PreGE2025 Rais Samia, asisubirie kulazimishwa kuchukua hatua. Mwitikio wa Umma wa 'No Reforms No Election' ni ujumbe tosha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
19,768
Reaction score
49,949
Rais Samia, CCM na Serikali yake, wasisubirie kulazimishwa kwa nguvu kuchukua hatua za kujirudi, yaani kuachana na sheria, mifumo na kanuni za kishetani katika kuendesha chaguzi.

Inafahamika wazi kuwa mtu mshenzi au jambazi ambaye hulishibisha tumbo lake kwa ujambazi, si rahisi kwake kuacha ujambazi kwa sababu tu ameambiwa kuwa ujambazi ni mbaya, aachane nao. Lakini aghalabu akipuuza ushauri wote toka kwa watu wote, jambazi huyo lazima utafika wakati wa kuangamia.

CCM wakati wote imezoea kudhulumu haki za wananchi kuchagua viongozi wao kwenye chaguzi. Wamefanya hivyo kwa muda mrefu, na kadiri muda unavyoenda ndivyo wameendelea kuzidisha uovu wao. Hawasikii ushauri wowote kutoka kwa yeyote.

Tume ya Jaji Nyalali RIP ilishauri umuhimu wa kubadilisha katiba na sheria za uchaguzi ili kuleta haki. CCM haitaki, ikapuuza na kudharau, ikaendelea na uharamia iliouzoea. Tume ya Jaji Warioba, iliweka mapendekezo yote muhimu kwenye andiko la mapendekezo ya katiba mpya ili kuifanya nchi yetu iwe ya haki, CCM wamegoma, wamekataa na kupuuza.

Zamani CCM ilikuwa inaiba tu kura , baadaye ikafikia kupora uchaguzi kwa kutotangaza washindi wa upinzani hata kama pamoja na kuiba kura zao bado wameshinda, baadaye wakaanza kuengua kwa kiwango cha ajabu wagombea wa upinzani, mwakajana kuke Ikungi ikafikia hatua ya Polisi kuua mgombea wa upinzani kwenye nafasi ya mwenyekiti wa kitongoji kwa risasi 4 mbele ya familia yake. Wakiachwa waendelee, huko mbele sijui watafanya nini, maana uovu wao unazidi kuongezeka kadiri muda unavyoenda.

Kwa sasa wananchi wamesema wazi kuwa hawataki tena uharamia kwenye uchaguzi, na nawahakikishieni, wananchi kwa sasa wamefikia mwisho wa uvumilivu. Bila ya kurekebisha na kuondoa uovu kwenye mifumo, taratibu na kununi za uchaguzi, mwaka 2025, hakuna uchaguzi.

Rais Samia, CCM na Serikali yake, wana nafasi ya mwisho, japo kwa kujikosha, kuandaa mjadala wa kitaifa juu ya mambo yote muhimu yanayotakiwa kubadilishwa kwenye katiba, sheria na kanuni za kusimamia uchaguzi. Watanzania hawataki tena maaigizo na kufanywa wajuha. CCM na viongozi wake wakiendelea na maigizo na dhuluma, Rais Samia, CCM na Serikali yake wataabika vibaya sana mbele ya uso wa nchi hui na uso wa kimataifa.

Fikiria mkutano uliofanyiwa matangazo kwa siku moja tu Mbeya (Polisi kwa makusudi walichelewesha kutoa majibu. Wamejibu tarehe 22 March, mkutano 23 March) Bila malori bila wasanii, nyomi yenye hamasa kubwa Mbeya ndiyo hiyo. Nyomi hii ina hamasa ya ajabu ya kuhakikisha uovu wote wa uchaguzi unafikia mwisho.

IMG-20250323-WA0048.jpg
IMG-20250323-WA0046.jpg
IMG-20250323-WA0045.jpg
IMG-20250323-WA0044.jpg
IMG-20250323-WA0043.jpg
 
Rais Samia, CCM na Serikali yake, wasisubirie kulazimishwa kwa nguvu kuchukua hatua za kujirudi, yaani kuachana na sheria, mifumo na kanuni za kishetani katika kuendesha chaguzi.

Inafahamika wazi kuwa mtu mshenzi au jambazi ambaye hulishibisha tumbo lake kwa ujambazi, si rahisi kwake kuacha ujambazi kwa sababu tu ameambiwa kuwa ujambazi ni mbaya, aachane nao. Lakini aghalabu akipuuza ushauri wote toka kwa watu wote, jambazi huyo lazima utafika wakati wa kuangamia.

