PreGE2025 Rais Samia, asisubirie kulazimishwa kuchukua hatua. Mwitikio wa Umma wa 'No Reforms No Election' ni ujumbe tosha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Chadema wameweka picha za umati za 2015 kipindi cha Lowasa lakini za jukwaa kuu wameweka za mkutano husika

Wanaweka kuwalaghai wazungu hasa

Huo umati ni picha za 2015
 
Chadema wameweka picha za umati za 2015 kipindi cha Lowasa lakini za jukwaa kuu wameweka za mkutano husika

Wanaweka kuwalaghai wazungu hasa

Huo umati ni picha za 2015
Asante kwa kuifuatilia chadema japo moyo wako unauma ila haina jinsi jikaze tu hamna namna.
 
Yaani mwaka huu CCM na machawa wao watashangaa, watanzania washastuka.
No reform......No election
 
Nyomi kama la Mbeya zinamtumia Ujumbe kuwa Watu wako naye midomoni siyo mioyoni. JPM alipata Similar msg kwenye uchaguzi 2020 na baada ya hapo hakurecover tena.📌🔨
 
hizo ni kelel za chura hazitukoseshi usingizi watatulia wenyewe
 
Kwani na CCM ikiamua kuweka mkutano wa kuhamasisha unafikiri hao wa Chadema watafua dafu?
 
Au amtume Afande Awadh aje kupiga Viongozi wetu Mbeya, au jana alisahau au ni kwasababu ni Mwezi mtukufu?!
 
Hawa wamekwisha amua liwalo na liwe; hawapo tayari kufanya mabadiliko wanayojuwa yatawaondoa madarakani.
 
Umeeleza kila kitu katika mistari michache tu!
 
Chadema wameweka picha za umati za 2015 kipindi cha Lowasa lakini za jukwaa kuu wameweka za mkutano husika

Wanaweka kuwalaghai wazungu hasa

Huo umati ni picha za 2015


Usiwe punguani kiasi hicho. Mkutano ulikuwa live. Hata kama yawezekana una akili ndogo, jaribu kutumia vizuri kidogo ulicho nacho.
 
Umesema kweli tupu! Ila hao mashetani watakuelewa?
 
Kwani na CCM ikiamua kuweka mkutano wa kuhamasisha unafikiri hao wa Chadema watafua dafu?

Fuatilia mkutano alioufanya Wasira Mbeya. Watu waliohudhuria walienea kwenye mahema manne. Ilikuwa ni kama watu wapo msibani.
 
Usiwe punguani kiasi hicho. Mkutano ulikuwa live. Hata kama yawezekana una akili ndogo, jaribu kutumia vizuri kidogo ulicho nacho.
Usijibizane na huyo chawa punguani mkubwa sana mfuasi wa shetani fisiemu!
 
Umesema kweli tupu! Ila hao mashetani watakuelewa?
Shetani kuelewa ni kazi sana, kwa sababu amefunga mkataba na uovu. Lakini yawezekana kukawa na mtu mmoja mmoja ndani ya CCM ambaye siyo wakala wa shetani, akatumia hekima kuwashauri wenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…