Fikiria mkutano uliofanyiwa matangazo kwa siku moja tu Mbeya (Polisi kwa makusudi walichelewesha kutoa majibu. Wamejibu tarehe 22 March, mkutano 23 March) Bila malori bila wasanii, nyomi yenye hamasa kubwa Mbeya ndiyo hiyo. Nyomihii ina hamasa ya ajabu ya kuhakikisha uovu wote wa uchaguzi unafikia mwisho.💪🏿Rais Samia, CCM na Serikali yake, wasisubirie kulazimishwa kwa nguvu kuchukua hatua za kujirudi, yaani kuachana na sheria, mifumo na kanuni za kishetani katika kuendesha chaguzi.
Inafahamika wazi kuwa mtu mshenzi au jambazi ambaye hulishibisha tumbo lake kwa ujambazi, si rahisi kwake kuacha ujambazi kwa sababu tu ameambiwa kuwa ujambazi ni mbaya, aachane nao. Lakini aghalabu akipuuza ushauri wote toka kwa watu wote, jambazi huyo lazima utafika wakati wa kuangamia.
CCM wakati wote imezoea kudhulumu haki za wananchi kuchagua viongozi wao kwenye chaguzi. Wamefanya hivyo kwa muda mrefu, na kadiri muda unavyoenda ndivyo wameendelea kuzidisha uovu wao. Hawasikii ushauri wowote kutoka kwa yeyote.
Tume ya Jaji Nyalali RIP ilishauri umuhimu wa kubadilisha katiba na sheria za uchaguzi ili kuleta haki. CCM haitaki, ikapuuza na kudharau, ikaendelea na uharamia iliouzoea. Tume ya Jaji Warioba, iliweka mapendekezo yote muhimu kwenye andiko la mapendekezo ya katiba mpya ili kuifanya nchi yetu iwe ya haki, CCM wamegoma, wamekataa na kupuuza.
Zamani CCM ilikuwa inaiba tu kura , baadaye ikafikia kupora uchaguzi kwa kutotangaza washindi wa upinzani hata kama pamoja na kuiba kura zao bado wameshinda, baadaye wakaanza kuengua kwa kiwango cha ajabu wagombea wa upinzani, mwakajana Wakiachwa waendelee, huko mbele sijui watafanya nini, maana uovu wao unazidi kuongezeka kadiri muda unavyoenda.
Kwa sasa wananchi wamesema wazi kuwa hawataki tena uharamia kwenye uchaguzi, na nawahakikishieni, wananchi kwa sasa wamefikia mwisho wa uvumilivu. Bila ya kurekebisha na kuondoa uovu kwenye mifumo, taratibu na kununi za uchaguzi, mwaka 2025, hakuna uchaguzi.
Rais Samia, CCM na Serikali yake, wana nafasi ya mwisho, japo kwa kunikosha, kuandaa mjadala wa kitaifa juu ya mambo yote muhimu yanayotakiwa kubadilishwa kwenye katiba, sheria na kanuni za kusimamia uchaguzi. Watanzania hawataki tena maaigizo. CCM na viongozi wake wakiendelea na maigizo, Rais Samia, CCM na Serikali yake wataabika vibaya sana mbele ya uso wa nchi na uso wa kimataifa.
Fikiria mkutano uliofanyiwa matangazo kwa siku moja tu Mbeya (Polisi kwa makusudi walichelewesha kutoa majibu. Wamejibu tarehe 22 March, mkutano 23 March) Bila malori bila wasanii, nyomi yenye hamasa kubwa Mbeya ndiyo hiyo. Nyomihii ina hamasa ya ajabu ya kuhakikisha uovu wote wa uchaguzi unafikia mwisho.
View attachment 3281309View attachment 3281311View attachment 3281312View attachment 3281313View attachment 3281314
Rais Samia, CCM na Serikali yake, wasisubirie kulazimishwa kwa nguvu kuchukua hatua za kujirudi, yaani kuachana na sheria, mifumo na kanuni za kishetani katika kuendesha chaguzi.

Kwa sasa hivi kushiriki uchaguzi ni kuhalalisha tu ccm iendelee kuongeza, watu Wana matokeo tayari kichwani.Kiukweli yatakaa moyo...Rais Samia, CCM na Serikali yake, wasisubirie kulazimishwa kwa nguvu kuchukua hatua za kujirudi, yaani kuachana na sheria, mifumo na kanuni za kishetani katika kuendesha chaguzi.
