Rais Samia asikitishwa sana na Kifo Cha Ndugai. Aomba Watanzania kumuombea kwa Mungu

Kifo ni kifo tu. Na Samia ni miongoni mwa walioshiriki na kubariki Lissu apigwe risasi karibuni tujiandae maana na yeye amefanya kiburi cha uongozi cha kutaka kumnyonga Lissu.
Soon.
Toa ujinga wako hapa ewe mjaa laana na Uliyekosa adabu na malezi.
 
Angeondoka na vimama viwili kimoja kutoka visiwani na kingine kutoka mbeya taifa lengepona.
 
Hebu fanya umuulize kinacho msikitisha hasa ni nini, na wakati tulikubaliana kifo ni kifo tu!
 
DuhApumzike kwa amani.Atakumbukwa kwa miradi mikubwa ambayo nchi inajivunia ilipitishwa na bunge lake
 
The death is death tu
 
 
Yaani shetani aombe tumuombee shetani kwa Mungu. Huyu ndio alizuia matibabu ya Lisu, alikuwa ananyanyasa wapinzani na kuwadhalilisha. Huyu si ndio aliweka knga za kutoshitakiwa viongozi waliokuwa wanatumika na Magufuli kunyanyasa watu? Si ndiye alipitisha mafao ya kufuru ya wenza wa viongozi. Kama kuna moto kuni ziweke nyingi kwa huyo shetani.
 
Kasikitishwa?
 

Attachments

  • image_search_1754500884664.jpg
    295.1 KB · Views: 18
Anapigania haki kwa kuteka na kuua watanganyika au sio, anapigania haki ya kikwete na mafisadi wenzie sio!
Samia anawapigania haki kwa kuwaibia maliasili zao na mafisadi wenzie usiku na mchana? Acheni uchawa wenu huyu mama hafai angelitwaliwa yeye badala ya Ndugai😳😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…