Rais Samia asije ruhusu mikutano na maandamano vitupotezee mwelekeo

Mama hawezi ruhusu upuuzi wanaotaka kuuleta. Bora kuwakazia tu, ileile mpaka washike adabu kama aliyofanya shujaa wa Afrika.
Ni Hadi uwe na roho kama ya shujaa wa afrika.Roho mbaya uzaliwa nayo mtu
 
Ushauri mzuri ni watoe kwenye katiba haki ya vyama vya siasa kukutanika na wafuasi wao na kusaka wanachama wao kupitia mikutano ya hadhara, kitu ambacho hawawezi kufanya sababu kuna mikataba wamesaini na mabeberu ili bakuli lao liendelee kujazwa.
 
Ni matumaini yangu tofauti na matarajio ya vyama vya upinzani samia akikutana nao atatupilia mbali wazo la maridhiaono ya kitaifa ya wapinzani. Wao kwa niaba ya mabwana zao wanataka kusimamisha agenda za ccm. Ccm ina ridhaa kubwa ya wananchi isije laghaiwa kwa kisingizio cha maridhiano kuacha njia ya magufuli. Samia asije sahau yuko madarakani kwa ridhaa ya asilimia 84.4 aliyopewa magufuli na watanzania.
Asije ruhusu siasa za kiharakati za wapinzani zisizokua na tija kwa maendeleo ya nchi. Mikutano ya hadhara kwa vyama iendelee kudhibitiwa majimboni tu hadi msimu wa uchaguzi watu tufanye kazi kutekeleza agenda za maendeleo ya chama chenye ridhaa kuongoza nchi.
Mikutano siyo fadhila ya Rais bali ni haki yetu kikatiba, kama hamtaki mfuateni huyu dhalim wenu aliyewajaza huu utaahira. Pumbavu kabisa
 
Mleta mada anawachora mnavyohemuka,anawateka mawazo tu,hamjamuelewa.
 
Ni matumaini yangu tofauti na matarajio ya vyama vya upinzani samia akikutana nao atatupilia mbali wazo la maridhiaono ya kitaifa ya wapinzani. Wao kwa niaba ya mabwana zao wanataka kusimamisha agenda za ccm. Ccm ina ridhaa kubwa ya wananchi isije laghaiwa kwa kisingizio cha maridhiano kuacha njia ya magufuli. Samia asije sahau yuko madarakani kwa ridhaa ya asilimia 84.4 aliyopewa magufuli na watanzania.
Asije ruhusu siasa za kiharakati za wapinzani zisizokua na tija kwa maendeleo ya nchi. Mikutano ya hadhara kwa vyama iendelee kudhibitiwa majimboni tu hadi msimu wa uchaguzi watu tufanye kazi kutekeleza agenda za maendeleo ya chama chenye ridhaa kuongoza nchi.
Msijaze watu woga wa hajabu, rais au mtu anaejihamini, maandamano yanaitwa na anasimama na kusema nitayapikea, mabango yote yasichwijwe , leta yalivyo, huo ndo ukomavu then unachambua moja bahada ya lingine, woga,woga mpaka mnatengeza woga KWA viongonzi,vijana, n.k
Mfano yule BWANA Kenya halijiapisha kua rais, hakuguswa na MKUTANO wake ulilindwa ,YAKO wapi Sasa, uongonzi ni pamoja na kua na akili kubwa ya kutatua Jambo KWA wakati na katika mazingira rafiki,sio manguvu Kama mwendazake
 
Ni matumaini yangu tofauti na matarajio ya vyama vya upinzani samia akikutana nao atatupilia mbali wazo la maridhiaono ya kitaifa ya wapinzani. Wao kwa niaba ya mabwana zao wanataka kusimamisha agenda za ccm. Ccm ina ridhaa kubwa ya wananchi isije laghaiwa kwa kisingizio cha maridhiano kuacha njia ya magufuli. Samia asije sahau yuko madarakani kwa ridhaa ya asilimia 84.4 aliyopewa magufuli na watanzania.
Asije ruhusu siasa za kiharakati za wapinzani zisizokua na tija kwa maendeleo ya nchi. Mikutano ya hadhara kwa vyama iendelee kudhibitiwa majimboni tu hadi msimu wa uchaguzi watu tufanye kazi kutekeleza agenda za maendeleo ya chama chenye ridhaa kuongoza nchi.
Huyo mama anajua siri yote ya uchaguzi, ww unapata wapi nguvu ya kusema ridhaa ya wananchi, ama unadhani ukweli haufahamiki? Siasa za ushindani hazikwepeki, kama ulizoe kula bila kuwa na sauti ya kukukemea basi umeliwa safari hii. Jizi la kura mkubwa ww.
 
