubwa ya wananchi isije laghaiwa kwa kisingizio cha maridhiano kuacha njia ya magufuli. Samia asije sahau yuko madarakani kwa ridhaa ya asilimia 84.4 aliyopewa magufuli na watanzania.
Asije ruhusu siasa za kiharakati za wapinzani zisizokua na tija kwa maendeleo ya nchi. Mikutano ya hadhara kwa vyama iendelee kudhibitiwa majimboni tu hadi msimu wa uchaguzi watu tufanye kazi kutekeleza agenda za maendeleo ya chama chenye ridhaa kuongoza nchi.
Tatizo ni kudhani Magufuli alikuwa na hati miliki ya nchi hii, sasa anaoza mmebaki ninyi vishambenga vyake mnalia na kusaga meno!
 
Una mhemko sana mkuu.

Utapandushwa daraja tu mkuu. Na utayafurahia maisha. Usije kufa siku si zako
🙄 Mkuu mimi ni mpenda haki tu. Nimeridhika na sina mihemko yoyote ile. Mwenyezi Mungu amenijalia vingi tu! Nalima, nafanya vibiashara vya hapa na pale, watoto wanasoma, kuna kikazi cha mshahara mbuzi nafanya! Na kwa hilo, namshukuru sana.

Hata huko kwenye madaraja kwenyewe usikute nawapigania wengine tu. Na muda huu akili zote zipo kwa walimu wanao jitolea mashuleni! Natamani sana kuona wakipewa kipaumbele kwenye hizo ajira mpya, nk.
 
Ni matumaini yangu tofauti na matarajio ya vyama vya upinzani samia akikutana nao atatupilia mbali wazo la maridhiaono ya kitaifa ya wapinzani. Wao kwa niaba ya mabwana zao wanataka kusimamisha agenda za ccm. Ccm ina ridhaa kubwa ya wananchi isije laghaiwa kwa kisingizio cha maridhiano kuacha njia ya magufuli. Samia asije sahau yuko madarakani kwa ridhaa ya asilimia 84.4 aliyopewa magufuli na watanzania.
Asije ruhusu siasa za kiharakati za wapinzani zisizokua na tija kwa maendeleo ya nchi. Mikutano ya hadhara kwa vyama iendelee kudhibitiwa majimboni tu hadi msimu wa uchaguzi watu tufanye kazi kutekeleza agenda za maendeleo ya chama chenye ridhaa kuongoza nchi.
Toka usingizini ww acha mawazo ya ulozi ..sisi tupo huku kwa kiongozi mkubwa kwa nafasi ya tatu ktk rank ya kitaifa hatuna dawa hospitalini ,barabara mbovu na maji tunamkamua chura ...mtu mzima unawaza utoto...shubamit!!!
 
[emoji849] Mkuu mimi ni mpenda haki tu. Nimeridhika na sina mihemko yoyote ile. Mwenyezi Mungu amenijalia vingi tu! Nalima, nafanya vibiashara vya hapa na pale, watoto wanasoma, kuna kikazi cha mshahara mbuzi nafanya! Na kwa hilo, namshukuru sana.

Hata huko kwenye madaraja kwenyewe usikute nawapigania wengine tu. Na muda huu akili zote zipo kwa walimu wanao jitolea mashuleni! Natamani sana kuona wakipewa kipaumbele kwenye hizo ajira mpya, nk.
Sawa mkuu.
 
Kwa maana nyingine unasema katiba iendelee kukanyagwa tu!

Ujue maandamano na migomo siyo wishes Za Samia au la! Bali ni takwa la katiba unless umshauri Samia awe dictator Kama jpm ambapo atakufa kwa kunyweshwa sumu pia au mungu atampenda zaidi kabla hajaharibu nchi Kama ilivyokuwa kwa jpm ambaye mungu anamtandika viboko huko aliko.
 
Ni matumaini yangu tofauti na matarajio ya vyama vya upinzani samia akikutana nao atatupilia mbali wazo la maridhiaono ya kitaifa ya wapinzani. Wao kwa niaba ya mabwana zao wanataka kusimamisha agenda za ccm. Ccm ina ridhaa kubwa ya wananchi isije laghaiwa kwa kisingizio cha maridhiano kuacha njia ya magufuli. Samia asije sahau yuko madarakani kwa ridhaa ya asilimia 84.4 aliyopewa magufuli na watanzania.
Asije ruhusu siasa za kiharakati za wapinzani zisizokua na tija kwa maendeleo ya nchi. Mikutano ya hadhara kwa vyama iendelee kudhibitiwa majimboni tu hadi msimu wa uchaguzi watu tufanye kazi kutekeleza agenda za maendeleo ya chama chenye ridhaa kuongoza nchi.
Hivi huoni aibu?
 
Suala la maandamano siyo mapenzi,hisani,kudra wala takwa la Rais.