Inafahamika wazi kuwa mtu mshenzi au jambazi ambaye hulishibisha tumbo lake kwa ujambazi, si rahisi kwake kuacha ujambazi kwa sababu tu ameambiwa kuwa ujambazi ni mbaya, aachane nao. Lakini aghalabu akipuuza ushauri wote toka kwa watu wote, jambazi huyo lazima utafika wakati wa kuangamia.
CCM wakati wote imezoea kudhulumu haki za wananchi kuchagua viongozi wao kwenye chaguzi. Wamefanya hivyo kwa muda mrefu, na kadiri muda unavyoenda ndivyo wameendelea kuzidisha uovu wao. Hawasikii ushauri wowote kutoka kwa yeyote.
Tume ya Jaji Nyalali RIP ilishauri umuhimu wa kubadilisha katiba na sheria za uchaguzi ili kuleta haki. CCM haitaki, ikapuuza na kudharau, ikaendelea na uharamia iliouzoea. Tume ya Jaji Warioba, iliweka mapendekezo yote muhimu kwenye andiko la mapendekezo ya katiba mpya ili kuifanya nchi yetu iwe ya haki, CCM wamegoma, wamekataa na kupuuza.
Zamani CCM ilikuwa inaiba tu kura , baadaye ikafikia kupora uchaguzi kwa kutotangaza washindi wa upinzani hata kama pamoja na kuiba kura zao bado wameshinda, baadaye wakaanza kuengua kwa kiwango cha ajabu wagombea wa upinzani, mwakajana Wakiachwa waendelee, huko mbele sijui watafanya nini, maana uovu wao unazidi kuongezeka kadiri muda unavyoenda.
Kwa sasa wananchi wamesema wazi kuwa hawataki tena uharamia kwenye uchaguzi, na nawahakikishieni, wananchi kwa sasa wamefikia mwisho wa uvumilivu. Bila ya kurekebisha na kuondoa uovu kwenye mifumo, taratibu na kununi za uchaguzi, mwaka 2025, hakuna uchaguzi.
Rais Samia, CCM na Serikali yake, wana nafasi ya mwisho, japo kwa kunikosha, kuandaa mjadala wa kitaifa juu ya mambo yote muhimu yanayotakiwa kubadilishwa kwenye katiba, sheria na kanuni za kusimamia uchaguzi. Watanzania hawataki tena maaigizo. CCM na viongozi wake wakiendelea na maigizo, Rais Samia, CCM na Serikali yake wataabika vibaya sana mbele ya uso wa nchi na uso wa kimataifa.
Fikiria mkutano uliofanyiwa matangazo kwa siku moja tu Mbeya (Polisi kwa makusudi walichelewesha kutoa majibu. Wamejibu tarehe 22 March, mkutano 23 March) Bila malori bila wasanii, nyomi yenye hamasa kubwa Mbeya ndiyo hiyo. Nyomihii ina hamasa ya ajabu ya kuhakikisha uovu wote wa uchaguzi unafikia mwisho.
View attachment 3281309View attachment 3281311View attachment 3281312View attachment 3281313View attachment 3281314
kenge hasikii mpaka damu itoke masikioniRais Samia, CCM na Serikali yake, wasisubirie kulazimishwa kwa nguvu kuchukua hatua za kujirudi, yaani kuachana na sheria, mifumo na kanuni za kishetani katika kuendesha chaguzi.

Akija kustuka kumekuchaaaaWanadanganyika na nguvu ya Polisi na TISS. CCM ni laaana ya nchi yetu. Mimi binafsi bila mabadiliko siendi kupiga kura.
Wanadanganyika na nguvu ya Polisi na TISS. CCM ni laaana ya nchi yetu. Mimi binafsi bila mabadiliko siendi kupiga kura.
Rais Samia, CCM na Serikali yake, wana nafasi ya mwisho, japo kwa kunikosha, kuandaa mjadala wa kitaifa juu ya mambo yote muhimu yanayotakiwa kubadilishwa kwenye katiba, sheria na kanuni za kusimamia uchaguzi. Watanzania hawataki tena maaigizo. CCM na viongozi wake wakiendelea na maigizo, Rais Samia, CCM na Serikali yake wataabika vibaya sana mbele ya uso wa nchi na uso wa kimataifa.
FACT.Tuseme ule ukweli wa Mungu,
Tunahitaji KATIBA MPYA, kwa manufaa ya Taifa letu.
Na si manufaa ya chama chochote cha siasa.
Vyama hivi huja na kupita.
Kiko wapi KANU cha Kenya?.
SANAAAA.Kwa hakika tume hurru ni muhimu
🫣😁 Kenge hata maumivu hasikii mpaka damu za pua masikio na mdomo ndo anelewaKenge hawezi kusikia mpaka damu zitoke masikioni