Ni matumaini yangu tofauti na matarajio ya vyama vya upinzani samia akikutana nao atatupilia mbali wazo la maridhiaono ya kitaifa ya wapinzani. Wao kwa niaba ya mabwana zao wanataka kusimamisha agenda za ccm. Ccm ina ridhaa kubwa ya wananchi isije laghaiwa kwa kisingizio cha maridhiano kuacha njia ya magufuli. Samia asije sahau yuko madarakani kwa ridhaa ya asilimia 84.4 aliyopewa magufuli na watanzania.
Asije ruhusu siasa za kiharakati za wapinzani zisizokua na tija kwa maendeleo ya nchi. Mikutano ya hadhara kwa vyama iendelee kudhibitiwa majimboni tu hadi msimu wa uchaguzi watu tufanye kazi kutekeleza agenda za maendeleo ya chama chenye ridhaa kuongoza nchi.
"Only the cowards of democracy like you, will give you a like"
 
Magufuli ameharibu sana bongo za watu. Uwezo wa kufikiri umeshuka sana kama siyo kutoweka kabisa. Itatuchukua muda mrefu watu kurudi kwenye hali zao, sana sana labda kizazi kingine ndicho kitarudi kwenye ubora.
 
Ni matumaini yangu tofauti na matarajio ya vyama vya upinzani samia akikutana nao atatupilia mbali wazo la maridhiaono ya kitaifa ya wapinzani. Wao kwa niaba ya mabwana zao wanataka kusimamisha agenda za ccm. Ccm ina ridhaa kubwa ya wananchi isije laghaiwa kwa kisingizio cha maridhiano kuacha njia ya magufuli. Samia asije sahau yuko madarakani kwa ridhaa ya asilimia 84.4 aliyopewa magufuli na watanzania.
Asije ruhusu siasa za kiharakati za wapinzani zisizokua na tija kwa maendeleo ya nchi. Mikutano ya hadhara kwa vyama iendelee kudhibitiwa majimboni tu hadi msimu wa uchaguzi watu tufanye kazi kutekeleza agenda za maendeleo ya chama chenye ridhaa kuongoza nchi.
Wengine mikutano na maandamano ndio kazi zao, sasa wewe boya unataka kufanya kazi peke yako na mabwana zako tu wengine watakula kwenu???? watu wakifanya mikutano wewe unapoteza nini, msimu ukifika wapiga kura wanatakiwa kuwa well informed na sio zile propaganda zenu za kuunga mkono juhudi tu.

Basi funga na JF.
 
Wakati mwingine ukiijibu hii mijitu ya Lumumba,MATAGA unaweza jikuta umetukana bure na kipindi hiki cha ,''Swaumu ya Ramadan''.
 
Hivi huoni aibu?
Hebu tumia akili yako japi kidogo kuelewa. Maridhiano ina maana kuridhia baadhi ya fikra za mtu kama lissu. sasa hebu niambie kitu gani anasema lissu wana ccm wanaweza kukubali? Au sema ukweli kuhusu mbowe. Mtu anarusha ndugu zake urithi wa mali. Ndugu wameenda mahakamani kufunga kampuni za urithi hadi maelewano... yeye anasema uongo serikali ya magufuli imemfungia biashara zake.
 
Kitu kimoja nachoweza kukwambia ingekuwa kuna mashine ya kupimia akili kati yangu na wewe ningelipia kwa gharama zangu tukapimwe akili mimi na wewe.

Endelea na chuki zako usinijibu tena
 
Hebu kafie mbele na ww taga la ccm..mbona nyie kila mnakopita mnafanya siasa? Shwain
Sisi tunafuatilia utekelezaji wa ahadi zetu kwa wananchi waliyotupa ridhaa kuongoza. Ndio ukweli wala usipandishe mori bure na kutukana. Unajua nyie nyumbu kazi yenu kufuata malisho tu mkikosa mnapata hasira 😂😂
 
Ni matumaini yangu tofauti na matarajio ya vyama vya upinzani samia akikutana nao atatupilia mbali wazo la maridhiaono ya kitaifa ya wapinzani. Wao kwa niaba ya mabwana zao wanataka kusimamisha agenda za ccm. Ccm ina ridhaa kubwa ya wananchi isije laghaiwa kwa kisingizio cha maridhiano kuacha njia ya magufuli. Samia asije sahau yuko madarakani kwa ridhaa ya asilimia 84.4 aliyopewa magufuli na watanzania.
Asije ruhusu siasa za kiharakati za wapinzani zisizokua na tija kwa maendeleo ya nchi. Mikutano ya hadhara kwa vyama iendelee kudhibitiwa majimboni tu hadi msimu wa uchaguzi watu tufanye kazi kutekeleza agenda za maendeleo ya chama chenye ridhaa kuongoza nchi.
Mtego hui atanasa
 
Back
Top Bottom