Suala la maandamano ni haki yetu kikatiba.

Haki huwa haiombwi wala huwa haitolewi bure kama unavyodhania bwana mleta uzi bali haki huchukuliwa kwa nguvu.

Rais hana wajibu wala haki wala nguvu wala amri ya kuzuia au kuruhusu maandamano na pia hatuna haja wala wajibu wa kumuomba Rais aruhusu maandamano bali ni haki yetu na mtu yoyote yule ikiwa ni pamoja na Rais akituzuia tuna wajibu kikatiba wa kuchukua haki hiyo kwa nguvu.

Rais atake asitake suala la maandamano ni haki yetu kikatiba wala siyo mapenzi yake na asipotaka tuna wajibu kikatiba wa kumlazimisha.

Umeelewa mleta mada?
 
Kweli ndugu yangu, hivi vyama vya upinzani vinataka kutumia fursa ya mikutano kupiga hela kwa kuchangisha hela kutoka ktk mifuko ya raia masikini kama walivyofanya kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu, pia wanataka kuitumia hiyo mikutano kuwauzia watu madawa ya kulevya, viloba na mirungi
 
Ni matumaini yangu tofauti na matarajio ya vyama vya upinzani samia akikutana nao atatupilia mbali wazo la maridhiaono ya kitaifa ya wapinzani. Wao kwa niaba ya mabwana zao wanataka kusimamisha agenda za ccm. Ccm ina ridhaa kubwa ya wananchi isije laghaiwa kwa kisingizio cha maridhiano kuacha njia ya magufuli. Samia asije sahau yuko madarakani kwa ridhaa ya asilimia 84.4 aliyopewa magufuli na watanzania.
Asije ruhusu siasa za kiharakati za wapinzani zisizokua na tija kwa maendeleo ya nchi. Mikutano ya hadhara kwa vyama iendelee kudhibitiwa majimboni tu hadi msimu wa uchaguzi watu tufanye kazi kutekeleza agenda za maendeleo ya chama chenye ridhaa kuongoza nchi.
Ovyo kabisa., Kwanini muliapa kuilinda, kuiheshimu, kuitetea na kufuata katiba muliojiwekea wenyewe na mzinga 21 kupigwa halafu unakuja hapa unatia kidole puani? Kwanini mnangangania madaraka na kuongoza nchi ambayo katiba yake muna ukakasi kuitekeleza? Pisheni wengine ambao wanaweza kufanya yote hayo.
 
Pole sana mleta mada.
Shtuka bygone has gone

Wewe upo uko na maandamano huko unazuilika vipi kufanya kazi? Hiyo kazi yako ndio inahitaji kuonekana na serikali?

Tumia akili vizuri.
 
Ni matumaini yangu tofauti na matarajio ya vyama vya upinzani samia akikutana nao atatupilia mbali wazo la maridhiaono ya kitaifa ya wapinzani. Wao kwa niaba ya mabwana zao wanataka kusimamisha agenda za ccm. Ccm ina ridhaa kubwa ya wananchi isije laghaiwa kwa kisingizio cha maridhiano kuacha njia ya magufuli. Samia asije sahau yuko madarakani kwa ridhaa ya asilimia 84.4 aliyopewa magufuli na watanzania.
Asije ruhusu siasa za kiharakati za wapinzani zisizokua na tija kwa maendeleo ya nchi. Mikutano ya hadhara kwa vyama iendelee kudhibitiwa majimboni tu hadi msimu wa uchaguzi watu tufanye kazi kutekeleza agenda za maendeleo ya chama chenye ridhaa kuongoza nchi.
Mama hawezi ruhusu upuuzi wanaotaka kuuleta. Bora kuwakazia tu, ileile mpaka washike adabu kama aliyofanya shujaa wa Afrika.
 
Ni matumaini yangu tofauti na matarajio ya vyama vya upinzani samia akikutana nao atatupilia mbali wazo la maridhiaono ya kitaifa ya wapinzani. Wao kwa niaba ya mabwana zao wanataka kusimamisha agenda za ccm. Ccm ina ridhaa kubwa ya wananchi isije laghaiwa kwa kisingizio cha maridhiano kuacha njia ya magufuli. Samia asije sahau yuko madarakani kwa ridhaa ya asilimia 84.4 aliyopewa magufuli na watanzania.
Asije ruhusu siasa za kiharakati za wapinzani zisizokua na tija kwa maendeleo ya nchi. Mikutano ya hadhara kwa vyama iendelee kudhibitiwa majimboni tu hadi msimu wa uchaguzi watu tufanye kazi kutekeleza agenda za maendeleo ya chama chenye ridhaa kuongoza nchi.

Fuvu la Lumumba...! Ubongo hakuna umeoza kabisa. Ila muda si mrefu akili zitarejea tu
 
Back
Top Bottom