ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Jibu swali ,yataje hapa hayo matumizi ya hovyo sio kuhamishwa magoli..Mama Abduli uwezo wake ni mdogo, anaweza zaidi mipasho, na matusi kwa wanaomkosoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu swali ,yataje hapa hayo matumizi ya hovyo sio kuhamishwa magoli..Mama Abduli uwezo wake ni mdogo, anaweza zaidi mipasho, na matusi kwa wanaomkosoa.
Unazingua,hutaki wakope lipa Kodi
View: https://x.com/CrownMediaTZ/status/1884938670240567757?t=tAjYg4eJX3xo_q58d5HeJA&s=19
Anayetakiwa kupima Value / Mapungufu ya anachopata na atakacholipia ni mlipaji au mtoaji ? Mpina na Sisi walipa Kodi wengine tunaona kinachoendelea ni mediocre, sasa wewe kama ndio unaona hapa ndio over performance huyo ni wewe na haki yako, ila usiondoe haki ya wengine kudai better performance...; Na huo muda unaotumika kwa vijembe ungekuwa better served kwenye matendo...Huyo Mpina wako ni mjinga mmja tuu ambae kajipa.kazi ya kupotosha Ili afanye politics Kwa maslahi binafsi ila nyie msiojielewa ndio mnashangilia.
Huyo Mpina aliwaambia kwamba na Maendeleo ya Nchi yamepaa?
Jibu swali ,yataje hapa hayo matumizi ya hovyo sio kuhamishwa magoli
Wapemba wanapenda vichamboHUYU RAIS ASAIDIWE,MAMBO MENGINE ANYAMAZE TU.
Huyu hakujiandaa kuwa Rais ndiyo tatizo linaanzia hapoHUYU RAIS ASAIDIWE,MAMBO MENGINE ANYAMAZE TU.
Ndiyo kazi zaoWapemba wanapenda vichambo
Ku invest matrillioni ya pesa kwenye eti kufundisha Nishati safi (wakati muendelezo ni kutumia kununua gesi ya nje LPG) wakati tungeweza kutumia UMEME kwa bei rahisi, yaani badala ya kutumia Pesa iliyopo sasa na ipo nje nje kunufaisha taifa tunaitumia kupiga blah blah blah na kuwanufaisha wachache (wafanyabiashara) na mataifa ya nje....Jibu swali ,yataje hapa hayo matumizi ya hovyo sio kuhamishwa magoli
Yeye ndiyo mkwepa kodi no 1, alipaswa awe mfano kwa wengine..hivi sheria inayomruhusu Raisi wa Tanzania kutokulipa kodi bado ipo?
..maana kama ipo basi Mama Abduli hana uhalali wa kuwakemea machinga kwa kukwepa kodi.
Hivi hii comment ni ya huyu huyu choice variable au hii account imedukuliwa?Anajua ila anafanya upotoshaji wa Kisiasa Kwa sababu anafahamu Watanzania wengi hawafuatilii nini Serikali inafanya ila wanasubiria kuambiwa na Wanasiasa.
Imedukuliwa kwani wewe unaonaje?Hivi hii comment ni ya huyu huyu choice variable au hii account imedukuliwa?
Kufundisha Nishati safi au kutoa ruzuku mbona husomeki? Matrilioni mangapi ya Mkopo yanatumika huko?Ku invest matrillioni ya pesa kwenye eti kufundisha Nishati safi (wakati muendelezo ni kutumia kununua gesi ya nje LPG) wakati tungeweza kutumia UMEME kwa bei rahisi, yaani badala ya kutumia Pesa iliyopo sasa na ipo nje nje kunufaisha taifa tunaitumia kupiga blah blah blah na kuwanufaisha wachache (wafanyabiashara) na mataifa ya nje....
Gharama ya Kufanikisha Mpango Kazi wa Utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024 – 2034) Jumla Kuu 4,554,015,000,000
Katika pitapita zangu nimekutana na hilo jarida la Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024-2034) nikaamua kuleta kwenu pia (doing my civic duty) document ni pdf ipo attached ila kwa ufupi naweka picha kwenye gharama zinazotazamiwa kutumika ili kufanikisha hilo jambo (baadhi...www.jamiiforums.com
Asilimia 80 ya mafanikio katika biashara yanamtegemea mwenye biashara asilimia 20 ni mjasiriamali na yanayo mzunguka kwa miaka ya hivi karibuni hii asilimia 20 Ina nguvu hata kuzidhoofisha biashara ama kusababisha zife kabisaa moja wapo ni maamuzi ya kisiasa, maamuzi ya kisiasa yana pande 2 chanya na hasiHUYU RAIS ASAIDIWE,MAMBO MENGINE ANYAMAZE TU.
Kila siku nakwambia una upeo mfupi sana tena sana...,Kufundisha Nishati safi au kutoa ruzuku mbona husomeki? Matrilioni mangapi ya Mkopo yanatumika huko?
Tafuta Nchi Yako ambayo haikopi ndio uhamie