Hata asiporuhusu mimiNi matumaini yangu tofauti na matarajio ya vyama vya upinzani samia akikutana nao atatupilia mbali wazo la maridhiaono ya kitaifa ya wapinzani. Wao kwa niaba ya mabwana zao wanataka kusimamisha agenda za ccm. Ccm ina ridhaa kubwa ya wananchi isije laghaiwa kwa kisingizio cha maridhiano kuacha njia ya magufuli. Samia asije sahau yuko madarakani kwa ridhaa ya asilimia 84.4 aliyopewa magufuli na watanzania.
Asije ruhusu siasa za kiharakati za wapinzani zisizokua na tija kwa maendeleo ya nchi. Mikutano ya hadhara kwa vyama iendelee kudhibitiwa majimboni tu hadi msimu wa uchaguzi watu tufanye kazi kutekeleza agenda za maendeleo ya chama chenye ridhaa kuongoza nchi.
Una mhemko sana mkuu.Acha uoga wewe MATAGA! Mikutano na maandamano nchini vikifanyika hata kabla ya uhuru! Magufuli amewaharibu sana akili zenu.
Unatakiwa tu kutoa ushauri kwa vyama vyote kufuata taratibu za kisheria, kufanya mikutano ya amani na utulivu, kutotumia lugha za kuudhi ili tu kufikisha ujumbe, nk.
Uyo magufuli wenu Kama mnampenda sana kafukueni mzoga wake muuwabudu ken_ge nyinyi,,, jitu lishakufa nyi Bado mnaliabudu tu,,,,,Samia hapangiwi na nyinyi wasukuma,Ni matumaini yangu tofauti na matarajio ya vyama vya upinzani samia akikutana nao atatupilia mbali wazo la maridhiaono ya kitaifa ya wapinzani. Wao kwa niaba ya mabwana zao wanataka kusimamisha agenda za ccm. Ccm ina ridhaa kubwa ya wananchi isije laghaiwa kwa kisingizio cha maridhiano kuacha njia ya magufuli. Samia asije sahau yuko madarakani kwa ridhaa ya asilimia 84.4 aliyopewa magufuli na watanzania.
Asije ruhusu siasa za kiharakati za wapinzani zisizokua na tija kwa maendeleo ya nchi. Mikutano ya hadhara kwa vyama iendelee kudhibitiwa majimboni tu hadi msimu wa uchaguzi watu tufanye kazi kutekeleza agenda za maendeleo ya chama chenye ridhaa kuongoza nchi.
Tatizo ni kudhani Magufuli alikuwa na hati miliki ya nchi hii, sasa anaoza mmebaki ninyi vishambenga vyake mnalia na kusaga meno!Ni matumaini yangu tofauti na matarajio ya vyama vya upinzani samia akikutana nao atatupilia mbali wazo la maridhiaono ya kitaifa ya wapinzani. Wao kwa niaba ya mabwana zao wanataka kusimamisha agenda za ccm. Ccm ina ridhaa kubwa ya wananchi isije laghaiwa kwa kisingizio cha maridhiano kuacha njia ya magufuli. Samia asije sahau yuko madarakani kwa ridhaa ya asilimia 84.4 aliyopewa magufuli na watanzania.
Asije ruhusu siasa za kiharakati za wapinzani zisizokua na tija kwa maendeleo ya nchi. Mikutano ya hadhara kwa vyama iendelee kudhibitiwa majimboni tu hadi msimu wa uchaguzi watu tufanye kazi kutekeleza agenda za maendeleo ya chama chenye ridhaa kuongoza nchi.
🙄 Mkuu mimi ni mpenda haki tu. Nimeridhika na sina mihemko yoyote ile. Mwenyezi Mungu amenijalia vingi tu! Nalima, nafanya vibiashara vya hapa na pale, watoto wanasoma, kuna kikazi cha mshahara mbuzi nafanya! Na kwa hilo, namshukuru sana.Una mhemko sana mkuu.
Utapandushwa daraja tu mkuu. Na utayafurahia maisha. Usije kufa siku si zako
Toka usingizini ww acha mawazo ya ulozi ..sisi tupo huku kwa kiongozi mkubwa kwa nafasi ya tatu ktk rank ya kitaifa hatuna dawa hospitalini ,barabara mbovu na maji tunamkamua chura ...mtu mzima unawaza utoto...shubamit!!!Ni matumaini yangu tofauti na matarajio ya vyama vya upinzani samia akikutana nao atatupilia mbali wazo la maridhiaono ya kitaifa ya wapinzani. Wao kwa niaba ya mabwana zao wanataka kusimamisha agenda za ccm. Ccm ina ridhaa kubwa ya wananchi isije laghaiwa kwa kisingizio cha maridhiano kuacha njia ya magufuli. Samia asije sahau yuko madarakani kwa ridhaa ya asilimia 84.4 aliyopewa magufuli na watanzania.
