PreGE2025 Rais Samia, asisubirie kulazimishwa kuchukua hatua. Mwitikio wa Umma wa 'No Reforms No Election' ni ujumbe tosha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Chadema wameweka picha za umati za 2015 kipindi cha Lowasa lakini za jukwaa kuu wameweka za mkutano husika

Wanaweka kuwalaghai wazungu hasa

Huo umati ni picha za 2015
Timu kenge,
Hamtaki kuwasikiliza umma hadi damu itoke kwanza siyo?
 
Nyomi hii ina hamasa ya ajabu ya kuhakikisha uovu wote wa uchaguzi unafikia mwisho.
"Nyomi" ni ishara njema inayo jionyesha mapema; lakini inatakiwa kufanyiwa kazi ya ziada huko mitaani kuwa na matokeo chanya.
 
Sisimizi acheni kuitisha Serikali. Nyie kama mna uwezo subirini tu itakapofika siku ya uchaguzi ndiyo mfanye hiyo No Elections yenu.

Mbona mnaanzisha wenyewe ujinga wenu halafu mnajishuku.

Kwanza mmeshapoteza focus, huyo Mzee Slaa hana status yabkupokewa CHADEMA kwa usaliti wake. Na hatowasaidia kitu kamwe. Familia tu kaitelekeza Canada
 
Siku ya siku ikifika mkiwa chini ya Kalavati mmejificha kama alivyojificha Gadafi ndiyo utajua kumbe sisimizi siyo mchezo, jiridhisheni tu kwa sasa, itafika siku hakuna jiwe litasalia juu ya jiwe!!!
 
Hao viongozi tu wenyewe wanaongea km sehemu ya sanaa ya siasa inavyowataka lkn vifuani mwao wanasound tofauti na huo wimbo wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…