crome20
JF-Expert Member
- Feb 5, 2010
- 1,250
- 893
Anaruhusu yeye au Katiba? Au umetoka kwa Banyamulenge nini? Hilo la mikutano kufanyika majimboni tu ni kifungu cha ngapi cha Katiba?Ni matumaini yangu tofauti na matarajio ya vyama vya upinzani samia akikutana nao atatupilia mbali wazo la maridhiaono ya kitaifa ya wapinzani. Wao kwa niaba ya mabwana zao wanataka kusimamisha agenda za ccm. Ccm ina ridhaa kubwa ya wananchi isije laghaiwa kwa kisingizio cha maridhiano kuacha njia ya magufuli. Samia asije sahau yuko madarakani kwa ridhaa ya asilimia 84.4 aliyopewa magufuli na watanzania.
Asije ruhusu siasa za kiharakati za wapinzani zisizokua na tija kwa maendeleo ya nchi. Mikutano ya hadhara kwa vyama iendelee kudhibitiwa majimboni tu hadi msimu wa uchaguzi watu tufanye kazi kutekeleza agenda za maendeleo ya chama chenye ridhaa kuongoza nchi.