Asije ruhusu siasa za kiharakati za wapinzani zisizokua na tija kwa maendeleo ya nchi. Mikutano ya hadhara kwa vyama iendelee kudhibitiwa majimboni tu hadi msimu wa uchaguzi watu tufanye kazi kutekeleza agenda za maendeleo ya chama chenye ridhaa kuongoza nchi.
Sawa mkuu.[emoji849] Mkuu mimi ni mpenda haki tu. Nimeridhika na sina mihemko yoyote ile. Mwenyezi Mungu amenijalia vingi tu! Nalima, nafanya vibiashara vya hapa na pale, watoto wanasoma, kuna kikazi cha mshahara mbuzi nafanya! Na kwa hilo, namshukuru sana.
Hata huko kwenye madaraja kwenyewe usikute nawapigania wengine tu. Na muda huu akili zote zipo kwa walimu wanao jitolea mashuleni! Natamani sana kuona wakipewa kipaumbele kwenye hizo ajira mpya, nk.
Hivi huoni aibu?Ni matumaini yangu tofauti na matarajio ya vyama vya upinzani samia akikutana nao atatupilia mbali wazo la maridhiaono ya kitaifa ya wapinzani. Wao kwa niaba ya mabwana zao wanataka kusimamisha agenda za ccm. Ccm ina ridhaa kubwa ya wananchi isije laghaiwa kwa kisingizio cha maridhiano kuacha njia ya magufuli. Samia asije sahau yuko madarakani kwa ridhaa ya asilimia 84.4 aliyopewa magufuli na watanzania.
Asije ruhusu siasa za kiharakati za wapinzani zisizokua na tija kwa maendeleo ya nchi. Mikutano ya hadhara kwa vyama iendelee kudhibitiwa majimboni tu hadi msimu wa uchaguzi watu tufanye kazi kutekeleza agenda za maendeleo ya chama chenye ridhaa kuongoza nchi.
Ovyo kabisa., Kwanini muliapa kuilinda, kuiheshimu, kuitetea na kufuata katiba muliojiwekea wenyewe na mzinga 21 kupigwa halafu unakuja hapa unatia kidole puani? Kwanini mnangangania madaraka na kuongoza nchi ambayo katiba yake muna ukakasi kuitekeleza? Pisheni wengine ambao wanaweza kufanya yote hayo.Ni matumaini yangu tofauti na matarajio ya vyama vya upinzani samia akikutana nao atatupilia mbali wazo la maridhiaono ya kitaifa ya wapinzani. Wao kwa niaba ya mabwana zao wanataka kusimamisha agenda za ccm. Ccm ina ridhaa kubwa ya wananchi isije laghaiwa kwa kisingizio cha maridhiano kuacha njia ya magufuli. Samia asije sahau yuko madarakani kwa ridhaa ya asilimia 84.4 aliyopewa magufuli na watanzania.
Asije ruhusu siasa za kiharakati za wapinzani zisizokua na tija kwa maendeleo ya nchi. Mikutano ya hadhara kwa vyama iendelee kudhibitiwa majimboni tu hadi msimu wa uchaguzi watu tufanye kazi kutekeleza agenda za maendeleo ya chama chenye ridhaa kuongoza nchi.
Mama hawezi ruhusu upuuzi wanaotaka kuuleta. Bora kuwakazia tu, ileile mpaka washike adabu kama aliyofanya shujaa wa Afrika.Ni matumaini yangu tofauti na matarajio ya vyama vya upinzani samia akikutana nao atatupilia mbali wazo la maridhiaono ya kitaifa ya wapinzani. Wao kwa niaba ya mabwana zao wanataka kusimamisha agenda za ccm. Ccm ina ridhaa kubwa ya wananchi isije laghaiwa kwa kisingizio cha maridhiano kuacha njia ya magufuli. Samia asije sahau yuko madarakani kwa ridhaa ya asilimia 84.4 aliyopewa magufuli na watanzania.
Asije ruhusu siasa za kiharakati za wapinzani zisizokua na tija kwa maendeleo ya nchi. Mikutano ya hadhara kwa vyama iendelee kudhibitiwa majimboni tu hadi msimu wa uchaguzi watu tufanye kazi kutekeleza agenda za maendeleo ya chama chenye ridhaa kuongoza nchi.
Ni matumaini yangu tofauti na matarajio ya vyama vya upinzani samia akikutana nao atatupilia mbali wazo la maridhiaono ya kitaifa ya wapinzani. Wao kwa niaba ya mabwana zao wanataka kusimamisha agenda za ccm. Ccm ina ridhaa kubwa ya wananchi isije laghaiwa kwa kisingizio cha maridhiano kuacha njia ya magufuli. Samia asije sahau yuko madarakani kwa ridhaa ya asilimia 84.4 aliyopewa magufuli na watanzania.