Rais Samia: Asiyejua anasema Serikali inakopa tu, kwani tunakopa kununua sare za harusi?

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Hiyo mikopo tuambiwe inaelekezwa wapi maana hatuoni hiyo miradi mipya zaidi ya ileile iliyokuwepo na ambayo kasi yake ya utekelzwaji haiakisi kiwango cha mikopo inayokopwa. Mikopo tembo utekelezwaji wa miradi kasi ya konokono hii inatia sana shaka

Lakini kuna hoja pia kuwa fedha za mikopo hazipiti hazina ina maana zinaingia mifukoni mwa watu. Hili Rais aliangalie kwa umakini haiwezekani raia wabebeshwe mzigo wa kulipa madeni wakati fedha hizo zililiwa na wachache
 
Rais Samia amedai Wafanyabiashara wadogo na wakati wengi wao wanakimbia ulipaji kodi hali inayosababisha kuingia kwenye mikopo na "Asiyejua anasema Serikali inakopa tu, kwani tunakopa kununua sare za harusi?"

Hivi anafikiti watalipa kodi kwa kuombwa?

Kwanza angeonyesha mfano kama Rais angelipa kodi. Yeye halipi kodi halafu yuko busy kuwananga wenzake.
 
Rais Samia amedai Wafanyabiashara wadogo na wakati wengi wao wanakimbia ulipaji kodi hali inayosababisha kuingia kwenye mikopo na "Asiyejua anasema Serikali inakopa tu, kwani tunakopa kununua sare za harusi?"

Mpina kakalia kuti kavu CCM kugombea ubunge kupitia CCM yeye na Kibajaji aliyetaka kupindua mwenyekiti atoke nje na makamu kikao kibaki bila wao wasahau ubunge kupitia CCM
 
Rais Samia amedai Wafanyabiashara wadogo na wakati wengi wao wanakimbia ulipaji kodi hali inayosababisha kuingia kwenye mikopo na "Asiyejua anasema Serikali inakopa tu, kwani tunakopa kununua sare za harusi?"

Sasa ni mipasho tu! Mtaelewa tu! Nasikia watu wa pwani ni hodari sana kwa mipasho, kwamba wanaweza kumkamata mwizi, wakamkalisha chini na kuanza kumsema hadi akafa! Sijui kweli?
 
Bora zingekuwa Sare za Harusi ni bei Ndogo, hicho kinachofanyika labda hakiendani na kinachoonekana, hivyo ni civic duty ya kila mlipa Kodi na atakayelipa madeni ajue kinachofanyika (kama ni zile pikipiki, mabasi na pikipiki ni bora tukaacha kukopa); Na kama watu hawajui ni jukumu la nani kuwaelewesha ?!!

Hiyo mikopo tuambiwe inaelekezwa wapi maana hatuoni hiyo miradi mipya zaidi ya ileile iliyokuwepo na ambayo kasi yake ya utekelzwaji haiakisi kiwango cha mikopo inayokopwa. Mikopo tembo utekelezwaji wa miradi kasi ya konokono hii inatia sana shaka

Lakini kuna hoja pia kuwa fedha za mikopo hazipiti hazina ina maana zinaingia mifukoni mwa watu. Hili Rais aliangalie kwa umakini haiwezekani raia wabebeshwe mzigo wa kulipa madeni wakati fedha hizo zililiwa na wachache
Utajuaje kile Serikali inafanya wakati mda wote wewe uko busy kufuatilia ujinga wa kina Mpina na Lisu wanafanya siasa Kwa vile wanajua Watanzania wengi hawana akili za kufuatilia mambo ya msingi so mnasubiria kuambiwa na hao wanaopotosha.

Mfano huu ni mradi Mijini 28 Nchi nzima zaidi ya Trilioni 1 za Mkopo kutoka India zinafanya kazi kwenye maeneo 28 Tanzania nzima ,ukitaka nikupe updates ya Kila sehemu naweza fanya hivyo.

Songea 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DFYNDejsw3b/?igsh=OHFjNWMxbXljdWow
 
Bora zingekuwa Sare za Harusi ni bei Ndogo, hicho kinachofanyika labda hakiendani na kinachoonekana, hivyo ni civic duty ya kila mlipa Kodi na atakayelipa madeni ajue kinachofanyika (kama ni zile pikipiki, mabasi na pikipiki ni bora tukaacha kukopa); Na kama watu hawajui ni jukumu la nani kuwaelewesha ?!!

Tafuta Nchi Yako ambayo haikopi ndio uhamie
 
Back
Top Bottom