CCM wakati wote imezoea kudhulumu haki za wananchi kuchagua viongozi wao kwenye chaguzi. Wamefanya hivyo kwa muda mrefu, na kadiri muda unavyoenda ndivyo wameendelea kuzidisha uovu wao. Hawasikii ushauri wowote kutoka kwa yeyote.

Tume ya Jaji Nyalali RIP ilishauri umuhimu wa kubadilisha katiba na sheria za uchaguzi ili kuleta haki. CCM haitaki, ikapuuza na kudharau, ikaendelea na uharamia iliouzoea. Tume ya Jaji Warioba, iliweka mapendekezo yote muhimu kwenye andiko la mapendekezo ya katiba mpya ili kuifanya nchi yetu iwe ya haki, CCM wamegoma, wamekataa na kupuuza.

Zamani CCM ilikuwa inaiba tu kura , baadaye ikafikia kupora uchaguzi kwa kutotangaza washindi wa upinzani hata kama pamoja na kuiba kura zao bado wameshinda, baadaye wakaanza kuengua kwa kiwango cha ajabu wagombea wa upinzani, mwakajana Wakiachwa waendelee, huko mbele sijui watafanya nini, maana uovu wao unazidi kuongezeka kadiri muda unavyoenda.

Kwa sasa wananchi wamesema wazi kuwa hawataki tena uharamia kwenye uchaguzi, na nawahakikishieni, wananchi kwa sasa wamefikia mwisho wa uvumilivu. Bila ya kurekebisha na kuondoa uovu kwenye mifumo, taratibu na kununi za uchaguzi, mwaka 2025, hakuna uchaguzi.

Rais Samia, CCM na Serikali yake, wana nafasi ya mwisho, japo kwa kunikosha, kuandaa mjadala wa kitaifa juu ya mambo yote muhimu yanayotakiwa kubadilishwa kwenye katiba, sheria na kanuni za kusimamia uchaguzi. Watanzania hawataki tena maaigizo. CCM na viongozi wake wakiendelea na maigizo, Rais Samia, CCM na Serikali yake wataabika vibaya sana mbele ya uso wa nchi na uso wa kimataifa.

Fikiria mkutano uliofanyiwa matangazo kwa siku moja tu Mbeya (Polisi kwa makusudi walichelewesha kutoa majibu. Wamejibu tarehe 22 March, mkutano 23 March) Bila malori bila wasanii, nyomi yenye hamasa kubwa Mbeya ndiyo hiyo. Nyomihii ina hamasa ya ajabu ya kuhakikisha uovu wote wa uchaguzi unafikia mwisho.
View attachment 3281309View attachment 3281311View attachment 3281312View attachment 3281313View attachment 3281314
Fikiria mkutano uliofanyiwa matangazo kwa siku moja tu Mbeya (Polisi kwa makusudi walichelewesha kutoa majibu. Wamejibu tarehe 22 March, mkutano 23 March) Bila malori bila wasanii, nyomi yenye hamasa kubwa Mbeya ndiyo hiyo. Nyomihii ina hamasa ya ajabu ya kuhakikisha uovu wote wa uchaguzi unafikia mwisho.💪🏿
 
Rais Samia, CCM na Serikali yake, wana nafasi ya mwisho, japo kwa kunikosha, kuandaa mjadala wa kitaifa juu ya mambo yote muhimu yanayotakiwa kubadilishwa kwenye katiba, sheria na kanuni za kusimamia uchaguzi. Watanzania hawataki tena maaigizo. CCM na viongozi wake wakiendelea na maigizo, Rais Samia, CCM na Serikali yake wataabika vibaya sana mbele ya uso wa nchi na uso wa kimataifa.
 
Rais Samia, CCM na Serikali yake, wasisubirie kulazimishwa kwa nguvu kuchukua hatua za kujirudi, yaani kuachana na sheria, mifumo na kanuni za kishetani katika kuendesha chaguzi.

Inafahamika wazi kuwa mtu mshenzi au jambazi ambaye hulishibisha tumbo lake kwa ujambazi, si rahisi kwake kuacha ujambazi kwa sababu tu ameambiwa kuwa ujambazi ni mbaya, aachane nao. Lakini aghalabu akipuuza ushauri wote toka kwa watu wote, jambazi huyo lazima utafika wakati wa kuangamia.

CCM wakati wote imezoea kudhulumu haki za wananchi kuchagua viongozi wao kwenye chaguzi. Wamefanya hivyo kwa muda mrefu, na kadiri muda unavyoenda ndivyo wameendelea kuzidisha uovu wao. Hawasikii ushauri wowote kutoka kwa yeyote.

