Rais Samia asije ruhusu mikutano na maandamano vitupotezee mwelekeo

Anaruhusu yeye au Katiba? Au umetoka kwa Banyamulenge nini? Hilo la mikutano kufanyika majimboni tu ni kifungu cha ngapi cha Katiba?
 
Sahihi sana,naunga mkono hoja
 
Kweli kabisa, wajue "We can guarantee freedom of speech but freedom after speech not guaranteed"
 
Mikutano siyo fadhila ya Rais bali ni haki yetu kikatiba, kama hamtaki mfuateni huyu dhalim wenu aliyewajaza huu utaahira. Pumbavu kabisa
hata hamjaruhusiwa mshaanza shombo, ila mama ashawambia akimtuma mtu akapiga tatu akawakosa atawajibika
 
Yaani hata hujisikii aibu kuandika ulichoandika?

He uchaguzi ulikua huru na wa haki? Je Sheria ya vyama vya siasa unasemaje?

Je unafahamu kutofuata sheria ni uvunjifu wa amani na haki? Na unashitakiwa na Jamhuri?

Sasa endelea na ushauri wako halafu Barbara ikifika mwisho utaelewa kwa Nini uliotesha mbigili ulikopitia.
 
Usiwe na jazba bro. Tunachosema baada ya uchaguzi siasa zinahamia bungeni na kwenye mabaraza ya madiwani. Tumefanya hivyo chini ya jpm na kupata utulivu uliyotuletea maendeleo ya kiuchumi kama nchi. Hatuhitaji vurugu za mikutano ya hadhara kila siku au maandamano kukwamisha chama kilichopewa ridhaa kuongoza nchi.
 
Mbona sahiz hakuna mikutano na maandamano lakini hatuna uelekeo.
 
Narudia hayo ni maneno yako ya mdomo tu., huwezi kuongoza kwa hisia za mtazamo wako tu ndio mana tulikubaliana kuwa na katiba ambayo rais kabla ya kuwatumikia wananchi huwa anakula kiapo. Kama vipi tangazeni basi nchi haina katiba mutaendesha nchi kwa hisia.,
 
Mnaogopa kweli, Mizani iwekwe sawa tuwaone mkifurukuta. Wanasiasa waachwe wafanye siasa, wasipofanya siasa wafanye nini?
 
Ndugu yangu, utambue kuwa njia ya Magufuli, ni njia ya laana. Wanaoishi chini ya laana, waifuate hiyo njia, lakini wasio chinibya laana, waikwepe njia hiyo, maana ni njia ya jehanamu.
 


Mama anatakiwa kuamua kufuata sheria au kuendelea na makandamizi! Si mnaona hayati mwezi mmoja tu watu wanalalamika kwa mabaya je Mama anataka kumbukumbu iwe hivi?
 
Ndugu yangu, utambue kuwa njia ya Magufuli, ni njia ya laana. Wanaoishi chini ya laana, waifuate hiyo njia, lakini wasio chinibya laana, waikwepe njia hiyo, maana ni njia ya jehanamu.

Wewe lazima utakuwa ni mchawi, nchi nzima wanamuelewa Magu we na wenzako 8 tu humu ndio mnapokezana kumchafua.

Mmesha laaniwa.
 
Iyo 84.4? Yenyewe inasemaje
 
Bado mnaota utawala wa kimabavu wa jamaa yenu. Cheza muziki kulingana na beat mjomba otherwise kamata jembe ukalime viazi ule michembe.
 
Baby my love for you is like corruption in africa it will never endπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Acha kutukana bhana. Mbona mlifyata chini ya jpm kuhusu kuzurura kumwaga sumu nchi ikaendelea bila kelele zenu. Tatizo mna kasumba kudhani uliberali wa magharibi unaweza kuletea nchi maendeleo hadi mnakua mashoga bila aibu.😎😎
Hujitambui!....🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…