Rais Samia: Asiyejua anasema Serikali inakopa tu, kwani tunakopa kununua sare za harusi?

Rais Samia: Asiyejua anasema Serikali inakopa tu, kwani tunakopa kununua sare za harusi?

Unaropoka tuu unadhani Nchi inajenga Sgr tuu? Huu hapa Mkopo wa AfDB 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DFdWQxVSueb/?img_index=9&igsh=MWI0NnoyNHMzZWVicw==


Yaani unafikiri ukiweka hiyo miradi ndiyo tutakuwa impressed. Ongeza na miradi ya Kizimkazi.

Nchi hajaengwi kwa mikopo. Yaani unakopa Kuja kujenga maghorofa. Jiulize kwa nini hawako pi pesa ya kuwekeza Liganga na mchuchuma au kwenye kilimo? Endelea tu kutetea watu wanapiga deal.

Dadavua hizo billion 30 zimepelewa wapi ndani ya miaka 3. Labda tutakuelewa
 
Rais Samia amedai Wafanyabiashara wadogo na wakati wengi wao wanakimbia ulipaji kodi hali inayosababisha kuingia kwenye mikopo na "Asiyejua anasema Serikali inakopa tu, kwani tunakopa kununua sare za harusi?"

Soma, Pia: Luhaga Mpina: Taifa limebakiza 4.6% tu kufikia Ukomo elekezi wa Deni la nje. Kauli ya 'Deni letu ni himilivu' karibu inapotea

Huyu mie huwa simuelewi. Kwani lazima kukopa au kutumia raslimali na fedha zetu vizuri? Wakati wakijisifia kukopa, madelu anaendelea kuwasamehe wachukuaji kodi. Akili au matope? Unapokuwa na mtawala wa mipasho na si fikra, unategemea nini mwanangu?
 
Eeh kwani tunakopa kununua vijora na kanzu? Jibuni swali hilo😂
 
Yaani nilipe kodi halafu genge fulani lije lizitafune, thubutuu!.
 
Ikiwa Kila siku TRA wanavunja rekodi ya ukusanyaji wa mapato,pale DP world makusanyo ni mengi Sana,SGR imezaa matunda ,Kila siku mnatuaminisha royal tour imeleta faida, Kuna ATCL na mengineyo..Mimi uelewa wangu ni mdogo sana juu ya malalamiko ya malkia wa anga au hayo mabilioni yote mnayazika chini?
 
Mpina kakalia kuti kavu CCM kugombea ubunge kupitia CCM yeye na Kibajaji aliyetaka kupindua mwenyekiti atoke nje na makamu kikao kibaki bila wao wasahau ubunge kupitia CCM
CCM ni baba au mama yao??? Kuna maisha nje ya CCM na hata nje ya siasa.
 
Wafanya biashara wengi wao ni wakwepa kodi, LUGHA WANAYOILEWA NI ILE YA JPM TUUU...ILE YA KUKWAPUA
 
Unakuta zenji wanakopa kwa mgongo wa tanganyikans aisee, Ukiuliza utaambiwa ndo faida za muungano hizo.
 
Utajuaje kile Serikali inafanya wakati mda wote wewe uko busy kufuatilia ujinga wa kina Mpina na Lisu wanafanya siasa Kwa vile wanajua Watanzania wengi hawana akili za kufuatilia mambo ya msingi so mnasubiria kuambiwa na hao wanaopotosha.

Mfano huu ni mradi Mijini 28 Nchi nzima zaidi ya Trilioni 1 za Mkopo kutoka India zinafanya kazi kwenye maeneo 28 Tanzania nzima ,ukitaka nikupe updates ya Kila sehemu naweza fanya hivyo.

Songea 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DFYNDejsw3b/?igsh=OHFjNWMxbXljdWow

Mkuu mbona miradi mingi ya barabara imesimama? hata sgr huko Tabora imesimama ni zaidi ya miezi 3 sasa wakandarasi hawapo saiti.
 
Unakuta zenji wanakopa kwa mgongo wa tanganyikans aisee, Ukiuliza utaambiwa ndo faida za muungano hizo.
Ndio hivyo, jiulize hayo maskuli wanayoporomosha huko zenji unadhani fedha inatoka wapi, ila mimi nawaonea huruma huko mbeleni, Zanzibar kuna umadkini mwingi sana.
 
Back
Top Bottom