Tume ya Jaji Nyalali RIP ilishauri umuhimu wa kubadilisha katiba na sheria za uchaguzi ili kuleta haki. CCM haitaki, ikapuuza na kudharau, ikaendelea na uharamia iliouzoea. Tume ya Jaji Warioba, iliweka mapendekezo yote muhimu kwenye andiko la mapendekezo ya katiba mpya ili kuifanya nchi yetu iwe ya haki, CCM wamegoma, wamekataa na kupuuza.

Zamani CCM ilikuwa inaiba tu kura , baadaye ikafikia kupora uchaguzi kwa kutotangaza washindi wa upinzani hata kama pamoja na kuiba kura zao bado wameshinda, baadaye wakaanza kuengua kwa kiwango cha ajabu wagombea wa upinzani, mwakajana Wakiachwa waendelee, huko mbele sijui watafanya nini, maana uovu wao unazidi kuongezeka kadiri muda unavyoenda.

Kwa sasa wananchi wamesema wazi kuwa hawataki tena uharamia kwenye uchaguzi, na nawahakikishieni, wananchi kwa sasa wamefikia mwisho wa uvumilivu. Bila ya kurekebisha na kuondoa uovu kwenye mifumo, taratibu na kununi za uchaguzi, mwaka 2025, hakuna uchaguzi.

Rais Samia, CCM na Serikali yake, wana nafasi ya mwisho, japo kwa kunikosha, kuandaa mjadala wa kitaifa juu ya mambo yote muhimu yanayotakiwa kubadilishwa kwenye katiba, sheria na kanuni za kusimamia uchaguzi. Watanzania hawataki tena maaigizo. CCM na viongozi wake wakiendelea na maigizo, Rais Samia, CCM na Serikali yake wataabika vibaya sana mbele ya uso wa nchi na uso wa kimataifa.

Fikiria mkutano uliofanyiwa matangazo kwa siku moja tu Mbeya (Polisi kwa makusudi walichelewesha kutoa majibu. Wamejibu tarehe 22 March, mkutano 23 March) Bila malori bila wasanii, nyomi yenye hamasa kubwa Mbeya ndiyo hiyo. Nyomihii ina hamasa ya ajabu ya kuhakikisha uovu wote wa uchaguzi unafikia mwisho.
View attachment 3281309View attachment 3281311View attachment 3281312View attachment 3281313View attachment 3281314

watu wa Magogoni/Chamwino msiache kuupitia Uzi huu kwa kina
 
Bila kupepesa macho Tanzania tunahitaji mabadiliko makubwa katika nchi yetu. Kwa kuanza tuanze na kubadili mfumo wa kupata viongozi ili tupate viongozi tunao wataka sisi wananchi na sio kupangiwa na watu wachache. Haijalishi uko chama gani kiongozi anapaswa kuchaguliwa kwa sera zake nzuri kwa wananchi na kwa taifa kwa ujumla. Haya masuala ya kutupa viongozi tusio wataka iwe mwisho.

Baadaa ya hapo inafuata KATIBA MPYA, hii Tanzania kila kitu kinatakiwa kubadilika. Yaani iwe kama tunaanza upya ata jina la nchi libadilishwe maana CCM imefanya ujinga sana kwenye nchi. Hii Tanzania ni upuuzi sana kuwa namna ilivyo ilihali ni moja ya nchi yenye kila kitu.
 
Rais Samia, CCM na Serikali yake, wasisubirie kulazimishwa kwa nguvu kuchukua hatua za kujirudi, yaani kuachana na sheria, mifumo na kanuni za kishetani katika kuendesha chaguzi.

Inafahamika wazi kuwa mtu mshenzi au jambazi ambaye hulishibisha tumbo lake kwa ujambazi, si rahisi kwake kuacha ujambazi kwa sababu tu ameambiwa kuwa ujambazi ni mbaya, aachane nao. Lakini aghalabu akipuuza ushauri wote toka kwa watu wote, jambazi huyo lazima utafika wakati wa kuangamia.

CCM wakati wote imezoea kudhulumu haki za wananchi kuchagua viongozi wao kwenye chaguzi. Wamefanya hivyo kwa muda mrefu, na kadiri muda unavyoenda ndivyo wameendelea kuzidisha uovu wao. Hawasikii ushauri wowote kutoka kwa yeyote.

Tume ya Jaji Nyalali RIP ilishauri umuhimu wa kubadilisha katiba na sheria za uchaguzi ili kuleta haki. CCM haitaki, ikapuuza na kudharau, ikaendelea na uharamia iliouzoea. Tume ya Jaji Warioba, iliweka mapendekezo yote muhimu kwenye andiko la mapendekezo ya katiba mpya ili kuifanya nchi yetu iwe ya haki, CCM wamegoma, wamekataa na kupuuza.

Zamani CCM ilikuwa inaiba tu kura , baadaye ikafikia kupora uchaguzi kwa kutotangaza washindi wa upinzani hata kama pamoja na kuiba kura zao bado wameshinda, baadaye wakaanza kuengua kwa kiwango cha ajabu wagombea wa upinzani, mwakajana Wakiachwa waendelee, huko mbele sijui watafanya nini, maana uovu wao unazidi kuongezeka kadiri muda unavyoenda.

Kwa sasa wananchi wamesema wazi kuwa hawataki tena uharamia kwenye uchaguzi, na nawahakikishieni, wananchi kwa sasa wamefikia mwisho wa uvumilivu. Bila ya kurekebisha na kuondoa uovu kwenye mifumo, taratibu na kununi za uchaguzi, mwaka 2025, hakuna uchaguzi.

Rais Samia, CCM na Serikali yake, wana nafasi ya mwisho, japo kwa kunikosha, kuandaa mjadala wa kitaifa juu ya mambo yote muhimu yanayotakiwa kubadilishwa kwenye katiba, sheria na kanuni za kusimamia uchaguzi. Watanzania hawataki tena maaigizo. CCM na viongozi wake wakiendelea na maigizo, Rais Samia, CCM na Serikali yake wataabika vibaya sana mbele ya uso wa nchi na uso wa kimataifa.

Fikiria mkutano uliofanyiwa matangazo kwa siku moja tu Mbeya (Polisi kwa makusudi walichelewesha kutoa majibu. Wamejibu tarehe 22 March, mkutano 23 March) Bila malori bila wasanii, nyomi yenye hamasa kubwa Mbeya ndiyo hiyo. Nyomihii ina hamasa ya ajabu ya kuhakikisha uovu wote wa uchaguzi unafikia mwisho.
View attachment 3281309View attachment 3281311View attachment 3281312View attachment 3281313View attachment 3281314
Kwa sasa hivi kushiriki uchaguzi ni kuhalalisha tu ccm iendelee kuongeza, watu Wana matokeo tayari kichwani.Kiukweli yatakaa moyo...
 
kenge hasikii mpaka damu itoke masikioni
 
Wanadanganyika na nguvu ya Polisi na TISS. CCM ni laaana ya nchi yetu. Mimi binafsi bila mabadiliko siendi kupiga kura.

Adui mkubwa wa kwanza wa Tanzania kwa sasa ni CCM:

CCM ndiye mporaji wa rasilimaji za nchi.

CCM ndiye fisadi mkubwa wa rasilimali za nchi, anayepora rasilimali za nchi na kuwagawia wageni kwa malipo ya rushwa kubwa.

Chini ya CCM ndiyo wanaopinga ufisadi na kjkosoa udhulumaji wake, wanauawa na kutekwa.

CCM ndiyo mdhulumaji wa haki mbalimbali za watanzania.

CCM ndiyo mtengenezaji wa umaskini wa Watanzania.

CCM ndiyo anayozuia mabadiliko yoyote yanayolenga kuondoa dhuluma katika Tanzania.
 
Rais Samia, CCM na Serikali yake, wana nafasi ya mwisho, japo kwa kunikosha, kuandaa mjadala wa kitaifa juu ya mambo yote muhimu yanayotakiwa kubadilishwa kwenye katiba, sheria na kanuni za kusimamia uchaguzi. Watanzania hawataki tena maaigizo. CCM na viongozi wake wakiendelea na maigizo, Rais Samia, CCM na Serikali yake wataabika vibaya sana mbele ya uso wa nchi na uso wa kimataifa.

Tatizo Maza ametanguliza naslshi yake binafsi mbele. Pesa ya Wajomba inamkosesha raha. Ukimuangalia Maza siku hizi anaonekana ni mtu wa nawaxo na asiye na furaha. Siku zijazo atekuwa akijifichaficha na kutokea kwenye matukio tu.

Nyomi kama la Mbeya zinamtumia Ujumbe kuwa Watu wako naye midomoni siyo mioyoni. JPM alipata Similar msg kwenye uchaguzi 2020 na baada ya hapo hakurecover tena.
 
Back
Top Bottom